Hii mada tuliiongelea kazini, watu walifunguka ilikua vicheko na huzuni pia, nikasema niwasikie na rafiki zangu wa humu pia,
Ilikuaje kwa mara ya kwanza umevunja ungo, ulikua mazingira yapi, ulireact vipi, nani alikustiri, n.k
Mie nakumbuka nilikua nina miaka kumi na tano, ilikua likizo ya...