sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Marekani ni nchi tajiri sana. Kwa nini hawatatui tatizo la homelessness na drug addiction nchini kwao?

    Huwa nikiangalia matatizo ya huku kwetu Africa, ni kwamba nchi za Kiafrika ni masikini na kuna matatizo kama makazi nk ni ngumu kusolve kwa sababu nchi za Kiafrika hazina hela Lakini Marekani wamerithishwa nchi tajiri na hadi leo inaendelea kuwa nchi tajiri kwa nini wanashindwa kupata solution...
  2. Gerson alimsemaga sana Zuhura. Leo naye yamemkuta

    Wakati Zuhura alikuwaga kurugenzi magogon akitokea bibisii Gerson pamoja na Abbas walimsemaga sana vibaya kuwa hawez kazi ni incompetent hadi kwenye huo umbea Pasco wetu teuzi enthusiast alikuwemo. Source: Vijana wangu kitengoni Rama na Frenki.
  3. Hivi huyu Mwandishi anayejiita ZUNGU, yupo sawa kichwani?

    Kaandika pumba nyingi sana humu, halafu mwenyewe anajiona JASUSI 🤣🤣🤣 Ila bongo bana, ukiweza kuandika maandishi marefu sana na kuyapangilia kuhusu jambo lolote lile basi nawewe ushajivika ubobezi. Unaishauri serikali ikatae Starlink eti sio salama kwa usalama wa taifa, hivi nawaza marekani...
  4. Ningefurahi sana endapo Pascal Mayalla angekwenda kumsaidia Makonda

    Paskal mtu mzuri sana,hana makubwa,anajinywea tu kakonyagi kake nyakati za jioni,ukibahatika ukakutana naye ni lazima akutoe kanusu,jamaa fureshi sana huyu, Dr samia ikikupendeza naomba tumpime huyu ndugu yetu uwezo wake kiutendaji,mpe shavu mwanaaa,ili wengi tupone maza etu,mtoe paskal...
  5. Yule mwanamke nilimuhangaikia sana

    Usiku nilikuwa silali... Nikinywa maji namuona kwenye glasi... Kama nikilala namuota yeye.... Kila nilichopata nilimkumbuka na yeye.. Lakini alizidi kunisumbua na kunitesa sana sana..... Sasa siku isiyokuwa na jina kakubali... doooh..... Sikuamini...mapigo ya moyo yakaongezeka...pumzi...
  6. K

    Vyama Machawa akupendaye hakupi 2% wana wadharau sana CCM

    CCM inawaheshimu na kuwaogopa Chadema tu masikini hata ACT wazalendo wamebaki kama machawa. Sasa vyama vya kisanii ni kama vile vinaenda kupata uji na chai Ikulu na wamekuwa wapiga debe wakubwa wa CCM. Sasa cha kujiuliza pamoja na wizi wote wa kura yaani mnabakiziwa 2% na vibunge viwili au...
  7. Kwanini wenye magari wanavimba sana? Au ni ushamba?

    Kwa nchi za wenzetu, magari wala sio ishu kabisa, ni kitu cha kawaida sana. Huku Tanganyika na nchi nyingine za gizani, mtu yuko tayari hata amuue mama yake ili anunue gari. Mtu yuko tayari kuiba fedha za umma, kuua tembo, na kufanya vituko vingine vya ajabu ili tu anunue gari. Na wenye...
  8. B

    Ni hatari sana kwa Chadema kujifungamanisha na wale waliyofanya vurugu tarehe 29 octoba

    Wale vijana waliyofanya vuruga tarehe 29 octoba walifanya makosa makubwa sana.huwezi kuzia uchaguzi siku ya uchaguzi. Tunaona kwamba walichoma ofisi za serikali,vituo vya kupigia kura,vituo vya kuuzia mafuta ,kuchoma barabara. Chadema hamuoni kuwa ni hatari kijifungamanisha na wale vijana?mimi...
  9. Kuwa na wake wawili raha sana, nina wake wawili michepuko wanajuana na wanapendana sana

    Hii michepuko yahivi ni irasimishe kabisa niachie huyu mrugaruga niliokuwa nae, ni kama wana chemistry fulani hivi hakuna cha wivu wala nini nikiwa nao nainjoy sana na wala hawana matumizi kiviile Leo nimekutana na mmoja ananiambia rafiki ake ananisalimia nikamtoa afu ishirini akampe na mwenzie...
  10. Leo nina swali ambalo limekuwa likinisumbua sana… Wanawake mnaovaa mawigi, na hili joto la El Niño mnavumiliaje? Hivi kichwa hakipati moto

    1:Joto kali_Hivi kichwa kinapopata joto mnavumiliaje bila kujisikia vibaya 2:Kutokwa na jasho _Je mkiwa mmevaa wigi na jasho likaanza kutoka kichwani huwa mnafanyaje?
  11. M

    Mwananchi: Mfumo wa ajira unachangamoto sana, mtu unaweza kuomba hata mara 1000 usipate

    Wananchi ambao ni wahitimu wa vyuo mbalimbali wanazungumzia namna ambavyo elimu waliyoipata haikuwa na uhususiano wa mojamoja na matakwa ya ajira. Vijana wengi wako mtaani wakiwa wamehitimu vyuo vikuu na wanarudi mtaani kufanya shughuli za kuunga unga ikiwemo umachinga.
  12. Hivi ni kwanini watu wanaidharau sana hii kazi?

  13. Safi sana Mheshimiwa John Heche!

    Massive big up for staying on code. Jana wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, Mheshimiwa John Heche mara kadhaa alimtaja Samia kwa majina yake tu. Hakutaja rais wala dokta. Kamtaja Samia Suluhu Hassan tu. Mheshimiwa Heche kanifurahisha sana. Samia siyo rais na wala siyo dokta...
  14. Balimi inadharaulika ila ni bia kali sana

    Nimezoea kupiga safari,so hapa kwa Mama Chiku leo hakuna safari larger nikasema ngoja nijaribu kupiga balimi. Asee toka saa 10 jion nimekata moto ndio nazinduka hapa saivi.
  15. Tanzania na Zimbabwe zimefanana sana

    Tanzania na Zimbabwe zimekuja kufanana sana kama mapacha!
  16. Inaumiza sana kuona Udini umeshamiri Tanganyika ndani ya hii miezi 12

    Miaka michache tu iliyopita Watanganyika tulikuwa tunawa accuse Wazanzibari kwa udini, bila ya kujua ipo siku na sisi tutafikia huko. Tofauti ni kwamba Zanzibar ilitangulia tu, sasahivi ni kama wote tuko sambamba Kuna mada nilileta humu kuhusu yule mtoto wa Ghana aliyeuawa kwa kupigwa risasi...
  17. HOJA Serikali imegharamika sana kujenga madaraja ya Watembea kwa Miguu Kimara, Buguruni na Manzese, ila watu Bado wanakatisha barabarani!

    Sijui ata tunawaelewaje. Na wanasababisha foleni, huwezi amini.
  18. H

    KERO TIGO/YAS router hii ya POST PAID tunaibiana sana, inatuumiza sisi Raia wa Kawaida rekebisheni TAFADHALI. How come natumia ikiisha nikichelewa DENI

    TIGO/YAS router hii ya POST PAID tunaibiana sana, inatuumiza sisi Raia wa Kawaida rekebisheni TAFADHALI. How come natumia ikiisha nikichelewa DENI linaongezeka.
  19. H

    Brela, Brela na Brela tumewaita mara 3, JIREKEBISHENI MNATUTESA SANA WATEJA WENU sanasana hapo kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA sijui mmepataje kazi hapo

    Brela, Brela na Brela tumewaita mara 3, JIREKEBISHENI MNATUTESA SANA WATEJA WENU sanasana hapo kitengo cha HUDUMA KWA WATEJA sijui mmepataje kazi hapo. Namba za huduma kwa wateja hatufurahishwi na haitusaidii kitu, kazi kutaja track no then IMEISHA sio vzr Bwana. GODFREY NYAISA(mkurugenzi brela)...
  20. S

    Jambo moja la msingi sana nimetambua kuhusu mustakabali wa siasa na uongozi wa Tanzania na Watanzania wenyewe

    Kwamba aidha kiongozi mwanasiasa anakuwa ni mjinga sana au sisi Watanzania wote ni wajinga sana. Lazima mojawapo kati ya hayo mawili liwe kweli. Sio rahisi yote mawili yawe kweli au kutokuwa kweli kwa wakati mmoja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…