sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukifanyika utafiti Tanzania tunaweza kuwa nafasi ya juu sana Afrika katika nchi zinazoongoza kuvujisha video za utupu wa watu mitandaoni

    In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
  2. Ubora wa elimu ya chuo kikuu ulidumaa sana tangu utawala wa awamu ya nne kuingia madarakani.

    Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana. Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni 1. Matumizi ya mkopo (Boom) 2. Ngono 3. Uchawa kwa watawala Habari za wanachuo nchi nyingine ni 1...
  3. Masikitiko takwimu za wanao tembelea website afrika mashariki zimeni shangaza sana

    Tanzania watumiaji wa watsap ni wachache kulikowa sportbet yani bongo wanao bet ni wengi kuliko wanao tumia watsap, WAnao tembelea porn site kenya ni idadi kubwa mara mbili kuliko wa tanzania wanao tumia watsap. Uganda hawajapoa wanao bet ni wengi kuliko wanao tumia watsap. X videos ni...
  4. Kuna wakati mungu wa Biblia anakuwa na hasira kali sana

    Ezekieli 20:24–26 • 24 Kwa sababu walikataa amri zangu, wakachafua sabato, na kufuata vinyago vya baba zao. • 25 Naliwapa amri zisizo njema na hukumu ambazo hawakuweza kuishi kwazo. • 26 Nikiwatia unajisi kwa matoleo yao ya kupitisha watoto motoni, ili kuwafanya kuwa ukiwa wapate kumtambua Bwana.
  5. Vita ni kitu useless sana

    Moja ya vitu vya hovyo ambavyo binadamu tunafanya ni vita. Nachukia sana mijitu inayoanzisha vita Wanaoteseka ni watu wasio na hatia all kwa sababu ya ujinga wa mijitu michache inayojiona inastahili kuamua juu ya uhai wa watu wengine Yani vita ni moja ya vitu vinavyofanya niamini sisi ni viumbe...
  6. Uwezo mkubwa sana wa Lucid dream

    Hizo ndoto sina sababu ya kukuelezea sana , kuzihusu kwa sababu zimeongolewa mno jf na watu kama kina Rakims . Ila binafsi nimaisha yangu ya kila siku, wewe uliza chochote kuhusu lucid dream nipo hapa nitakujibu kwa ufasaha mno🤔
  7. Pentagone,Ndombolo,Titanic na RDC.Wenge waliishiwa ubunifu,nyimbo zinafanana sana.

    Hizo nyimbo nne ni identical songs,sio ajabu kwenye Music ni kitu Cha kawaida,ila kwa hizi nyimbo,wenge musica na wenge BCBG lawama zote kwa Alain Makaba hakutaka kujidumbua ,solo lilelile,tempo ya music nayo ikabaki ileile.ila ni kama walijua kuwa zitadumu milele,nyimbo nilizicheza miaka...
  8. Mboko anajisumbua sana, Fanya ulichotumwa, Baridi ya Norway moto wa nyumbani

    Wako huko kwenye baridi ya Norway, wamevaa makoti mazito, wanasimama mbele ya mti wa Krismasi, wanatabasamu kama hakuna kinachoendelea. Lakini nyumbani, moto unawaka. Watu wanalala kwa hofu. Kila ukosoaji sasa umekuwa kama kosa la jinai. Bila kujua umeongezewa jukumu lingine, jamaa mnayemtaka...
  9. Kamu Mungu yupo, watakaochomwa moto sio wasiomuamini tu, zaidi ya watu bilioni 6 watachomeka

    Kama Mungu yupo kweli na Uislamu ni dini ya kweli ina maana watu bilioni mbili tu duniani leo hii ndio wataingia mbinguni, hapo ukichukua Suni, Shia na Waislamu wasioshika dini wote kwa pamoja. Watu wa dini nyinginezo wote tofauti na Uislamu pamoja na wasioamini mungu ni motoni. Kama Ukristo...
  10. Hongera sana Maxence!

    Maxence Melo big up bro! You inspire most of us.
  11. Tundu Lissu ashukuru kufungwa tu, kosa lake la uchochezi ni kubwa sana, lingeweza kumgharimu maisha.

    Kosa la uchochezi (sedition) alilohukimiwa nalo Tundu Lissu kwa sababu ya kudai mabadiliko ya kisiasa ni kosa la kale sana ambalo liliwagharimu maisha kabisa watu wakubwa zaidi yake waliomtangulia. 1. Yesu Kristo japo leo hii ana wafuasi zaidi ya bilioni mbili lakini kosa lililopelekea...
  12. Inasikitisha sana kuona Afande Sele anayaweka Maisha yake hatarini..

    Anaelewa kila kinachoendelea nchini. He wants to be a hero! Binafsi siko Tayari Baya limkute.. ila linaweza likamkuta lolote. Hilo tamasha la Bongo 30, limeandaliwa makusudikaly kufuta memories na chuki ambaxo watu walishajenga dhidi ya wasanii kutokana na kuwa upande wa CCM.. Sioni sababu...
  13. K

    Kuhonga Raha sana

    Yaani mwanaume kumhonga mwanamke unaempenda na mtiifu kwako raha mno Unakuta una mwanamke mzuri mtiifu kwako hana mambo mengi. Kumnunulia zawadi au kumpa vitu vizuri kuna raha unapata kama mwanaume Ila kumpa pesa mwanamke jeuri ni sawa na kukabwa kutapeliwa au kuibiwa. Mimi napata raha...
  14. Mariam Uswazi ana upekee gani kwenyee vyakula vyake, mbona ni bei sana?

    Ambao mmeshawahi kula kwa Mariam uswazi mtuambie ana upekee gani kwenye vyakula vyake mpaka aviuze kwa bei kubwa sana. Utakuta ana post kachori 6, miguu ya kuku 8 bei elfu 15. Labda amepost chipsi zege na kuku nusu bei elfu 20 . Kachori 8 firigisi 4 kuku robo bei elfu 25. Bei zake haziendani...
  15. Dah leo nimekunywa pombe nyingi sana ila nina cha kusema kuhusu mahusiano yetu humu🤔

    Sisi ni watu wenye akili timamu sana , ndio maana tunakoseana , 🤔 Kiukweli tumezinguana ila sioni sababu ya kuendelea kuzinguana humu . Kupevuka nikuona na kuacha yapite, leo binafsi natoa kila mtu ignore kwa kutambua , nimekua kihisia na kiakili🤔 Na ndivyo JamiiForums.com inataka...
  16. Mnatumia nguvu kubwa sana kujiaminisha kuwa Kuna chama cha CHADEMA nchini huko ni kujidanganya CDM ilishakufa kitambo sana

    Kilichowamaliza CHADEMA ni siasa zisizoheshimu katiba ya Nchi na Maadili yanayolinda vyama vya siasa, ndugu zangu siasa za kihuni nchini Tanzania hazipo, siasa za kuamini mtatetewa na bunge la Ulaya Tanzania hazipo. Ukizingua unazinguliwa kwa Mujibu wa katiba ya Tanzania. Ni muda sasa wa...
  17. Kuna mambo ni magumu sana kuyaelewa 🤔

    Salama Wakuu ! Jana mida ya saa moja jioni, nilipita mitaa fulani kulikuwa na harusi hizi za mtaani Kuna mahali walikuwa wamekaa vijana wakike na kiume umri kama miaka 10 mpaka 15 Ile sehemu kulikuwa na ngazi kama nne au tano hivi , kuna kitendo nilikiona kilinitafakarisha sana na...
  18. Mafanikio ya vijana wa Dar yanachekesha sana

    Kijana wa Dar akiwa na hivi vitu tayari kamaliza kazi. Kinachobaki kwake ni bata na mademu 1. Bed Sofa 2. Tv inch 32 3. Viatu vya ghorofa 4. Meza ya kuweka mtungi wa gesi 5. Taa ya kuwaka marangi rangi chumbani 6. Hela ya kulipa taka 7. Router 8. Feni Akijitahidi saana ana kiwanja cha 15X15...
  19. U

    Nimebishana sana na huyu Msabato asubuhi Leo kati ya Yesu Kristo na Sheria kipi kinaanza, Yeye anadai eti sheria ila mimi nimewaambia ni Yesu yeye hat

    Wadau hebu nisaidieni. Mwana damu anaokolewa kwa sheria au kumjua Yesu Kristo? Nipe majibu haraka nimalizane na huyu msabato chapu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…