siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Ewe mtoto mwenye kiburi, ipo siku utatuonyesha ulikomficha Humphrey Polepole

    Historia ya watoto wa Mobutu Sese Seko, Muammar Gaddafi na Saddam Hussein ina somo moja kubwa: watoto wanaporithi mamlaka ya baba zao bila kuwajibika kwa sheria, huanza kujiona warithi wa taifa badala ya raia wa taifa. Lakini mamlaka ya baba yalipoanguka, kinga yao pia ilianguka. 1. Watoto wa...
  2. S

    Happy's birthday To Me🎊

    Leo Tarehe 20 mwezi wa 08 kama Leo Mimi Muyabi colors ndo nimezaliwa Najitakia siku. Njema ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa ndugu zangu, Pia ruksa kusema umezaliwa mwezi na tarehe kama hii HERI YA KUZALIWA Muyabi colors Najitakia heli,baraka neema na Reema, MWENYEZI MUNGU Anipe Afya abariki...
  3. KERO Ni nani atatuambia ukweli wa kwanini umeme unakatika kila siku Dar wakati wowote?

    Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda...
  4. Tarehe ya Mwisho ya MOU ya Iran/Marekani ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa kitafuata?

    Tarehe ya Mwisho ya Iran ya Siku 60 Imeisha. Nini Sasa? Tarehe ya mwisho ya Iran iliisha na Iran haikujisalimisha, haikufungua Mlango-Bahari wa Hormuz, na kulingana na ripoti ya Wall Street Journal ilitumia dirisha lote la mazungumzo kufanya jambo moja ambalo hakuna mtu huko Washington alitaka...
  5. Serikali Tanzania yawapa wazalishaji wa saruji siku nane kushusha bei

    Serikali ya Tanzania imewapa wazalishaji wa saruji muda wa siku nane kuongeza usambazaji na kushusha bei, baada ya mfuko wa saruji wa kilo 50 kufikia hadi shilingi 26,000 pesa za Tanzania sawa na dola 9.8 katika baadhi ya maeneo. Wizara ya Viwanda na Biashara iliitisha kikao cha dharura na...
  6. Je, AI itakuwa hatari sana siku zijazo AU hii ni stori ile ile ya teknolojia?

    Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema: “Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!” Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria zinawekwa, matumizi yake yanadhibitiwa, na mwisho wake kile kilichoonekana cha kutisha kinakuwa sehemu...
  7. Mpogolo ampa mkandarasi siku 14 amalize kumwaga lami! TAKUKURU, TARURA kufuatilia

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amemtaka Mkandarasi China Wu Yi Construction kuhakikisha anakamilisha hatua ya kumwaga lami katika barabara muhimu inayopita eneo la Hospitali ya Taifa Muhimbili ndani ya siku 14, huku akimtaka Meneja wa TARURA Wilaya ya Ilala kusimamia utekelezaji...
  8. Mazoezi ya kijeshi ya marekani na korea kusini yapunguzwa kwa siku sita

    Uchaguzi wa kijeshi wa kila mwaka wa Korea Kusini na Marekani umepunguzwa kwa siku sita kwa ombi la Washington, Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza. Seoul imesema kuwa “muda na ukubwa” wa zoezi la kijeshi la Ulchi Freedom Shield 2026 umebadilishwa kufuatia “pendekezo kutoka upande wa...
  9. Nakodisha Ps4 elfu tano kwa siku, natengeneza Pads za ps4 na ps5, narusha Games za ps4 na ps5 nipo Dodoma ukihitaji huduma Tuwasiliane

    Habari, kama maelezo yalivyo hapo Nakodisha Ps4, Pia Ps4 na Ps5 zinapatikana kwa bei nafuu pamoja na Pads zinapatikana ukihitaji Tuwasiliane nipo Dodoma.
  10. A

    KERO Ujenzi wa Barabara ya Rangi Tatu - Kongowe unasuasua, kero kila siku, Bilioni 54 zilizotajwa kusimamia Mradi hazijasaidia?

    Hivi ujenzi wa Barabara ya Mbagala Rangi Tatu mpaka Kongowe imekuwa kero kwetu Watumiaji na sasa hivi hakuna kinachoendelea hata mkandarasi hatumuoni 'site' hii kero itaisha lini jamani. Nakumbuka Machi 19, 2025, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam na mkandarasi kutoka...
  11. O

    MCK Yataka Hatua Baada ya Waandishi 18 Kushambuliwa kwa Siku 60

    Baraza la Vyombo vya Habari Kenya (MCK) limetaka hatua za haraka kuchukuliwa dhidi ya watu wanaoshambulia na kutishia waandishi wa habari nchini. MCK imesema jumla ya waandishi 18 na madereva wawili kutoka vyombo mbalimbali vya habari wameshambuliwa na kujeruhiwa katika kipindi cha miezi miwili...
  12. L

    Kwa Nguvu Na Ushawishi Alionao Rais Samia Kwa Sasa Ipo Siku Marekani Atakuja Kulalamika kuwa Tanzania Imeingilia Uchaguzi wao na Kupanga Matokeo .

    Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi. Tanzania...
  13. Kuna furaha sana ya kunywa pombe na company ila majuto yake ni makubwa sana siku inayofuata

    Leta kama tulivyo ni kauli nzuri sana sisi wanywaji wa pombe ila ina majuto sana.... Kwanza umekula hela zote hujabakiwa na ela ya supu na kutoa hang over kwenye bank umekomba akiba yote. Umeopoa Malaya asubuhi unashangaa demu ana mabakabaka kama chui na uligonga kavu.. wtf Pombe ni...
  14. Kwa nini Mungu mwenye huruma anataka kutuchoma siku za mbeleni?

    Nasikia watu ambao hatuamini uwepo wa Mungu (huyu wa kwenye dini za Ukristo na Usilamu) tutaenda kuchomwa moto na yeye. Eti ka mind kuwa hatuamini yupo na hatumjui ukizingatia yeye mwenyewe hajaja kutuonesha ushahidi wa wazi ambao ungefanya tumuamini, zaidi kaacha binadamu ndio watangaze uwepo...
  15. R

    TanzLII imekuwa kero sana siku hizi. Haifunguki

    tatizo ni nini? haifunguki ikifika kwenye kuhakiki you are not a bot! Kila sectors ni laana. sasa na hii imekuja kwenye laana .ya kuwa uselessness!
  16. Siku Ukijua Kinachokutokea Usiku, Akili Yako Itaruka!

    Acha Kiherehere cha Kutaka Kuona Yasiyoonekana Utazika Furaha Yako Milele! Watu wengi mpo hai na mna amani kwasababu tu Mungu amewaziba macho msione uchafu na uozo unaowazunguka. Mnaishi kwenye uongo wa kutengenezwa na ndio maana mnakula, mnalala na kucheka. Lakini kuna wajinga fulani wana...
  17. M

    Ukiwa mtumishi wa umma maisha yako yapo hatarini kwa ushirikina masaa 24 siku 365.

    Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo. Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia. Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
  18. Maisha yamebadilika sana, siku hizi mguu wa kutoka unafanana na mguu wa kubaki ndani

    Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema: “Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.” Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
  19. G

    Injili za kileo,mahubiri ya siku za leo

    INJILI ZA KILEO zimemtengeneza tafsiri ya Mungu inayoendana na matakwa yao na tamaa zao za mwilli,yaani Mungu wa aina mpya kwa sura ya Mungu atakayewachukuliana na dhambi zao bila kuwa adhibu,mwenye neema nyingi hata kama mtu ataendelea kudumu katika dhambi bila kuwa na lengo la kutubu na...
  20. Swali kwa mods; nyuzi ni nyingi na comments zinaongezeka, Je siku JF servers zikijaa itakuaje? Ni mwisho wa JamiiForums?

    kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao hali inayopelekea comments kuwa nyingi pia. hii hali si itapelekea siku moja servers za JF zijae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…