Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.
Nadharia ya msemo huu inaendana na jinsi vile dunia inakwenda,ipo misemo ambayo mara utakapoenda nayo kinyume basi dunia yote inaweza kukuelemea!...
-Ni moja ya kanuni ambayo hutumiwa sana na cult mbalimbali.
Msaada. Tuseme kiwango cha mwisho cha miamala cha line yangu ya Airtel ni 5mil. Halafu nikatuma 4.5mil. kwenda mtandao mwingine, halafu kutokana na shida ya mtandao hiyo pesa ikarudishwa kwangu.
Kisha nikajaribu kuituma kwa namba ya mtandao mwingine, lakini naambiwa kwamba umefikia kiwango cha...
Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa.
1. Daraja la Magufuli/Busisi.
2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi.
3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd.
4. Nimeenda Airport.
5. Nimeenda hadi kule mlimani...
NImewaza sana. Hizi ID tunazotumia humu Jf hata wake au waume zetu hawajui, achilia mbali michepuko. Sasa unaweza kukuta humu JF unachukizana na mtu kumbe ni mke, mume au mchepuko wako!
Si ajabu ukakuta Erythrocyte wa Chadema ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah wa CCM! Kimbembe ni siku...
Mke wangu alisafiri Julai 24, 2026 akiwa na mabegi manne kutoka Afrika Kusini (OR Tambo International Airport) kuja Dar es Salaam (JNIA), alipofika Dar es Salaam, alipoenda kuchukua mizigo kwenye belt, begi moja halikuonekana.
Nikaingilia na kupata mrejesho kutoka kwa maafisa wa JNIA, wakasema...
Wizara ya habari sanaa na utamaduni imetangaza tena kurejea kwa nyota na nguli wa mchezo duniani didier drogba tanzania
Katika poster ambayo imechapishwa katika wizara ya habari , sanaa na utamaduni wa wamechapisha kuwa ni maandilizi kuelekea afcon
Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa...
Naam ni jioni jioni jua laanza kuzama.
Najongea nyumbani nikiwa na uchovu wa safari ya shamba kuvuna,
Nawekewa maji bafuni (bafu lenye wigo wa nyasi).
Maji uvugu vugu na sabuni ya kunukia ya life buoy.
Baada ya bafu naweka betri kwenye kiredio nipate habari za dunia BBC Swahili Enzi za kina...
Kuna mfanyabiashara alifungua restaurant sehemu yenye watu wengi. Alinunua viti vizuri, meza za kisasa na kuajiri wapishi wazuri. Mwezi wa kwanza wateja walikuwa wengi, lakini baada ya miezi mitatu alianza kulalamika kuwa biashara hailipi.
Tatizo halikuwa kukosa wateja, bali kushindwa kusimamia...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za intaneti nchini kurekebisha kasoro katika uwekaji wa nyaya za mawasiliano za mkongo wa nyuzi za macho (fibre optic cables) ndani ya siku 30, ili kuimarisha usalama wa wananchi na kuhakikisha miundombinu hiyo inazingatia viwango na...
Ndugu zangu Watanzania!
Mimi kama General, Jemedari, na Executive Director wa Kikosi Maalumu cha Kusifu na Kuabudu (Lumumba Corps), nimeamua kuweka wazi ratiba yangu ngumu ya wiki nzima. Kuliongoza hili jeshi la mtandaoni kunahitaji nidhamu ya hali ya juu sana. Hapa hakuna kulala!
Zifuatazo ni...
baba
baba wa taifa
day
julius kambarage nyerere
kambarage
kumbukizi
mkuu
mwalimu
nyerere
nyerere day
ofisi
ofisi ya waziri
ofisi ya waziri mkuu
oktoba
siku
taifa
waziri
waziri mkuu
Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa
Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu.
Hii ina...
Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini.
Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo...
Tunatengeneza tovuti (websites) zenye Ufanisi, Smart, Responsive design kwa ajili ya Taasisi au Biashara yako
💰 Tovuti iliyokamilika: TZS 200,000
🖥️ Tuna design kwa kutumia WordPress - mfumo salama na rahisi kutumia. Unaweza kubadilisha/update maudhui kwenye website yako bila kuhitaji mtaalamu...
Siku za mapumziko za Siku ya Taifa la China inajulikana kama “Wiki ya Dhahabu” nchini China. Wiki hiyo iliyomalizika hivi karibuni ilikuwa tena fursa muhimu kwa dunia kuielewa China. Vyombo vya habari vya kimataifa ikiwemo Reuters, Yahoo Finance, na Forbes vimefuatilia ongezeko kubwa la matumizi...
Habari ndio hio si kwa mashsbiki si kwa wachambuzi Simba imekamilika.
Subirini siku wapoteze matasikia watavyogeuziwa kibao kuanzia kocha mpaka wachazeji bila kusahau mfadhili wao.
Muda utasema
Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
Miaka ya nyuma ukiwakuta kwenye uniform zao unapata msisimuko sana.
Ila wao wamekuwa na aibu tokea October 29.
Wengine mpaka wamefikia kuto jionesha kazi zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.