simba

  1. Simba hii.tuichunguze na uzi kabisa sindano haitoshi kha

    Haya yangu macho nawatakia watani all d best
  2. FT: 15 de Agosto 1-6 Simba SC l CAFCL - first Leg l Uhuru stadium l 21 October 2026

    All the best Mnyama🦁 Leo Simba atakaribishwa katika mchezo wa mzunguko wa pili katika mkondo wa kwanza wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto dimba la Uhuru Kikosi cha mnyama #nguvu moya👊
  3. M

    Hakuna timu yeyote Barani Africa inayotamani kukutana na hii Simba ya Steve Barker

    Nimeutazama huu moto wa timu ya Simba sc ulionao sasa, nikiri wazi kuwa hakuna timu barani afrika inayotamani kukutana na hii Simba sc. Mpaka sasa tumeshafuzu makundi ya klabu bingwa barani Afrika. Na ndoto na Shauku yetu kuutwaa huu ubingwa na kuweka historia kuwa timu ya kwanza Afrika...
  4. Baada ya kukaza, 15 de Agosto yaruhusu mashabiki mechi na Simba Uhuru Oktoba 21

    Klabu ya Simba imetangaza kuwa mashabiki wake wataruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto utakaochezwa Oktoba 21, 2026, katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu...
  5. Yanga tuchukue hili la Simba nasi tuwaige. Nimependa wanachofanya hapa.

    Sisi hatuna wachezaji wetu Legends? Tuwakusanye nasi tufanye kama Mikia wanavyofanya. Inapendeza sana.
  6. Naichukia sana Simba. Imvenigharimu mara 3 hivi

    Sisi wana CCM tulianza ichukia zamani sana Simba S.C hii team wanajifanya wao ndo wasomi, wao ndo waelewa. Simba ikifungwa huwa nawahi Msikitini kufanya usafi na swala . Nakuwa na furaha sana. Hili li team linatumika na wapinzani wa CCM pia kuhujumu harakati. Mi silipendi kabisa. Nlishapigwa...
  7. N

    Rasmi:Yanga yakata rufaa TFF kupinga ushindi wa Simba kwenye Dabi ya kariakoo iliyopigwa tarehe 10/10/2026.

    Habari zenu wanajamvi. Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu. Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna...
  8. S

    Leo Simba kashinda, husikii mapungufu ya Simba, Siku akifungwa, yataanza yale yale tuliyoyazoea

    Habari ndio hio si kwa mashsbiki si kwa wachambuzi Simba imekamilika. Subirini siku wapoteze matasikia watavyogeuziwa kibao kuanzia kocha mpaka wachazeji bila kusahau mfadhili wao. Muda utasema
  9. T

    Wasafi fm: Tunashangaa ajali imeua watanzania wenzetu 32 hakuna hata mtu amewajibika tuko bize na simba na niha huku Rais akiishia kusikitika!!

    Ni watangazaji wa kipindi cha good morning wwameongea kwa hisia sana na kushangazwa kwamba licha ya kutokea tatizo kubwa ambapo watanzania wenzetu 32 wamefariki kwa ajali mbaya Moro alafu hakuna anayewajibika Badala yake watanzania na vyombo vya habari wako bize kujadili ushindi wa simba na...
  10. Mechi ya Simba na Yanga Yanirudisha Nyuma Miaka Mingi

    https://youtu.be/QrXjLBGOxs8?si=b9Zx6K6tVjtfRNhE 🔥 SIMBA, YANGA, GULLIT NA RIJKAARD: KUMBUKUMBU ZA MOHAMED SAID ZISIZOZEEKA! ⚽ Kutoka London na Arsenal hadi Misri mwaka 1988 na historia ya soka la Tanzania! Miaka inapita, miji inabadilika, lakini kumbukumbu hubaki. Kwa Mohamed Said, soka ni...
  11. Kwa nini utani wa Simba na Yanga unaelekezwa kwenye ngono zaidi tena mapenzi ya jinsia moja?

    Nimeangalia kwaya za AI za kumtania Yanga kushindwa, maudhui ya utani wa kingono ndio yamejaa. Tena mengine yakijielekeza kwa lugha za siri za mapenzi kinyume na maumbile. Mfano " Kishundu tumeshakiosha " akionyeshwa model ya mtu mwenye makalio makubwa mwenye mavazi ya kijani na njano. Utani...
  12. Z

    Asante sana Simba kwa kutupa raha, sio tu ushindi wa mabao 2 bali mmeonyesha kiwango kikubwa sana cha uchezaji

    Pongezi nyingi kwa wachezaji wote lakini kipekee kwa Kocha, hakika ameisuka na kuinoa timu. Sasa hii ndio Simba mnyama, kiwango cha kimataifa. Congratulations.
  13. Maji na mafuta yameanza kutengana - Simba Bingwa! Gari limewaka aise

    Maji na mafuta yameanza kutengana😀
  14. Simba mnatupa sex football ila jiangalieni

    Mnacheza mpira mtamu sana , ila haya majamaa yamekuja na game yao ya mpira matokeo, msipo kuwa makini na hii tunaenda kusema chenga tumewala lakini 😅😅 Viva simba hakika mnatoa burudani ya wapenda mpira mzuri, sex and romantic kwa wakati mmoja. Simba nguvu moja🍻💪
  15. Yanga kukaa kimya na kutopiga promo tayari machawa na wachambuzi wanaumia na simba pia, je mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?

    I salute you kinsmen Yanga kama wageni wa mechi ya kesho. Na simba kwa wageni Sasa SIMBA ndio walitakiwa kupigia promo.game yao sio yanga Kimsingi mwanzo ilikuwa sawa hadi pale simba walipoanza utoto huo na sasa yanga wamelipa hilo na milio ya kubanwa kende imeanza tayari kutoka kwa machawa...
  16. Utabiri wa Kariakoo Derby full time Simba 3-0 Yanga

    Mchezo wa kariakoo dabi unaotarajiwa kupigwa tarehe 10. Watabiri wametabiri simba itashinda kwa magoli 3 yote kipindi cha kwanza. -umiliki wa mpira kipindi cha kwanza SIMBA, kipindi cha pili YANGA pha yanga watapata penati ila watakosa. Kona ataongoza simba kipindi cha kwanza kona 13 Yanga 1...
  17. Arajiga ndio ana uwezo wa kuifunga Simba ila Yanga kama yanga hana uwezo

    Hapo VIP! Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
  18. Z

    Simba kesho hatoboi kwa yanga anapigwa tena.

    Habari zenu,kiukweli hili mechi ni kama imeisha tu,sioni simba akishida kivyovyote vile,nasema hivi kwasababu naona siasa imeingia, Na ukizingatia yanga ina watu wazito serikalini,suala la uwanja suala la tiketi.kuna mauzauza mengi sana kwenye soka la mbogo,hizi mechi zinachezwa nje uwanja sana...
  19. Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

    Nipo hapa mipango yao yote tumeikamata na wazee wamefanyia kazi. Maji yaliyotumika kumwoshea mzee wetu inna illah laana irajuuni yameenda kusafisha uwanja. Simba akishinda nipigwe ban ya mwezi mzima. NINA UHAKIKA WA KUJIPIGIA SIMBA KAMA KAWAIDA YETU MIAKA YOTE HII. TUTAKAVYO SISI. NDO MAANA...
  20. Simba yadaiwa kugomea Kampuni mpya ya Uuzaji Tiketi za Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Simba SC imegomea kampuni mpya iliyopitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya uuzaji wa tiketi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026. Simba SC imechukua hatua hiyo kwa kuandika barua rasmi kwenda Bodi ya Ligi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…