sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaharakati wa kisiasa kurukia rukia matukio inanihuzunisha sana

    Hamjambo! Napenda wapigania haki. Hilo litabaki hivyo. Lakini nachukia ushabiki maandazi. Yaani uanaharakati wa kishabiki. Siupendi kwa sababu unaulaghai na uongo mwingi sana. Na mtu mwongo kwa kweli hanivutii. Ukiwa muongo uwe muongo mwenye Akili angalau. Hawa wanaharakati uchwara hawana...
  2. K

    Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki

    Imani ya Mahakama imepungua sana lakini wanaweza kuirudisha kwa kutenda haki. Vilevile mkiendeshwa na Ikulu sio tu Mahakama itakuwa haina imani kwa watu bali itaonekana ni chombo cha mafisadi kama kwasasa ilivyo Bunge
  3. Minjingu Jingu

    Nathaniel Chilambo anachotumia watu wakigundua sijui itakuaje ? Namshangaa sana kila sehemu uwanjani unamkuta

    Mi nashindwa kumwelewa. Nadhani huko mbeleni tutamwona kipa akiwa katoka anadaka si kwa sifa hizi anazotaka. Mi mpaka leo sielewi anacheza namba ngapi huyu jamaa. Kama anatumia dawa kwa kweli hizo dawa watu wakizingundua nao wakaanza kutumia mpira wetu utakua sana. Haiwezekani. Namshangaa...
  4. Masai wa Town

    Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine

    Naumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine. Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu. Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa...
  5. haszu

    Kama unafika sehemu au unapita na watu hawakuangalii mara mbilimbili au kushtuka, basi wewe unamuonekano wa kawaida sana na hata kuvaa hujui

    Mimi nikipita sehemu lazima watu watashtuka kidogo, na huwezi niangalia mara moja, utageuka tu mara ya pili, wote wanaume na wanawake. mwanzoni nilikua nashtukia lakini baada ya kujua ni muonekano wangu bas sasa nimeshazoea. Na asio kua weupe unanibeba, hapana, ila kuna ile hali ya kua na...
  6. Dennis Robert Shughuru

    Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

    Lema uwezo wake ni mdogo kwenye mambo mengi sana ila leo ntaongelea chapisho lake linalohusu katiba mpya 👇👇👇👇 Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale Fikra zetu zipo...
  7. Jidu La Mabambasi

    Msemakweli kuonewa inauma sana!

    Nimeona mwananchi huyu huko kanda ya ziwa akilalamikia kuonewa. Nimeitazama hii clip na machozi yamenilenga. Mikoani miungu watu ni wengi. Viongozi tumwogope Mungu.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Nipo Kariakoo muda huu: Kariakoo kumetakata, kusafi sana. Wahusika wapongezwe

    Hamjambo! Jua ni Kali sana hapa! Kupigana vikumbo ni hali iliyozoeleka maeneo haya. Kelele za watu na magari kama kawaida. Hakuna anayeshtushwa na hayo. Imezoeleka hivyo. Lakini kuna jambo moja sio la kawaida macho yangu yanaliona. Na naamini sio mimi pekee bali wengi wanaona hali hii. Maeneo...
  9. Kaka yake shetani

    Kuna uchafu mwingi sana Tanzania kama ni kweli .Ni ngumu kutoka kwao

    Unaweza kuona bandari yetu wakijisifia ila nyuma ya pazia. Huko ndiko kitovu cha silahaa zinazokwenda congo,sudani . Mwengine ni kenya na yeye yupo kwenye listi. Tuishie hapa.
  10. C

    UVCCM Dodoma Wanu tunampenda sana lakini shemeji yetu Mchengerwa katuzingua sana

    Umoja wa Vijana umekanusha tuhuma za rushwa, ukisisitiza kuwa vijana ni watu wanaojitambua na kuelewa wajibu wao katika jamii. Akizungumza kuhusu suala hilo, mwakilishi wa umoja Dodoma amesema kauli iliyotolewa haikuwa nzuri kwa kuwa imeonekana kuwahusisha vijana wote, jambo ambalo amelielezea...
  11. Tlaatlaah

    Ni wakati muafaka sasa kwa Serikali kama mlezi, kuchukua hatua za makusudi na kuharakisha mabadiliko ya uongozi TLS.

    Ni wazi, na sote ni mashuhuda wa ombwe la uongozi linaloonekana wazi kabisa kwenye taasisi hiyo ya kitaalamu Tanzania. TLS imeacha misingi na malengo ya kuanzishwa kwake na kutumbukia kwenye mikono ya uongozi wa vibaka wa kisiasa na wanasiasa uchwara, ambao haijulikani wanafanya makusudi au...
  12. Kazanazo

    Kwenye maisha ukikosa backup unateseka sana

    Yani unajikuta huna kulia wala kushoto ndugu wanajua kusaidiwa wao likikupata no one is there kiuhalisia unaweza tamani uwe mwenyewe bila ndugu ila ndio hivyo tena
  13. M

    Mtutsi ni mtu ambae hapendi kuongozwa na Mbantu, Pamoja na kuwa wachache atafanya lolote apate uongozi au usawa kwenye uongozi sehemu yenye wabantu

    Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23. Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa...
  14. M

    Kuna tatizo gani kiwanda cha Tanzania distillers Ltd kuacha kuzalisha Valeur brandy? Wateja wanahangaika sana

    Kinywaji hiki pendwa hapa nchini kimetoweka kwenye soko. Kinapendwa sana na wateja wangu. Kama zaidi ya miezi mitatu kimepotea kwenye soko.
  15. K

    Masikini umashuhuri na Mama umepitwa hata na Miss Grand! Tamaa mbaya sana

    Mama kabaki na machawa tu. Hakuna wa kumuamini zaidi ya Wanzanzibari wenzake tu. Huku bara kabaki na machawa tu. Na asipokuwa makini watamaliza kama Magu hukohuko hospital na kusema alikuwa na strock au ugojwa wa moyo. Hawezi kuweka madaktari wote wa Zanzibar kila wakati. Umashuhuri mdogo wa...
  16. Eli Cohen

    Naona watu wengi wana share sana hints za kujua mwanamke au mwanaume wa kutomletea majanga mbeleni. Nipende kuwaambia hamjui "HUMAN NATURE"

    Matukio ya mauaji baina ya wenza hivi karibuni yamezua mijadala na mihemuko Hata masikini wanaekeana sumu kwenye chakula na hakuna chochote atakachokirithi kama mume huyo akifariki. tabia njema na sura ya upole sio njia ya mke au mume mwema. MAbadiriko ni njia ya mwanadamu, haujui wife...
  17. Equation x

    Nimefurahi sana mchepuko wangu kunijulisha ana ujauzito wangu.

    Huyu mdada nilikuwa namtamani sana miaka 2 iliyopita nyuma, lakini hakunipa nafasi. Na kilichofanya ni mtamani, ni uzuri alionao, shepu, rangi, usafi na kupelekea watu wengi kutamani kuwa naye. Nilimwekea mazingira ya kila namna ya kumuhitaji, na nilishamtakia nataka uwe wangu nioteshe...
  18. Zack Abdul

    Mapokezi ya Miss Grand International 2026 JIHAN yamewavuruga sana wanaharakati, hawakutegemea

    https://x.com/_zack255/status/2111781633795744164
  19. Pascal Mayalla

    Je Tumuenzi Baba wa Taifa kwa Maneno au Matendo?. Mwaka 1976 Walikufa 4 Akakasirika Sana, Akasafisha!, October 29, 25 Wamekufa 518 Kuna Aliyekasirika?

    Wanabodi, Nilipata mwaliko wa ITV kuzungumzia Kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. https://www.youtube.com/live/BCed6WueJmM?si=pC7ZgWDyWKPHRKAp Karibu. Mzee Pasco
  20. Isenye

    Kwanini sisi wanaume tunaofanya kazi taasisi zenye majina makubwa tunashobokewa sana na warembo?

    Nikisema taasisi zenye majina,namaanisha taasisi hizi. 1.ikulu 2.BOT 3.Ewura 4.Naot 5.Tanesco 6.Bunge 7.Balozi mbalimbali 8.Tpdc 9.wizara ya fedha 10.Tcc 11.Tbl 12.Tanapa 13.coca cola 14.Serengeti breweries 15.kilombero sugar Na nyingine za aina hiyo. Ni kwa nini warembo wanatushobokea sana wakuu?
Back
Top Bottom