Baada Ya Kupigwa 3 kwa Moja Na Jwaneng Galaxy, Leo simba Wanaikaribisha Polisi Tanzania Kwenye Mchezo wa Ligii kuu Tanzania Bara.
Polisi Tanzania Wamekuwa na Mwanzo Mzuri wa Ligi hii huku Simba Akiwa amefungwa michezo yote aliyocheza uwanja Wa Benjamini Mkapa Kwa msimu huu. Alifungwa na Yanga...
Nimelala nikaota ndoto game ya Simba na yanga imesogezwa mbele na haitachezwa tarehe 11 mwezi 12 Kama ilivyopangwa kwenye ratiba.
Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini hawapangi ratiba Bora isiyoyumba ?
Nani anasogezewa mbele kipigo?
Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara.
Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa kwanza anaijua kazi yake na nanaipenda pia ni mtoa hamasa kubwa nilikuwa namuona kwenye benchi la...
Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa kapost pia ila source ni nuhu adams wa ghana natishiwa inbox eti nitafungwa harakisheni fastaa...
Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za leo Usiku nije na Uzi wa Kusema Siri za Upumbavu wote uliopo na unaoendelea Simba SC.
Hivi...
Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na kumaliziwa 1-0 na hivyo kupasuka jumla ya goli 7-0.
Katika Droo iliyotoka hivi karibuni watanzania...
Kwa kauli aliyoitoa ni Mo Dewji baada ya simba kufungwa nilijua tu Gomes hawezi kupona
Nakumbuka kabla hajawa muwekezaji simba alitoa kauli kama hiyo Omog ambaye kwa sasa ni kocha wa Mtibwa Sugar nae akafungasha
Bado Ole Guna Sosha sasa ili niwe na amani ya moyo.
Taarifa za awali kabisa ni kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imemfuta kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa kutokana na kushindwa kuisaidia klabu hiyo kufuzu makundi ya klabu bingwa Afrika (CAF Champion League).
Kwa sasa kikosi hicho kitakuwa chini ya Kocha Hitimana...
Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa
Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa wachezaji kama wawa yemepitiliza
Matola kwa kweli kama tunayoyasikia ni kweli basi ulaaniwe sana...
*manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni
*Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana miaka 32 kama anavyosema
*Wawa .... Hili ndilo kubwa la magodfather huwa halipendi kuruka kama goli...
PLAY OFF CAF CCC KUWAKUTANISHA
🇹🇿 Simba SC
🇨🇩 Tp Mazembe
🇲🇦 RS Berkane
🇪🇬 Pyramids
🇩🇿 JS Kabylie
🇳🇬 Enyimba
🇹🇳 CS Sfaxien
🇨🇲 Coton Sport
🇿🇦 Orlando Pirates
🇪🇬 Al Masry
Wakati MAKOLO FC wanahangaika kutafuta mchawi ni nani miamba hii inapiga push up.
Sasa ni rasmi wamepewa RED ARROWS washindwe...
Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy.
Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania kuwa mtu maarufu kama Haji Manara. Huyu mtu kufika level aliyonayo kwenye nchi kama ya...
Kuna rekodi hazivunjiki kama vile;
Young Africans ndiyo Klabu ya kwanza Tanzania kuingia robo fainali klabu bingwa 1969
Simba ndiyo klabu ya kwanza kuingia nusu fainali klabu bingwa 1974
Kuna rekodi zinavunjika kama;
Yanga kuwa klabu pekee ya Tanzania kuingia ROBO FAINALI klabu bingwa kwa...
Wakuu hii Simba ukiangalia ni mbovu sana hairidhishi hata kuiangalia. Hata tuliposhinda kule Botswana wala sikufurahia jinsi timu ilivyocheza. Hii timu haionekani hata ikitafuta ushindi.
Tulicheza vibaya sana na timu ilionekana kuelemewa basi tu bahati ilikuwa kwetu. Kocha ameshindwa hata...
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui.
Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa.
Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi...
Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana.
Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
1. Meneja Patrick Rweymamu
2. Mratibu Abbas
3. Kipa Aishi Manula
4. Beki Shomary Kapombe
5. Beki Pascal Wawa
6. Nahodha John Boko
7. Kocha Selemani Matola
Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani...
Chris Kope Mushimba Mugalu ni straika ambaye tangu aje Simba amekuwa katika lawama na shutuma za kiwango chake, imefikia hatua hata mashabiki wake hawampendi.
Ila jamaa ni bonge la straika, anapokuwepo kwenye timu anafanya wachezaji wa timu pinzani kuanzia watatu hadi wanne wasipande mbele kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.