Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege.
=====
UPDATES
======
Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato.
Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo.
Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
Wizara ya mambo ya nje ya Morocco imesema kwamba kuanzia Jumatatu itasitisha safari za ndege kuingia nchini humo kwa muda wa wiki mbili.
Hatua hiyo ni kutokana na aina mpya ya virusi vya corona vya Omicron. Kwa mijibu wa shirika la habari la AP, Wizara hiyo imesema kwamba hatua hiyo ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.