siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    ACHANA NA KULIMA KWA JEMBE! RT155 POWER TILLER 15HP INALIMA ZAIDI YA EKARI 8 KWA SIKU – INAUZWA TSH 9,500,000/=

    𝗧𝗨𝗡𝗔𝗨𝗭𝗔 𝗥𝗧𝟭𝟱𝟱 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 🔥 𝗣𝗢𝗪𝗘𝗥 𝗧𝗜𝗟𝗟𝗘𝗥 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨, 𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗙𝗔𝗡𝗜𝗦𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗟𝗜𝗠𝗢! RT155 Power Tiller ya mikono mirefu inapatikana muda wowote kwa wakulima wanaotaka kuongeza kasi na ufanisi wa kulima mashamba yao. 𝗩𝗜𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢𝗞𝗨𝗝𝗔 𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢: ✓ Diesel Engine ✓ Chassis imara ✓...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

    Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini. Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo. Maoni ya...
  3. F

    KwelI Mungu siku hizi anatumia mitandao ya kijamii kwa alichomfanyia Samia

    Alpoua watu wetu wasio na hatia alijifanya hakuna kilichotokea. Kwangu, kilichomtokea naona ni kidogo. Heri angeanza yeye au ikiwezekana Mungu afanye haraka tena ajiunge na mwenda zake mwenza wake. RIP mpendwa na mheshimiwa wetu.
  4. A

    KERO Application ya Mixx by Yas imepata changamoto siku mzima huku wahusika wakiwa kimya

    Mtandao wa simu wa Mixx by Yas, kupitia application yao ya simu, umepata changamoto ya kushindwa kufanya kazi vyema kwa takribani siku nzima. Hali hii imesababisha mkanganyiko pale unapotaka kuifungua, kwani inaeleza kuwa kuna kifaa kingine kinachotumia account yako, jambo linalozua taharuki...
  5. Right Flower

    VIDEO: Wanawake tunaharibu muonekano na mvuto wetu kabisa ndio maana siku hizi hatuwavutii mabwana zetu.

    Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari. https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
  6. and 998 others

    Siku hizi husikii madawa ya kulevya/Dhahabu kukamatwa Airport

    Zama hiz nadra sana kusikia madawa ya kulevya yamekamafwa au gold smugglers wamekatwa airports. Watu wana bills za kulipa?
  7. Meneja Wa Makampuni

    Siku za Mwisho zi Karibu Yesu Anarudi

    Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake. Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi. Kujitakasa ni kukaa mbali dhambi Kujisafisha miili yetu na roho zetu ili hatimaye tufae mbele za...
  8. Eli Cohen

    Haujafa leo kwa sababu haujafa leo, hakuna cha sijui haukuchaguliwa, mara siku yako haijafika ama haikuwa kwenye mipango

    AFYA DHAIFU UZEE AJALI KUULIWA KUJIUA AGENTS KAMA SUMU, TOXICITY hivi ndio visababishi vya vifo. Hakuna mwenye uwezo wa kukutumia kifo, hakuna roho yoyote ya kifo inayokuita. Hakuna aliepangiwa siku ya kufa, hakuna cha umependwa sana ndio maana umeenda, hakuna cha kuwa umelaaniwa sasa...
  9. CreativeSanta

    Siku Cocacola ilipogundua kwamba haimiliki Coca Cola

    Mwaka 1985, kampuni yenye brand inayotambulika kuliko viongozi wengi wa dunia ilifanya jambo lisiloaminika. Iliua bidhaa yake yenyewe!. Si kwa sababu ilikuwa imefilisika wala si kwa sababu ilikuwa imepoteza soko, bali kupitia mshindani wake bwana pepsi aliyekua akiwaambia wanywaji wa Coke kwa...
  10. BigTall

    Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo: Ushuru wa Bajaj Mbezi Stendi ni Tsh. 500 inayoshusha abiria na Tsh. 2,000 kwa siku

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA USHURU WA BAJAJI KATIKA KITUO CHA MABASI CHA MAGUFULI Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kwamba viwango vya ushuru vinavyotozwa kwa bajaji katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli vinatofautiana kulingana na aina ya huduma inayofanyika...
  11. Nexltshahda

    A to Z kesi ya lissu siku ya leo

    Mwenendo wote wa leo, Agosti 31, 2026 SEHEMU YA PILI Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu [Majaji wanaingia Mahakamani.] [Mheshimiwa Mnyika na Mheshimiwa Lissu wapo Mahakamani.] WAKILI WA SERIKALI: Waheshimiwa Majaji, kwa upande wa Jamhuri tupo tayari. Shauri linakuja kwa ajili ya...
  12. Crocodiletooth

    Tetesi:, Rais Dr samia wetu,na Dr.Nchimbi,wapo pamoja na wanawasiliana kwa jina la kaka na dada kila siku.

    Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff. ""INAITWA CHENGA YA MWILI""
  13. S

    Nawatakia siku njema na yenye mafanikio

    Namshukuru Mungu nimeamka salama na tayari kwa majukumu ya siku mpya. Nawatakia siku njema na yenye mafanikio. Kama unapitia changamoto yoyote, iwe afya, uchumi, familia au vinginevyo, Basi, Mungu wa mbinguni akukumbuke katika hitaji lako. Yeremia 29:11 Siku njema,,!
  14. funaku

    Hongereni JKCI:Mtoto wa siku mbili afanyiwa upasuaji!!

    Kwa kuwa tulikosea sana kusomesha ngwini wengi na tukasahau kusomesha wanasayansi basi Taifa linajikuta katika mijadala isiyo na tija na kuacha kuangazia maendeleo ya kweli katika sekta muhimu kama afya. Nimejuzwa kuwa sasa JKCI imeweza kufanya operesheni ya kipekee na kihistoria kwa mtoto wa...
  15. Carlos The Jackal

    CHADEMA iwashughulikie Wanachama/Viongozi wanaojifanya kumtaka HECHE akubali MARIDHIANO , hawa ndio walipangwa kufanya Fujo siku ya Baraza Kuu

    Hawa wapumbavu hawatikiwi kuonewa huruma. Kwanini wasimtake LISSU mwenyewe kukubali MARIDHIANO ili aachiwe ??. Kwann badala yake wanalazimisha HECHE wewe ndio ukubali MARIDHIANO ?. Kwani ni Ofa ngapi ambazo LISSU kaletewa akiwa Jela ili awe Huru ?? Kama LISSU mwenyewe hajazikubali hizo...
  16. baloziwamitaa_

    Tetesi: 1FAIDA ZA MUZIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

    Muziki si burudani tu. Ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku — inayoathiri hisia, akili, na hata mwili wetu kwa namna ya kushangaza. Tangu utotoni, muziki hutusaidia kujifunza. Watoto hukariri herufi, namba, na hata kanuni za maisha kupitia nyimbo. Kadri wanavyokua, wimbo ule ule unakuwa...
  17. M

    Agosti 30: Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Watu Walipotea kwa Nguvu (Enforced Disappearances)

    Leo, tarehe 30 Agosti, dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Watu Walipotea kwa Nguvu (International Day of Victims of Enforced Disappearances). Kwa mujibu wa taarifa kutoka Umoja wa Mataifa (UN), mwaka huu wa 2026 unatimiza miaka 20 tangu kupitishwa kwa Mkataba wa Kimataifa wa...
  18. instinct desire

    Baraza kuu la CHADEMA linapigwa chenga huku linalishwa na hela za donation na ununuzi wa Gali la Lissu ulipigwa chenga mwisho wa siku hela zikagongwa

    Kipi kinachozuia mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ili hali mkutano utaendeshwa kwa Hela za donation mlizowatapeli wajinga? Warudishieni watu hela zao. Mnazugazuga mwisho wa siku hakuna mkutano ili hali mna hela za watu kama ilivyokuwa kwenye donation ya kununua gari la LISSU mlizugazuga mwisho...
  19. DogoWaNjombe

    ACT Wazalendo: Utekelezaji wa ahadi za siku 100 na Bima ya Afya kwa Wote ni ahadi hewa

    ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote. ACT Wazalendo imefanya tathmini na kubaini kuwa, licha ya...
  20. E

    Sumulizi ya David Djumbe: “Waliniambia ndani ya siku tatu watanipoteza, baadaye nikatekwa na kutoroka msituni”

    Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, David Jumbe, anasimulia kwa kina matukio yaliyomkuta kabla na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, akidai kuwa alipokea vitisho, alifuatwa nyumbani na baadaye kutekwa na watu aliowatuhumu kuwa maafisa wa vyombo vya usalama. Katika mahojiano haya...
Back
Top Bottom