Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,
Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.
Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.
Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.
Watu wako so brainwashed mpaka...