simba

  1. Simba tumefungwa 1 bila na Polokwane huko. Tusiwadanganye tumedrw Watanzania

    Maumivu yaanaendelea Baada ya stars kula 5 bila Morocco.. wanaume wwma msimbazi Tumepigwa kamoja huko bila kanaumaa lakini ndiohivyo
  2. Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    Bila janja Janja, watengeneza sukari Tanzania ni Hawa hapa; Huyu Tajiri analima wapi na anatengenezea wapi? Au ni winga?
  3. Tetesi: Kuna kiongozi wa Yanga anafanya mawasiliano na baadhi ya wachezaji wa Simba ili awarubuni kuelekea darby ya kariakoo ya tar.10.10.2026

    Hapo vip! Za chini ni hivi kuna kiongozi wa Yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi. Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa...
  4. C

    Kitengo cha habari Simba wekeni kumbukumbu ya wanasimba wanaotumika kuhujumu timu kabla ya mechi za derby

    1. Karibu influencers wote wa Simba wanatumika kuhujumu timu.Ni kama wanne ama watano tu ndio tunawaona wakiwa sawa wakiongozwa na pasi milioni. 2. Viongozi wanaoanzisha ***** ***** na kuleta taharuki aidha kwa kauli zao ama matendo yao 3. Waandishi na wachambuzi mfano wale wanaoongelea ofa ya...
  5. Simba Yavamia Zanzibar Kumng'oa Feitoto Azam FC, Yanga Yatajwa Kumrudisha Kaze

    Uchambuzi wa kina wa soka la Bongo uliotolewa na wachambuzi wa michezo, Hans Raphael na Juma kupitia kipindi cha Crown Plus, umeweka wazi mwenendo wa klabu za Simba SC na Young Africans (Yanga) kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, huku ikibainika kuwa Simba wameanza maandalizi kabambe ya usajili wa...
  6. Simba ina Doumbia, Yanga ina Manqoba Mngqithi

    Ni balaa tupu wakuu. Uzi tayari.
  7. Simba 10 wafariki katika mbuga ya wanyama Tanzania

    Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro(NCAA) yasema simba kumi wameuawa tarehe 18, mwezi huu wa Septemba, katika eneo la Ndutu, kata ya Endulen. Uchnguzi wa awali umebaini kuwa simba hao walifariki baada ya kulishwa sumu. Mamlaka za hifadhi hiyo zimeanzisha uchunguzi wa kitalaam na wa kina...
  8. Kwa Maasai, Punda haliwi Wala sio mfugo wa Uchumi , Punda hamtii hasara Mmasai, Nyinyi kama MMEUA Simba ili kuwafurusha Maasai semeni tu

    Ni hayo tu, maana mnaweza kufikia Hatua ya kusema Mifugo ya Maasai inamaliza Nyasi na Majani mbugani !!
  9. T

    Simba 10 wauawa Ngorongoro, yadaiwa ni kisasi baada ya Simba kuwala punda wawili wa wafugaji

    Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya simba hao kuwala punda wawili wa wafugaji katika eneo hilo. Taarifa zinaonesha kwamba awali simba...
  10. Ukisikia “RRRAAAWWW!” huyo ni Simba! Lakini… je, unajua kweli mngurumo wa simba unamaanisha nini?

    Wengi wetu tukisikia sauti hiyo tunafikiria hatari! 😅 Lakini kwa simba, mngurumo ni zaidi ya sauti tu—ni njia muhimu sana ya kuwasiliana baina yao. Na jambo la kushangaza zaidi? Mngurumo huu unasafiri umbali mrefu sana👀 Swipe mpaka mwisho ujue zaidi kuhusu sauti ya mfalme wa porini, halafu...
  11. C

    Waamuzi wanaofanya makusudi kufanya makosa na VFS ipo, wafukuzwe kabisa kuchezesha ligi

    Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs. TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi. Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
  12. Fei ToTo ona aibu hii ya Azam 0-2 Simba. Huisaidii timu kwanini?

    Kuna watu wana bahati duniani. Hivi Fei TOTO ni wa kulipwa hela hizi zote, kwa lipi hasa? Simba walikuwa wanajichosha bure kumlilia Fei.
  13. Simba Sc ni Gari limewaka au ni moto wa makaratasi🤔

    Nimecheki statistics namba zinaongea.
  14. Kiongozi wa Simba aliye mleta Doumbia sijui alikuwa anamkomoa nani?

    Huu si uhujumu uchumi au uhujumu timu jamani. Angalieni wenyewe. https://youtube.com/shorts/GbyyrFPBhrs?si=kPuSA8DDXrH5NXIw
  15. Hiii ndio Simba , ninayoijua

    Tule pombe tuisapoti Simba yetu, kwa wivu mkubwa tu.
  16. Kwa hadhi na uwezo Simba SC, ilipaswa kushiriki ligi kubwa duniani kama EPL

  17. Wallah Simba akishinda leo nipigwe ban ya week nzima. Nimetizama Mnyama kaliwa

    Azam ni moja ya Team kali sana kwa sasa. Ina Kocha ambaye pia ni rafiki yetu Yanga. Anajua kuwa Mikia ni maadui zetu Leo Mikia wakijitahidi sana ni Draw. Hashindi. Labda ashinde njaa mbwa huyo. Azam wametoka kumaliza hii game kwa mtaalamu wetu wa siku zote ambaye anazuia sisi Wananchi...
  18. Nani anakibarua kizito hapo mbele kati ya Simba, Yanga, Azam na Singida huko CAF

    Timu zote za Zanzibar zatolewa katika michuano ya Shirikisho na Klabu bingwa barani Afrika. Huku timu za Tanzania Bara (Tanganyika) zikibaki na kuendelea na raundi ya pili ya mtoano kabla ya makundi. Simba atakutana na 15 De Agosto kutokea huko Equatorial Guinea (Guinea ya Ikweta) ambayo ndio...
  19. Simba inaendelea kudhihirisha ubora wake katika Mashindano ya CAF

  20. Simba SC VS Might Wanderers | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Uhuru Stadium | 13.09.2026

    Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni. Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…