sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Android Smartphones: Nazipenda sana Samsung lakini nalazimika kuichagua Pixel sababu ya kamera kali na size ndogo ya kuenea kirahisi kiganjani.

    N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26) Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi kushika mkononi, lakini zaidi ya hapo zinakuja na camera kali sana 📸🔥. Ukilinganisha na S25 na S26...
  2. MFALME WETU

    Ni uvumbuzi upi unakushangaza sana katika ulimwengu wa teknolojia?

    As salaam alaykum. Binafsi zitakuja teknolojia zote lakini hii ya Ndege kupaa kwakweli inanifikirisha sana. Imagine hizi Airbus zinaruka hewani na kutua kama vile hamna kitu kwakweli hapana hata AI ikasome. Vipi wewe teknolojia ipi inakushangaza?
  3. Red black

    Kuna furaha sana ya kunywa pombe na company ila majuto yake ni makubwa sana siku inayofuata

    Leta kama tulivyo ni kauli nzuri sana sisi wanywaji wa pombe ila ina majuto sana.... Kwanza umekula hela zote hujabakiwa na ela ya supu na kutoa hang over kwenye bank umekomba akiba yote. Umeopoa Malaya asubuhi unashangaa demu ana mabakabaka kama chui na uligonga kavu.. wtf Pombe ni...
  4. M

    Mpira wa Bongo sasa hivi brand kubwa inalipa; Fei anaandaliwa signing fee ya bilioni 4 na mshahara 120M, Okello kacheza nusu msimu tu kauzwa bilioni 2

    Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata. Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5. Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
  5. Mshana Jr

    Kichomi cha Dr. Kitima Phd.. Bado yupo sana

    Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama kuzifafanua kwa waliojipachika madaraka Hiyo inaitwa ... Usiyempenda kaja... Kaongoza vema jopo la wasomi...
  6. The unpaid Seller

    Video: Ukiulizwa kwanini haufanyi mazoezi jibu lako litakua ni lipi ? Mdau amejibu kwa kushangaza sana

    binafsi nakosa muda mixa kauvivu na pia sina company ya watu wa kwenda nao mazoezi, je wewe sababu yako ni ipi video: https://vt.tiktok.com/ZSVLwaS17/
  7. R

    TanzLII imekuwa kero sana siku hizi. Haifunguki

    tatizo ni nini? haifunguki ikifika kwenye kuhakiki you are not a bot! Kila sectors ni laana. sasa na hii imekuja kwenye laana .ya kuwa uselessness!
  8. A

    KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
  9. polokwane

    Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  10. Yoda

    Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  11. K

    Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba

    Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba. Ni kwasababu wakina Kikwete wanataka waweke watoto zao, yeye aweke mtombah wake ambaye ni waziri kwenye uongozi wa nchi akiondoka. Yaani sasa wamejisahau na kuona nchi kama ni yao na ubaya zaidi vyombo vya usalama vyote...
  12. G

    Tangu arudi kukalia kiti , amekuwa mshauri sana

    Kila akifungua kinywa chake yanatoka maneno ya Shari tupu. Vitisho, kejeli, malalamiko, manung'uniko nk. Hakuna tena neno la faraja kutoka kinywani mwake. Hivi ni dalili kuwa hana amani moyoni au ni tatizo la kisaikolojia?
  13. Red black

    Natamani kila raia angepata lenacapavir injection maana ni muhimu sana a weapon against HIV-1

  14. Zirconium

    Sikuona haya mabadiliko kabla , Nimeshangaa sana

    Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea, nikitokea Kijitonyama . Binafsi, ni miezi sita tangu nifike Tabata, na njia zangu za kawaida zilikuwa hazinipeleki upande huo. Lakini kila tulipokuwa tukikata kona, nilikuwa nashangaa kuona jinsi mji ulivyobadilika. Si ule mji...
  15. My mee

    Wanawake weupe wanagawa sana utamu kwa kigezo cha UZURI 🫣.

    Yaani mwanamke mweupe akisifiwa tu yy mzuri.unaweza mla hata bure. Ni tofauti sana na wanawake weusi. Mara nyingi huchukuliwa kama sio warembo. Na hasa hawa wadada wa KIRANGI ,ndo wanagawa sana kama njugu. Yuko radhi kumtumuku mume.wa ndugu yake papa. Eee..niongeze sauti au nipunguze...
  16. B

    Roho imeniuma Sana, unahangaika kuhonga Mwanamke wewe unatumia Samsung yeye anatumia iPhone 16 promax

    Imeniuma sana. Huyu bi dada kila siku kunipiga vizinga, kuomba omba unajitia ana njaa Kali Sana, hata Kodi namlipia Mimi, kila siku hata nauli ya kwenda Chuo ananiomba, najibana kadiri niwezavyo ili nimrudhishe.. Siku zote naona anatumia iPhone ila sijui anatumia toleo lipi. Leo ndio nagundua...
  17. KanyeWest_Tz

    Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

    Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi? Ni laana gani tuliyo nayo sisi? Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena? Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa...
  18. P

    Kama unasumbuliwa na aina hii ya vipele nyuma ya shingo/kisogoni ipo dawa rahisi sana

    Mimi ni Moja ya watu waliohangaika sana na hivi vipele/vidonda kwa mda mrefu sana. Nimetumia Kila dawa za kienyeji mpaka sindano nimechoma ila hola sikupona. Ila nilivyogundua huu mchanganyiko wa dawa 2 vidonda vilikauka haraka ndani ya siku nne tu za mwazoni now niko kabisa . Dawa hii...
  19. Vien

    Maisha yamebadilika sana, siku hizi mguu wa kutoka unafanana na mguu wa kubaki ndani

    Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema: “Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.” Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
  20. Mi mi

    Hatukuwa tofauti sana na Singapore; kwanini Nyerere aliamua kujirundikia madaraka ya Urais ikawa kama ufalme?

    Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza. Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama uliokuwepo Singapore ambao hupo mpaka sasa na hapa Waziri mkuu wa zamani wa Singapore Lee Hsien Loong...
Back
Top Bottom