polisi

  1. Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

    Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea...
  2. Polisi na TRA, kusanyikeni hapa!

    Polisi mnafanya kazi njema, TRA mnasaidia kukusanya mapato. 1. Polisi, kwa kushirikiana na TRA tunaomba kanuni za kulazimisha Pikipiki zote na Bajaji na Maguta kuweka plate number kwa mbele, yaani si nyuma pekee ili wakimkosea traffick aweze kunakili. 2. polisi na TRA tunaomba mfikirie hizi...
  3. Aomba kupelekwa polisi baada ya kugonga gari la gharama

    Mzozo wa barabarani umejitokeza baada ya dereva wa pikipiki ya miguu mitatu (Toyo) kugonga gari la kifahari, kisha kuomba apelekwe kituo cha polisi kuliko kutakiwa kulipa gharama za matengenezo ambazo hana uwezo nazo. Tukio hilo limetokea baada ya mfumo wa breki wa Toyo hiyo kukatika ikiwa...
  4. Nimetenga 3m inisaidie kujiunga na jeshi la polisi Tanzania

    Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbaga wa uhakika ili nizame CCP karibu
  5. R

    Poleni jeshi la polisi kwa msiba huu mzito

    Kama waungwana tunatoa pole. Basi na nyinyi tunawaombea mubadirike muwe Police Peoples Service and NOT Force. Ikataeni falsafa ya Kifo ni Kifo. RIP Kamanda.
  6. R

    Advocate Mtatiro: Polisi wamemtesa sana na kumuumiza Daktari aliyepigana na Traffic

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika: "Kuna msamaria mwema ndani ya Jeshi la Polisi kanijulisha kwamba Doctor Conrad Agonza ambae alipigana na Traffic yupo kituo cha Polisi Oysterbay. Anasema juzi baada ya Wanajeshi wa JWTZ kuachanisha ugomvi huo, walimchukua Dr. Conrad...
  7. S

    Kuna Umuhimu wa "Kulidhibiti" Jeshi la Polisi kabla ya kuchelewa

    Kuna mapungufu makubwa sana ya kimfumo na kiutendaji hadi kwa individuals, sasa hivi hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu...wanaweza kukufanya chochote. Nashauri kabla ya Wananchi hawajaamua kujilinda dhidi ya majambazi haya ni muhimu sana hatua zikachukuliwa. Kuna siku watoto wa Polisi...
  8. Nilikuwa na ndoto ya kuwa polisi ila kwa haya maoni ya wananchi juu ya jeshi la polisi HAPANA SITAKI.

    Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
  9. Israel yawakamata Polisi wa Kipalestina kwa uhalifu!!

    Vikosi vya Israeli vimewakamata maafisa 3 wa polisi wa Mamlaka ya Palestina wiki hii kwa kuhusika kwao katika kuanzisha kituo cha ukaguzi kisichoidhinishwa karibu na Beitunia katika Eneo C na kumkamata mwanajeshi wa akiba wa Israeli huko mwezi uliopita. Mwanajeshi huyo wa akiba alikamatwa kwa...
  10. Polisi taarifa za uongo zinawaweka rehani!

    Polisi hawajijui. Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii. Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa ujumla imeshusha sana imani ya watu kwa jeshi letu la polisi. Polisi kuhusika kiamilifu mauaji ya Okt29...
  11. Polisi form four failure wanataka kumuua Daktari Bingwa

    Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU. Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
  12. Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata...
  13. Daktari aliyeshambuliwa na Polisi ni Specialist

    Yule Dr ni Specialist aliekua anawahi kwenda kutimiza majukumu yake ambapo Trafic alichomoa funguo ya gari yake ndipo Specialist aka react
  14. Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila. Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu...
  15. Hata kama mnawapenda sana polisi nakemea kitendo cha wananchi kumshambulia mtu aliyekuwa akimpiga traffic police, wangemfikisha kituoni

    Ninatambua upendo wananchi walio nao kwa jeshi lao la polisi ila ninapinga wao kujichukulia sheria mkononi kwa kumpiga mtu aliyekuwa akimpiga askari wa usalama barabarani. Kujichukulia sheria mkononi ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Wananchi walipaswa kumdhibiti mtuhumiwa na kumfikisha kituo...
  16. K

    Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  17. Polisi: Conrad Agonza Kayoza anashikiliwa kwa kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari wa Usalama barabarani

    Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, wakati akitekeleza majukumu yake katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Septemba 8...
  18. Polisi mnashinikizwa na CCM kubambikia watu kesi: Ushahidi huu hapa

    Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la kutongozwa kwa njia ya simu na binti aliyemtaja Kwa jina moja la Sophia. Akifafanua Jinsi alivyolimaliza...
  19. Samia : Mpandishe cheo IGP awe waziri wa mambo ya ndani halafi waziri awe IGP au mpelelezi maana anafanyakazi za polisi

    Yule Waziri anajia work descriptions zake kweli ? Ukute alimwagiza IGP kufanya anachokifanya akagomewa akaona sio kesi afanye hayo mahojiano mwenyewe
  20. R

    Polisi: Dereva aliyekuwa anaendesha gari akichati na kutoa lugha chafu atiwa mbaroni

    TAARIFA KWA UMMA DEREVA ALIYEKUWA ANAENDESHA GARI HUKU AKICHATI, KUTOA LUGHA CHAFU ATIWA MBARONI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia, Sabatho Malima Emmanuel, mwenye umri wa miaka 32 na mkazi wa Buswelu, Wilaya ya Ilemela, ambaye ni dereva wa basi la Kampuni ya Obadia lenye namba za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…