Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
Moja ya amri kumi ni kuabudu siku ya sabato, Siku takatifu iliyotengwa na Mungu kuturuhusu KUPUMZIKA kwa kuziweka kando shughuli zetu na tunashukuru kwa kujumuika pamoja kwenye shughuli za kuabudu ikiwa ni ishara ya shukran kisha tunarudi makwetu kupumzika, Kila siku ni siku ya Mungu lakini sio...
Salaam, Shalom!!
Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana.
Kwamba, Daniel chapter 2, verse 43: Na kama vile ulivyokiona kile CHUMA kimechanganyika na udongo wa...
Habari wana jukwaa.
Hiki kisa kila nikikumbuka huwa nacheka sana lakini kimenifanya nimwamini sana mke wangu.
Mnamo mwezi wa pili mwaka huu, ilikuwa siku ya ijumaa nikiwa nyumbani maeneo ya bustanini majira ya saa moja kasoro jioni, mke wangu alinifuata pale bustanini na kuniambia baba Prosper...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea
Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu.
Ni za
Kilo 4.5 - 120,000 tu
Kilo 7 - 560,000 tu
Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford
Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba.
Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana
kwa 0772835536.
Karibuni sana wateja
Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu.
Ni za
kilo 3 - tsh 120,000 tu
Kilo 4.5 - 350,000 tu
Kilo 7 - 560,000 tu
Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford
Offer hii si ya kukosa kwa kipindi hiki cha sabasaba.
Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana
kwa 0772835536...
Haya mashirika ya umma sijui kwanini Watumishi wake hawako active kabisa kushughulikia kero zinazowakumba Wananchi.
Ni miaka kadhaa sasa TANESCO mkoa wa Mwanza wameshindwa kuondoa nguzo za umeme katika barabara ya Mtaa wa Michungwani Kata ya Kilimahewa Wilayani Ilemela hali iliyopelekea...
Mwaka 2022/23 niliandika mada nzito sana kuhusu mambo yanayopaswa kufanywa bandarini kufuatia suala la kubadilishwa kila mara wakurugenzi wa Mamlaka ya Bandari.
Nashukuru pendekezo langu nililolitoa la kufanya bandari zetu kuendeshwa kwa sehemu kubwa kwa mfumo wa PPP (Serikali na sekta binafsi)...
Moto unauma wewe assume kila siku unaungua kwenye kupika bado nguo za kusugua zinakusubiri. Kazi fulani hivi afu watu wanaidharau vibaya mno.
Sasa mbona na wenyewe wanazingua hawana umoja wao ni watu wanafanya kazi Kwa wakubwa kweli hakuna mjanja wa ku initiate Ka chama Hivi ikawa kazi RASMI...
Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
Wazigua wenzangu kutoka Tanga wanasema "live only one day at a time"
Hivi unajua kwanini huwa tunapata sana stress au msongo wa mawazo? Kwasababu hatuishi katika siku moja kikamilifu,bali tunaishi jana,leo na kesho kwa wakati mmoja,,je amani utaitoa wapi? Furaha utaitoa wapi?
Yaani unaishi leo...
ZIARA YA SIKU YA KWANZA TARAFA YA SUBA KATA NYAMUNGA KIJIJI CHA MKENGWA
Leo tarehe 03/07/2025, Mh Mbunge kaanza ziara tarafa ya Suba kwa kuzungumza na wananchi wa kijiji cha mkengwa juu ya agenda tatu:-
1. Uchaguzi wa Seriakali za vijiji na vitongoji
2. kujiandikisha daftari la kudumu la...
NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE?
Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa
Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi...
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi yupo Nchini Tanzania kwa ziara ya kitaifa ya siku nne, aliwasilia Usiku wa Julai 1, 2024.
Baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Nyusi alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na...
Neno "MAMA" dunia nzima linavuma. Lissu anatembea nchi nzima akitukana "mama" kqtikati ya nchi yenye nyimbo za kumsifu mama. Katikati ya nchi ya watu wanasema waiolelewa na single mother baada ya kutelekezwa na baba zao.
Nani hajui mama na umuhimu wake? Kwa nini mama atukanwe na mtu anayetaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.