polisi

  1. Jeshi la Polisi Dodoma Labaini Raia Aliyedhaniwa Kutekwa Alikimbia Madeni na Kwenda Kahama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limetoa taarifa kwa umma kufafanua utata wa kutoweka kwa Mohamed Bakari (28), mkazi wa Mbwanga Wilaya ya Dodoma mjini, ambaye aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mnamo Septemba 17, 2026, na kuzua hofu ya kutekwa. Uchunguzi wa awali wa Jeshi la...
  2. Polisi waliofariki Singida wameagwa, je, mahabusu waliofariki wataagwa wakimaliza kesi zao?

    Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
  3. Polisi na vyombo vya habari wamewekewa filter za kutangaza matukio na idadi ya watu.

    Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi. Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa sasa wamewapangia jinsi ya kutoa taarifa mbele ya wananchi. Kuna habari moja ya boti iliyozama ikiwa...
  4. Polisi muwe na aibu mmekuwa waongo kupindukia kwa unyeti wa taasisi yenu hamkupaswa kuwa waongo hivyo, dereva tu anapata wapi ujasiri kuteka?

    Hao ni wenzenu hao wa kitengo cha utekaji dereva wa kawaida hawezi kujiwekea namba za kiusalama kienyeji tu, lakini hana ulazima wa kuwa na bastola toy yeye ya nini? Halafu dereva tu anaoata wapi nguvu ya kutaka kumteka dereva wa kampuni kubwa kabisa ya usafirishaji ? Halafu awe dereva tuu ...
  5. Polisi maisha yenu ni magumu sana amkeni ,msitumiwe na watawala

    Polisi wetu ni njaa Kali lakini Cha kushangaza watatumika ovyo. ,au elimu ndo changamoto .amkeni amkeni . Ukiambiwa fanya jifanye haujaona au hukuelewa Askari mzima hata nauli ya kwenda kaazini Hauna alafu unabebeshwa libunduki uue raia aisee na Mtatumika mpaka lini Kama Hauna Cha...
  6. Tetesi: Kuna mapambano kati ya Polisi na wananchi Tunduru

    Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Kuna mapambano kati ya wananchi na Polisi Kijiji Cha Mbesa kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi,Wilaya ya Tunduru, jimbo la Tunduru kusini. Polisi wanavunja milango nyumba Hadi nyumba kukamata wanaume,wengi wamekimbilia mashambani.Mwenye taarifa Zaidi atujuze...
  7. Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa tuhuma za kumtishia kwa kitu kilichodhaniwa kuwa bastola dereva wa basi la SATCO, Said Fadhili (54). Tukio hilo linadaiwa kutokea baada ya basi hilo lenye namba za usajili T308 EME, aina...
  8. L

    Polisi 5 na Mahabusu 7 Wafariki Duniani Ajalini Singida Wakielekea Mahakamani. Wagongwa na Gari La Mafuta Lililo Feli Breki Mlima Sekenke.

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa ndio kama hivyo ambapo watanzania wenzetu wamepoteza Maisha katika ajali mbaya huko Mkoani Singida . Ambapo Gari la mafuta lililo feri Breki liligonga gari lililokuwa limebeba mahabusu waliokuwa wanapelekwa Mahakamani.
  9. Q

    Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche. Mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche yenye vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri...
  10. O

    SIM Cards Kadhaa Zapatikana Polisi Wakimkamata Mshukiwa Maarufu wa Utapeli wa M-Pesa

    M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine. Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
  11. M

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida afariki dunia

    Msiba mwingine jeshi la Polisi👇
  12. Rais Samia Aongoza Maadhimisho Miaka 60 ya Jeshi la Polisi

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📌 17 Septemba 2024 — Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tarehe 17 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Amiri Jeshi Mkuu, alihudhuria na kuongoza hafla ya kuhitimisha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, yaliyofanyika Shule ya Polisi...
  13. Q

    Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

    Swali la pili. Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari. Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Mambo ni...
  14. Oparesheni ya polisi Kilimanjaro yanasa watuhumiwa 242 wa makosa mbali mbali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeendesha oparesheni kubwa katika maeneo mbali mbali ya mkoa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake ya kikatiba ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi pamoja na mali zao, huku likiendelea kuchukua hatua dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo...
  15. O

    Sh178M kwa Polisi Waliojeruhiwa Kwenye Maandamano: Serikali Yaanza Kulipa Officers Walioathirika

    Zaidi ya Sh178 milioni zimelipwa kama fidia kwa maafisa wa polisi waliofariki au kujeruhiwa wakiwa kazini wakati wa maandamano na protests nchini Kenya. Kwa mujibu wa Panel of Experts on Compensation of Victims of Human Rights Violations, angalau maafisa 178 wamepokea malipo katika phases III...
  16. Polisi wasingekuwa compromised wangemhoji Freeman Mbowe kuhusu kupigwa kwake Risasi

    Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani. Tundu lissu kapitia mengi Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa...
  17. Tukio kama hili la kumpiga Kocha wa Gaborone Utd lingekuwa limefanywa na MwanaCHADEMA polisi wangekuwa wameshamkamata.

    Polisi wa Tanzania wapo very biased. Hawafanyi kazi kwa weledi. Wanafanya kazi kwa mihemuko na ushabiki Mtu anampiga mtu ambae ni kocha na alipaswa kupewa heshima na ulinzi.Anarekodiwa mbele ya kamera na anafamika lakini mpaka sasa hajakamatwa. Police wapo kwa ajili ya kukamata wanachama na...
  18. M

    Impliedly; RPC Arusha anamaanisha wanaostahili kupigwa ni migambo sio askari wa Polisi

    Kwa tafsiri hii ni kuwa Migambo ndio wanastahili kichapo👇
  19. Tabora: Polisi waanza kumsaka Mwalimu wa Madrasa mume wa wake watatu na baba wa watoto 17 ambaye ametoweka na kuacha familia yake ikiteseka

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye familia yake inasema hajulikani alipo kwa zaidi ya siku kumi. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa...
  20. M

    Vitendo vya raia kupambana na polisi na kuwapiga ni dalili kuwa ipo siku raia watashika silaha na amani itatoweka

    Utawala wa sheria unapaswa kufanyika kwa misingi ya sheria. Lakini kama wasimamizi wa sheria wanakiuka nini kitafyata? Raia watachoka, kila mtu atajichukulia sheria mkononi. Raia watapigana na polisi. Baaddae wao kwa wao watapigana na kuuana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…