Sababu hizi hutoweza kuzisikia kwa Senzo wala MO mwenyewe. Labda wawe wamelewa ndo wanaweza kuropoka, lakini sio wakiwa wazima na akili zao. Hii ni kutokana na Jinsi sababu yenyewe ilivyokaa.
Kuna Mdada, Binti, M Mama anaitwa BARBARA. Huyu ni "msaidizi" wa MO, lakini inawezekana kabisa ni zaidi...
Tumepata kuisikia press ya Boss wetu Mohamed Dewji leo akiongea na vyombo vya Habari. Kilichonishtusha zaidi ni kuhusu ile Bilioni 20 aliyotuahidi wanachama kuitoa mara apatapo nafasi ya kusimikwa kama sehemu ya umiliki wa Klabu yetu. Mpaka sasa Mo ajaitoa hiyo pesa yote, huku akitoa majibu...
Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba
Sijasikia idadi ya watu wanaotakiwa kuingia kwenye tamasha la Simba day. Lakini sijawahi kusikia wizara ya afya ikisema Sasa tuache kuvaa barakoa, distancing, kunawa mikono na kunitize mikono.
TFF inaruhusu mashabiki wachache kuingia viwanjani kuona mpira, je hii Ni kwa mpira tuu na sio kwenye...
Ndugu zangu napenda kuwaasa, ma-barmaid wengi ni watu waliofika bar kwa bahati mbaya.
Usidanganyike na makalio, wigi, lip stick, wanja au makucha yale ya bandia.
Wengi ni watu waliokosa njia wakajikuta wako bar. Hivyo ni watu wanaoisaka fedha kwa hila zote. Ni nyoka wale, usiwakumbatie...
Tetemeko La Leo Pale Unyamani Kwa Vyanzo Vyangu Vyauhakika Itakua Hatari Watu Utopolofour Hawataamini Pale Ambapo Mwamba, Mtemi Huyu Wapale Kinshasa, Anaitwa Jean Marc Makusu Mundeleee, Anakwenda Kutufungia Usajili Leo, Then Tukatane Aug 22 Simba Day
Mwendo ni Bandika Bandua,
Kifupi hatusajili kwa ajili ya kushindana na Yanga, maana sio level yetu, tumeshaiacha mbali.
Wale wa Vidonge Vya Presha kama kawa msisahau kesho kukaa na vidonge vyenu karibu. Kama vimeisha nunueni kabisa. Na Ikiwezekana itaneni kabisa muulizane kesho ni nani ili...
Nikiwa kama Mshabiki Mwandamizi kabisa wa Yanga SC 'nimekerwa' sana na aina ya 'Unyanyasaji' wa 'Kimafia' kabisa tunaofanyiwa na Timu bora si tu Tanzania bali Afrika ya Mashariki na Kati, Duniani hadi hadi Mbinguni ya Simba Sports Club halafu Sisi Wanayanga tunabaki 'Kunyamaza' tu pekee.
Wiki...
Sijajua kuna nini hasa, ila tusubiri tu mpaka saa kumi na moja jioni. Wale wa Mtaa wa Pili kama unajijua una Presha za hapa na pale basi agiza kabisa vidonge ukae na maji tayari tayari.
Pia angalieni salio la bando lisije kua linaisha kabla ya muda huo mkakosa vitu. Yangu Ni hayo tu.
UPDATES,
Nasema hivi, haya maneno kuwa mmemteka Larry Bwalya kama ni kweli ntawafanyia jambo baya sana Simba. Baya sana. Kweli nawaambia ntawafanyia jambo ambalo babu yangu aliwafanyia waliomuibia ng'ombe wake mwwka 1984..
Muombee ziwe tetesi tu hivyo hivyo.tutaonana wabaya. Nyie si mna wachezaji...
Habari wanaJF,
Klabu ya Simba inajinasibu kwa kuzindua Logo au Nembo yao Mpya lakini kama ni ukifuatilia wamecopy na kupaste kutoka kwa wengine.
Je hii haiwezi kuwaletea shida kwa janja janja hii?
Hivi kwanini hawa jamaa hawajawahi kuwa na uzi mzuri hata kumshinda Azam FC? Kwanini wasifanye mpango wa kujifunza kwa wataalamu wa KIT kutoka Dar es Salaam Young Africans SC?
Maana walitengeneza hulka kubwa sana kuhakikisha watu wawe makini na uzi ujao, uzi ulivyotangazwa tu kila mtu akaishiwa...
Tukio la Simba kumchukua Morrison kimafia ni tukio ambalo litanichukua miaka mingi kufutika. Nimeumia kuliko ambavyo ningeumia kama ngeibiwa ng'ombe zangu.
Sasa Yanga tunaanza maandalizi ya kumfunga Simba mechi zote ambazo atatia mguu kupambana nasi msimu huu. Hilo ndilo lengo letu kubwa...
Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito
Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc...
Kwa vyovyote vile Morrison ni mchezaji tu wa timu asiye na nidhamu na kazi yake, lakini Senzo ni taasisi.
Senzo ana Mambo yote ya club ya Simba mabaya na mazuri kifuani mwake, ambayo sasa ni rasmi yanaweza kufika mikoni mwa mwajiri wake mpya.
Wasiwasi yangu ni Yale mabaya (Kama yapo)...
Kwa msiojua tu kijana amesajili miezi else kama ataendelea ama lah
Kwa msiojua tu kijana atakuwa akilipwa dola 9500 na sio 10" 000 wanavyosema
Akiongezewa na gari na sehwmu ya kuishi sijajua swala la mabibi kama nalo liko mkatabani pengine amepewa na bibi
Kinachohuzunisha hivisasa n kwamba...
Nafasi ya 'katibu mkuu' yaani Afisa mtendaji mkuu (CEO) wa Simba kwa sasa iko wazi mara baada ya aliyekuwepo awali kujiuzuru ghafla.
Huu ndio wakati muafaka wa Simba sc kumpa hiyo nafasi Paul Makonda ambaye kwa sasa hana kazi rasmi mara baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa wa Dar...
Nakumbuka nilisema juzi humu kuwa kuna pahala Simba SC wanakosea. Huwezi kuifanya klabu iendeshwe kwa weledi na wakati huo huo unaiendesha kwa Uhuni wa kizamani.
Nilikuwepo na Social Media Content Manager pande fulani usiku wa Jana. Jamaa akanimwagia mchele chini ya kwamba sakata la BM kusaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.