Hili limethibitishwa, kwamba TAKUKURU, TISS na hata Polisi hawatilii maanani tena kufuatilia au kutoa taarifa kwa mamlaka ya juu nchini kuhusu wizi na ufisadi mkubwa unaofanyika nchini, iwe na watu wa ndani au wa nje.
Kuna mtu nilipogusia kwake jambo hili kupata maoni yake aliniangalia usoni...
Msanii wa music nchini Tanzania anayewakilisha nchi hiyo Kimataifa katika sanaa ya muziki na Uandishi, hivi karibuni alitangaza nia ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mgombea binafsi, Civilian-Coin Nalimi Kisandu amesema akiwa Rais wa Tanzania atafuta na kuondoa kabisa...
Hawa ni genge rasmi la watekaji, watesaji na wauaji waliopewa mamlaka kamili kupambana, kuwakamata, kuwatesa, kuwapoteza na kuwaua wasumbufu wote ambao ni wana Chadema, wanaharakati na wana CCM wanaoonekana hawakubaliani na kundi la watawala.
Soon ntaweka picha zao. Hawa wanatumia Land Cruiser...
Mvutano umeibuka kati ya afisa wa polisi wa trafiki na mmiliki wa gari aina ya Mazda baada ya afisa huyo kutaka kuendesha gari hilo hadi kituo cha polisi, lakini mmiliki akakataa kumpa usukani.
Katika video inayosambaa mitandaoni, afisa huyo anaonekana akiwa ameketi kwenye kiti cha dereva huku...
Huyu mama misimamo yake ilitosha kuwashawishi wakubwa wa wizard na idara ya polisi kumpatia nafasi kubwa ya maamuzi ndani ya polisi.
Binafsi kwa sasa sijui aliishia wapi mara baada ya kuchomoza na hotuba zilizo trend sana kipindi kile Jiwe yupo magogoni.
Soma Pia: Rais Samia asante Kwa Uteuzi...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imetoa amri kwa Jeshi la Polisi kumfikisha mahakamani Bi. Jacquiline Valence Mlekezi ndani ya saa 24, baada ya kushikiliwa kizuizini kwa siku 27 bila kufunguliwa mashtaka wala kupewa dhamana.
Amri hiyo imetolewa mbele ya Jaji Salima...
Leo nimefika katika kutuo kikubwa cha Polisi kinacho hudumia; Mbezi, Goba, ubungo,nk.
Kutokana na ukubwa wa kituo hicho mashauri kijengwe upya kwakuzingatia viwango vya vituo vikubwa, ikiwezekana kijegwe ghorofa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo lililotokea Rusumo, mkoani Kagera raia mmoja wa China anadaiwa kuingia kwenye mgogoro na askari polisi aliyekuwa amevalia kiraia baada ya askari huyo kumzuia kuchukua kokoto za mfanyabiashara Mtanzania.
Raia huyo wa kigeni alidai kuwa kokoto hizo ziliibiwa...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando ambaye pia ni mwanzilishi wa mashindano ya Baba Levo Cup ameamua kuiondoa timu ya Polisi Kigoma kwenye mashindano hayo, kufuatia kukamatwa kwa wachezaji saba wa timu ya Kibirizi FC.
Kupitia taarifa yake, Mbunge huyo amesema mchezo kati ya Polisi Kigoma...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kutowavumilia wala kuwaonea haya madereva wanaendesha magari yasiyo na namba za usajili, akisema tabia hiyo ni sawa na ujambazi.
Akizungumza leo Novemba 14, 2026, kwenye Uzinduzi wa Usafi Dar es Salaam...
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amelitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) na serikali kuwakemea askari polisi ili waache vitendo vya kamatakamata zisizo na sababu na kubambikizia wananchi kesi, akionya kuwa vitendo hivyo vinasababisha mpasuko na kuichafua...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando ambaye pia ni mwanzilishi wa mashindano ya Baba Levo Cup ameamua kuiondoa timu ya Polisi Kigoma kwenye mashindano hayo, kufuatia kukamatwa kwa wachezaji saba wa timu ya Kibirizi FC.
Kupitia taarifa yake, mbunge huyo amesema mchezo kati ya Polisi Kigoma...
Habari hii ni Kutoka Dawati la Habari polisi Kilimanjaro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Kayongo Marias, mwenye umri wa miaka 37, mkazi wa Rau, Manispaa ya Moshi, kwa tuhuma za mauaji ya Kenedy Daniel Kimath, mwenye umri wa miaka 32, mkazi wa Longuo ‘A’, ambaye aliuawa kwa...
Nimekupangia maelezo haya kwa mtiririko mzuri, nikaboresha lugha na kuondoa makosa ya kiuandishi bila kubadilisha maana ya ushuhuda. Nimehifadhi nukuu za mtoa ushuhuda kadiri ya maelezo uliyotoa.
1. Kukamatwa na kufungiwa nyumbani Zanzibar
Issa Ali Awesi, mkazi wa Zanzibar, amesimulia namna...
Polisi wa New York (NYPD) wamekamata kijana mwenye umri wa miaka 17 anayetuhumiwa kuhusika na mauaji ya Javits Frimpong, mvulana wa miaka 15 mwenye asili ya Ghana, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi wakati akienda shule mjini Bronx, Marekani.
Katika video hiyo, maafisa wa polisi wanaonekana...
Vyombo hivi vina wajibu wa kulinda taifa, usalama wa wananchi na mamlaka ya kikatiba. Hata hivyo, kumekuwa na maswali na tuhuma zinazohitaji uchunguzi kuhusu mipaka ya ushiriki wake katika siasa.
*Baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola kuteuliwa kuwa Wakuu wa Mikoa au Wilaya, hali inayozua...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Peter Mmasi (32), mkazi wa Kimara, kwa tuhuma za kumzuia na kumshambulia askari Polisi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake ya kumkamata.
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kumshambulia Sajenti Johnson Sylivery wakati askari huyo alipokuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata watu wawili, akiwemo dereva wa mtambo wa kuchimba udongo (Excavator), Halidi Seleman Kalaghe, mwenye umri wa miaka 45, kwa tuhuma za kuharibu mali za mwajiri wake, kampuni ya China Energy Engineering Group Guanxi Hydroelectric Construction...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.