polisi

  1. C

    Bangladesh: Polisi wawatawanya wafuasi wa Hasina wanaotaka arejee nchini humo

    Polisi nchini Bangladesh wametumia vitoa machozi na risasi za mpira kuwatawanya wafuasi wa aliyekuwa Waziri Mkuu Sheikh Hasina, wanaotaka arejee nchini humo. Gari moja la polisi lilichomwa moto katika wilaya ya Gopalganj, ambako wafuasi wa tawi la wanafunzi la chama cha Hasina cha Awami League...
  2. O

    Mawakili Waandamana Jogoo House Kudai Polisi Waeleze Aliko Abshir Abdi

    Mawakili wameandamana nje ya makao makuu ya polisi ya Jogoo House jijini Nairobi wakitaka maelezo kuhusu kutoweka kwa mwenzao, Abshir Abdi. Waandamanaji hao walikusanyika nje ya jengo hilo wakiwa na mabango na bendera za Kenya, wakitaka vyombo vya usalama kutoa majibu kuhusu aliko mwenzao...
  3. Parabolic

    Mgawe asimulia kukamatwa, kupigwa na kushikiliwa Polisi mwezi mmoja

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba, Ernest Stanley Mgawe, amesimulia namna alivyokamatwa na Polisi mara mbili mwaka 2025, akidai kuwa katika tukio la pili alichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwake, akapigwa wakati wa mahojiano na kusababisha ashindwe kutembea kwa wiki mbili. Mgawe, ambaye pia...
  4. A

    Polisi Tanzania wazidi kutamba kimataifa; mmoja aibuka bora katika wanafunzi 139 kutoka mataifa 29, mwingine awabwaga wenzake 200 nchi zinazozungumza

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  5. A

    Polisi Tanzania wazidi kutamba kimataifa; mmoja aibuka bora katika wanafunzi 139 kutoka mataifa 29, mwingine awabwaga wenzake 200 nchi zinazozungumza

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  6. Alexido jz instagram

    Teacher alituaga akitabasamu anatoka mara moja, baadae tukapata tarifa kakamatwa na polisi, ni mwizi, demu alihusika

    Kwa wakazi wa geita wanafahamu, uwanja wa shule ya msingi kalangalala, zamani kwa pembeni ya uwanja kulikia na center kwa ajili ya private candidates na watumishi wanao jiendeleza au kujiandaa kufanya mtihani wa kidato cha sita. Na cha nne na wanafunzi nilikua nawaona hpo japo si wengi. Sasa...
  7. Roving Journalist

    Albert Chalamila: Mkiona magari ya Polisi msiogope, ni jukumu letu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi kutokuwa na hofu wanapoyaona magari ya vyombo vya ulinzi na usalama katika maeneo mbalimbali ya jiji, akieleza kuwa uwepo wake ni sehemu ya hatua za kuendelea kulinda amani, usalama na utulivu wa mkoa huo. Chalamila amesema Dar...
  8. Yoda

    Watu gani wanaruhusiwa na polisi kuingia mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu?

    Wakina nani wanaruhusiwa kuingia mahakamani leo kusikiliza hukumu ya kesi ya Tundu Lissu ? Kuna mama ameva gauni la CHADEMA inasemekana ni kada maarufu wa chama amefukuzwa kama mbwa !
  9. R

    Polisi waimarisha Ulinzi Kituo cha Treni Pugu

    Kikosi cha Polisi Reli kimeendesha doria za kiusalama kwa kutumia Mbwa wa Polisi katika Kituo cha Treni cha Pugu na Karakana ya Treni, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuimarisha ulinzi na usalama wa miundombinu ya reli. Doria hiyo imefanyika Novemba 4, 2026, ikiongozwa na...
  10. OMOYOGWANE

    Hivi Serikali, Polisi na Dini zikifutwa leo, tutachinjana ndani ya siku 7 au upendo utatawala? Mjadala wa Kifalsafa

    Wakuu, habari za leo. Hivi karibuni nimekuwa nikitafakari nadharia ya mwanafalsafa Thomas Hobbes kuhusu "State of Nature" (hali ya asili ya binadamu kabla ya mifumo ya kisheria). Hobbes aliamini binadamu ni mbinafsi na mkatili kwa asili, na bila serikali, maisha yetu yangekuwa ya taabu...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Polisi wathibitisha kumshikilia dereva Rodgers Kateba ambaye awali aliripotiwa kutekwa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Taifa ya Madereva Tanzania (TATAMATA), Yohana Mwanyaga, amesema Jeshi la Polisi limethibitisha kuwa Rodgers Kateba, ambaye awali aliripotiwa kupotea, yuko hai na anashikiliwa na jeshi hilo. Akizungumza na waandishi wa habari , Novemba 1, 2026, Mwanyaga amesema baada ya...
  12. Roving Journalist

    Polisi: Tunachunguza Vijana Jamii ya Kimasai kuvamia wenzao wa Jamii ya Kimasai eneo la Kimnyaki - Arumeru

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio lililotokea tarehe 03.11.2026 muda wa asubuhi baada ya kundi la vijana jamii ya Kimasai kudaiwa kuvamia maboma ya jamii nyingine ya Kimasai na kuchukua mifugo huko katika Kijiji cha Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru...
  13. M

    Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  14. O

    Kizaazaa Nairobi: Polisi wa Trafiki akabiliwa na Wananchi wenye hasira baada ya kunyakua Funguo za Basi likiwa kwenye kasi

    Mtaa wa Mirema ulibadilika na kuwa uwanja wa taharuki na hasira kali baada ya tukio la kushtua ambapo afisa wa polisi wa trafiki alinaswa kwenye video akidaiwa kunyakua funguo za basi la abiria (PSV) wakati likiwa bado linaendelea na safari. Kitendo hiki cha hatari kilihatarisha maisha ya abiria...
  15. O

    Kenyan Prince Apuuza Polisi wa INTERPOL, Apuuzilia Mbali Uvumi wa Kukamatwa

    Mtayarishaji wa maudhui na mfanyabiashara wa Forex, Raymond Omosa, maarufu kama Kenyan Prince, amepuuzilia mbali madai yanayosambaa kuhusu kukamatwa kwake na polisi wa INTERPOL. Katika video inayosambaa mitandaoni, Kenyan Prince amewakosoa maafisa wa INTERPOL akiwaita waoga, huku akionekana...
  16. A

    KANISA KATOLIKI walimpenyezea Nyerere taarifa kuwa TISS na Polisi wameua, maiti zimebwagwa BUGANDO, vyeti vya vifo ni feki!

    KANISA KATOLIKI wametupigania muda mrefu sana Tanganyika. TISS na Polisi waliua raia Mwanza na Shinyanga, January mpaka March 1976. Maiti zilipelekwa Maswa District Hospital na Bugando Hospitali zikitokea kwenye dangulo la mahojiano la Kigoto, nje ya jiji la Mwanza pamoja na dangulo na...
  17. F

    Yupo wapi aliyekuwa akijiita nabii tito, alikamatwa na Polisi hadi leo hajaonekana

    Ni miezi minne tangu yule nabii Tito, ambaye kimsingi alikuwa ana matatizo ya afya ya akili alikamatwa na Polisi lakini hadi leo hakuna habari zozote za kumhusu zikiwamo za kufikishwa mahakamani kama alikuwa ana makosa ya mtandao, au hatukuelezwa kama amepelekwa hospitali ya watu wenye matatizo...
  18. polokwane

    Polisi ndiye mtenda kosa pekee anaye jichunguza mwenyewe na kujiandikia ushahidi mwenywe,Nyerere aliwaweza sana watanganyika

    Polisi ndiye mtenda kosa pekee anaye jichunguza mwenyewe na kujiandikia ushahidi mwenywe,Nyerere aliwaweza sana watanganyika, Mada tayari
  19. Ndagullachrles

    ACP Mwanyasi aongoza maofisa wa polisi K'njaro kutoa pole msiba wa ajuza wa miaka 120

    Habari Kutoka Dawati la habari polisi Kilimanjaro Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Polisi Jamii kwa kushirikiana na Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto, limetembelea familia ya marehemu Elizabeth Yohana Simba na kutoa pole kufuatia kifo chake akiwa na umri wa miaka 120, katika...
  20. vivian

    Nilichokutana nacho leo kwenye Mataa ya Morocco kimenitafakarisha sana Kuhusu Askari Polisi wa Tanzania

    Leo, tarehe 30/10/2026, majira ya saa 12:00 asubuhi, nilikuwa napita maeneo ya mataa ya Morocco. Kama tunavyofahamu, kutokana na shughuli za ujenzi zinazoendelea katika eneo hilo, mara nyingi nyakati za asubuhi taa za kuongozea magari hazifanyi kazi, hali inayosababisha madereva kutumia utashi...
Back
Top Bottom