polisi

  1. M

    Huko FB wananchi wanafurahia kifo cha Kamishina wa polisi. Taifa limefikia pabaya sana.

    Mtu anakufa watu wanafurahia👇
  2. Waufukweni

    Dudubaya: Polisi msihangaike kunitafuta, nakuja mimi mwenyewe

    Msanii Dudubaya aitikia wito wa Waziri wa mambo ya ndani Katambi baada ya Waziri kutoa maagizo kwa jeshi la Polisi Dudubaya akamatwe baada ya kukaidi kuitikia wito wake wa kwanza hapo juzi. Soma: Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali "Sijawahi kuwa mkaidi kwa...
  3. Carlos The Jackal

    Ukamataji wa POLISI usozingatia PGO, Uvaaji Sare Polisi , unaacha Loophole ambayo Wahalifu wanaitumia kufanya Utekaji ,Mauaji !

    Siku hizi Anakamatwa Mtu ,lkn unashindwa kujua, Amekamatwa au Ametekwa!. Ametekwa na Jeshi la Polisi ? Ametekwa na Usàlama? Ametekwa na Wahalifu ?. Nmekua Mstari mbele nikikemea Tabia hii ya Polisi, Tabia ya Kihuni , Tabia hii inaacha mashimo ya Kiulinzi na Usalama !. Wahalifu , Walipa Visasi...
  4. Dalton Elijah

    POTOSHI Polisi wamwagiwa maji nchini Afrika kusini

    Kumekuwepo na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuonyesha raia wakimwagia maji magari ya polisi. Hata hivyo, kichwa cha habari kilichoambatanishwa na video hiyo kinapotosha uhalisia wa tukio. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza kuwa video hiyo ilirekodiwa...
  5. figganigga

    Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

    Malisa amesema; 1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai 2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi 3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko 4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia wala kunichukua 5...
  6. Jannatul Firdaus

    Polisi; Tumemwachia Malisa kwa dhamana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake usiku wa Agosti 31, 2026, kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zikichunguzwa dhidi yake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Malisa na mwenzake walifanyiwa...
  7. Jannatul Firdaus

    Jeshi la polisi latakiwa kutoa taarifa kuhusu alipo Malisa GJ

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeipokea na unaifuatilia taarifa iliyotolewa na Wakili Dickson Matata tarehe 31 Agosti 2026 kuhusu kushikiliwa kwa Godlisten Malisa baada ya kuwasili katika mpaka wa Namanga. Malisa alikuwa akirejea nchini akitokea Marekani kupitia...
  8. A

    KERO Polisi wa Ushirombo Geita wanaokagua nyumba za kulala Wageni wanatengeneza mazingira ya 'upigaji'

    Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA, watakwambia wanataka Kitambulisho cha Mpiga Kura ukiwa na Mpiga Kura wanakuuliza NIDA. Wakikupeleka Polisi...
  9. Manyanza

    Askari Polisi Mwita Milumbe ateswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

    Habari ya kazi kaka. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania. Mkoani Tanga kuna unyama wamefanyiwa mdogo wangu kwa kutokukubali kuwa upande wa mauaji na utekaji wao. Amekuwa akipinga mpaka akahamishwa kituo cha kazi kutoka Dar es...
  10. Burn the bridge _Tz

    Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

    Mbona muda unazidi kwenda? Watu wa system tuambizane jamani tujiandae na chochote kitu mana mkono mtupu haulambwi
  11. L

    Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
  12. O

    Polisi Wapata Muonekano Mpya: Rais William Ruto Azindua Sare Mpya Kiganjo

    Rais William Ruto amezindua rasmi sare mpya za maafisa wa General Duty wa Kenya Police Service katika hafla iliyofanyika Ijumaa, Agosti 28, 2026, katika Kenya Police Training College, Kiganjo, Kaunti ya Nyeri. Chini ya muundo huo mpya, maafisa watavaa shati za rangi ya sky blue, suruali za...
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    Usalama wa Taifa, JWTZ, na Jeshi la Polisi Tanzania Hivi mnatuonaje?

    Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika? Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
  14. BigTall

    Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

    Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao. Pia soma: ~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
  15. O

    Gachagua Aibua Madai ya “Black Site” Hurlingham: Je, Polisi Walikiuka Katiba?

    Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua ameibua madai kuhusu kuwepo kwa kituo cha polisi kisichotangazwa rasmi katika eneo la Hurlingham, Nairobi, alichokiita “Black Site.” Gachagua anadai kituo hicho kilitumika katika operesheni dhidi ya wafanyabiashara wa gesi ya LPG, ambapo mitungi mingi...
  16. figganigga

    TANZIA Pwani: Polisi wawili wagongwa kwa mkupuo na kufariki

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye eneo la Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani. Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema baada ya ajali...
  17. Manyanza

    Polisi wetu wana roho mbaya

    Picha aliyoisemq Tundu Lissu ni hii kwamba akiwa Tarime alipigwa na Polisi mpaka wakachana Kombati yake. Hii Kombati ilivyo ngumu inakuwaje wanampiga mpaka kuichana? Yawezekana walikuwa wanamgawana. Msomi na mtetezi wa rasilimali za nchi na mtu anayependa haki na usawa. Anafanyiwa hivi na...
  18. A

    KERO Ukichelewa kulipa Service Levy Gongolamboto, Maafisa Biashara wanakubambika faini ya kukukomesha na kukupeleka Polisi

    Kero yangu ni Ofisi ya Kata ya Gongo lamboto iliyopo Pugu Kona, Maafisa Biashara wa Halmashauri wamekuwa wakikamata Wafanyabiashara na wasiokuwa na leseni au wenye leseni lizizoisha na wengine kuhusu kodi ya Service Levy ambayo kwa asilimia 80 watu hawana uelewa kuhusu kodi hiyo. Baada ya...
  19. Roving Journalist

    Watu wawili washikiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuiba Mita 14 za MUWSA, Moshi - Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wakiwa na jumla ya mita 14 walizoziiba usiku wa kuamkia Agosti 22, 2026 kwenye Mji Mdogo wa Himo. Akizungumza na waandishi wa habari Mhandisi Kija...
  20. Jidu La Mabambasi

    Kero ya usafirishaji--malori kusimamishwa na kila polisi, hapa Kitila Mkumbo kapatia.

    Tunataka mawaziri kama Kitila Mkumbo anayeelezea tatizo la usafirishaji kinaga ubaga.
Back
Top Bottom