siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Iwekwe siku ya kumbukumbu na kuenzi mchango wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya Kiswahili

    Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao. Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
  2. SGR Dar-Moro: Abood Bus Service alikuwa akitoa basi 40 kwa siku, sasa anatoa 20 kwa siku

    Haya ndio matokeo ya SGR, imeleta machaguo zaidi kwa abiria. Sasa hata nauli Abood imeshuka kutoka 13,000 mpaka 10,000. SSH5tena
  3. M

    HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO WOWOTE KWAO.

    MAMABO YA KUZINGATIA KABLA HUJASAIDIA WENGINE. 1.Usitoe ukabaki huna chochote 2.Usigope kuachwa kwa sababu huna bali sema HUNA kama kweli huna. 3.Usitoe kwa lengo na wao wakupe kesho. 4.Usitake kujua wanakusemaje baada ya kuwasaidia. HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO...
  4. Inawezekana simba ikatangaza ticket Sold out siku 2 kabla

    Kwa mwendo WA ukataji ticket wa mashabiki wa simbasc ulivyokua na Kasi wanaeza kuuza ticket zote siku mbili kabla ya Tamasha, kwasasa bado 15% tuu wauze ticket zote, wakati kule upande wa Yangasc bado mambo magumu! Tena sanaaaa Mimi Kwanza naona kinqchowaponza zaidi yanga kuna mvutano kwa...
  5. Namshukuru Sana Mungu kwa hii Bar Jirani inayokesha siku Tatu kwa wiki, imenikuza Sana Kiroho.

    Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni. Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
  6. Leo ni siku ya Urafiki Duniani. Unajivunia nini kutoka kwa Rafiki zako?

    Siku ya Kimataifa ya Urafiki huadhimishwa tarehe 30 Julai. Siku hii inaheshimu marafiki na nafasi yao muhimu katika kuboresha maisha yetu. Marafiki hufanya maisha kuwa rahisi zaidi, iwe ni wanaposafiri nasi au wanaposikiliza matatizo yetu na kutoa ushauri. Uwepo wao ni muhimu sio tu wakati...
  7. L

    Upo uwezekano mkubwa mashabiki wa Yanga wakamzomea Haji Manara siku ya Mwananchi kutokana na mapenzi yao kwa Ally Kamwe

    Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
  8. S

    Iliyokua Sodoma na Gomora ndio nchi gani siku hizi?

    moja ya hadithi ya kusisimua kwa biblia ni hii ya sodoma na gomora Raia /wakazi wa hii mitaa walikua watenda dhambi wa kutupwa. mapenz ya jinsia moja /ushoga kwao ilikua sio story manake walifanya na biblia imesema wazi. unaambiwa Mungu alicheki sodoma na gomora akasema kama kuna watu 50...
  9. M

    Wavaa vitenge mmeshamazaliza kucheza na wacheza Amapiano sasa hatutaki visingizio kuwa mlikuwa na uchovu wa preseason siku ya mechi ya ngao ya hisani

    Baada ya kufanikiwa kukifunga kikosi "C" cha kaizer chiefs fc, hatutaki visingizio siku mkikutana na mfalme wa nyika ,The mighty Simba Sc, katika mechi ya ngao ya hisani. UBAYA UBWELA
  10. Njoo ujifunze kutongoza ni rahisi tu (Matokeo Siku 3 tu)

    Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe. Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe. Examples of Questions; Unamwanaume, Yes or no If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic? if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am...
  11. Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  12. Unakula mara ngapi kwa siku?

    Eti, Unakula chakula mara ngapi kwa siku.
  13. N

    Leo ni siku ya watu wafupi duniani

    Leo ni siku ya watu wafupi a.k.a mbilikimo au vijeba au gas cylinder. Mtagi member yoyote wa jf unayehisi ni gas cylinder ili aje kusherehekea na tumpongeze katika siku yake hii maalum.
  14. Siku nikiajiriwa serikalini nitafurahi sana maana sio kitu kidogo

    Kwakuwa tupo katika nyakati ambazo ajira ni ngumu Kwa watu wa hali ya chini kama sisi hivyo sina budi kufurahia hiyo siku ambayo nitapata ajira serikalini Kukosa connection na watu wakitupambania imetufanya tuone kuwa vyeti vyetu ni vipande tu vya karatasi visivyo na thamani yoyote Just...
  15. Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

    Yaani Mimi niandamane, nipigwe risasi, nife, nizikwe, nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikuwa yamezubaa nchi ikatafunwa sasa hivi yanasema vijana wa Gen Z andamaneni kwajili ya Tanzania? Mnaumwa nyie wazee, pambaneni na hali zenu. Kama maisha yamekuwa magumu kwenu, hamna...
  16. Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  17. Hivi na nyie mnagombana na ma baby zenu kila siku?

    Mbona kama wangu kazidi haipiti wiki hatujagombana japo najijua mi ndo mkorofi,lakini ananikwaza jamani hanipi mda!!!! Mda wore busy tu inawezekana jamani kuongea ni usiku tu, sasa hapa nimempigia nikakuta call waiting nime mkejeri tu msalimie baby oneni alivyonijibu.
  18. Ziara ya Siku 3 tu na Mafua juu mwakani kutakuwa na Ziara Mikoa yote na Vijiji Laki Saba na Ishirini je, utaweza kwa Mafua haya ya mara kwa mara?

    Hili Swali langu hapa nawauliza hawa Marafiki zangu akina Arovera, Bila bila, adriz na Bujibuji Simba Nyamaume Oky?
  19. Mkuu wa Polisi Kenya atoa siku 21 kukamilisha uchunguzi wa mauaji ya Kuare, Nairobi

    Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi huru kufanyika. "Ili kuhakikisha uchunguzi wa haki na usio na upendeleo, nimewahamisha maafisa hao...
  20. S

    Siku Hazigandi: Watoto wa 2005 Wanaingia Chuo Kikuu Mwaka 2024

    Matokeo ya kidato cha sita yameanza kutolewa, na hawa vijana hawana mchezo—wanapata division 1 kwa wingi! Takriban 90% ya watoto hawa wamezaliwa mwaka 2005, na sasa wanakabiliwa na changamoto mpya. Kwa heshima zote, tunawapongeza walimu na wafanyakazi wa shule ambao wamefanikisha mafanikio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…