polisi

  1. Mkalukungone Mwamba

    Polisi Arusha: Watuhumiwa 176 Wahukumiwa kwa Makosa ya Jinai Tangu Aprili 18, 2026

    Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema katika kipindi cha Aprili 18, 2026 hadi sasa, watuhumiwa 176 wamehukumiwa vifungo mbalimbali vya makosa ya jinai ikiwemo ulawiti, ubakaji, wizi, dawa za kulevya, pamoja na kupatikana na nyara za serikali baada ya kufikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo...
  2. M

    Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
  3. O

    Maandamano ya Mafuta yageuka kuwa ya Vifo wakati Polisi wakikabiliana na Waandamanaji Nchini Kenya

    Maandamano ya kitaifa ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yamegeuka kuwa vurugu na kusababisha vifo Jumatatu, Mei 18, baada ya makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Huko Kakamega, watu wawili waliripotiwa kupigwa risasi na kufariki, huku...
  4. Fbn

    Polisi wa tanzania ni la kujifunza someni hapa.

    Habarini polisi wa tanzania japo mumekuwa kwenye katiba ya CCM sehemu yao. Kuna jambo la kujifunza sana maana ndio kitengo duniani kinachukiwa na kuwa na lawama tokea mlipo shiriki kumtesa Yesu na nyie ndio mumefanya pasaka kuwa pro max. Idara za polisi duniani zilizojijenga na kuwa karibu na...
  5. Zack Abdul

    Chadema Yapandisha Bendera Kituo cha Polisi

    Baada ya Chadema Kuchoma Kituo cha Polisi Nyankumbu mkoani Geita, leo CHADEMA wameamua kupandisha bendera yao mbele ya kituo hiko cha polisi katika mlingoti unaopandishwa bendera ya Jeshi la Polisi. Hii ni Ishara kuwa Chadema wamedharau jeshi la Polisi na sasa wamedhamiria kuteka, kulipua na...
  6. R

    PostGE2025 Othman: Watu ndani ya vikosi vya SMZ walitusihi, Vijana kutoka JKT walipewa silaha walipokosa wa kuua Zanzibar wakapandishwa Ndege Usiku kuja Bara

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, Othman, leo Mei 16, 2026, jijini Dar es Salaam, akizungumza katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Tanzania, uliohudhuriwa na makada wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia, na waandishi wa habari...
  7. M

    Video: Polisi Mtuache Tukiua Wanaomkosoa Samia-UVCCM

    Hebu jionee.
  8. R

    Kibaha: Wanaodaiwa kuwa ni Polisi wavamia usiku wa manane na kuwakamata wananchi, watatu hawajulikani walipo

    Wakazi wa eneo la Lupaso, Vikawe wilayani Kibaha mkoani Pwani wameingiwa na hofu baada ya watu wanaodaiwa kujitambulisha kuwa polisi kufanya operesheni ya usiku na kuwakamata baadhi ya wananchi, siku nane tangu kutokee vurugu zilizohusishwa na mgogoro wa ardhi katika eneo hilo. Tukio hilo...
  9. R

    Haya ya Kichwa, polisi siwaamini, wamejijengea sifa ya kutoaminika

    Wamejijengea hawana sifa ya kuaminika. Na hili la kichwa, nitakuwa wa mwisho kuwaamini. Kama walikana kumshikilia Sativa, na mbaya zaidi yule kijana SOKA aliyeripoti kwao kuchukua pikipiki yake, leo eti niwaamini. HAPANA Soma pia Kichwa cha Marehemu James Temba, aliyeokotwa Mto Msimbazi...
  10. Idugunde

    Gerson Msigwa anadai watu 80 wamekamatwa na wapo vituo vya polisi. Kama wana hatia kwa nini zaidi ya masaa 24 hawajapelekwa mahakamani?

    Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria? Kama hawana hatia waaachiwe.
  11. DogoWaNjombe

    Msigwa: Vijana msinitukane mtakamatwa tu, Polisi wameshakusanya zaidi ya Watu 80

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwa bahati mbaya wanaowaponza na kuwarubuni Vijana na kuwaingiza kwenye uvunjifu wa sheria ya Mtandaoni wamekuwa wakiwafuata Vijana kutoka familia duni, suala...
  12. K

    Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa Vyombo vya Usalama katika mauaji ya Oktoba 29??

    Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo. Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata TISS? Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa polisi au jeshi katika mauaji hayo? Picha zote...
  13. Roving Journalist

    Katavi: Askari Polisi ashtakiwa kwa kuomba na kupokea Rushwa ili awaachie waliokutwa na gunia 10 za bangi

    Mei 04, 2026: Imefunguliwa kesi ya Jinai Namba CC. 9474/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mbele ya Mhe. Kibona. F, Jamhuri dhidi ya RABIEL ROBERT KAAYA, askari wa Jeshi la Polisi mwenye Namba za Kijeshi H. 3083 mkazi wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi. Hati ya Mashtaka imesomwa na...
  14. Q

    Kaburi la CCM linachimbwa na Polisi

    Kwa sasa hakuna chombo cha dola kinachochukiwa na wananchi kama jeshi la polisi, na kadri jeshi linavyochukiwa ndivyo wananchi wanavyozidi kuichukia serikali. Jeshi la polisi linatuhumiwa kuhusika na matukio mbalimbali ya kihalifu ikiwemo utekaji (SATIVA). Uhalifu unafanyika bila jeshi...
  15. Cute Wife

    Polisi wasema Dammour Nyakairo maarufu Ninja anashikiliwa kwa tuhuma za uhalifu, hii ni baada kelele mtandaoni kuhusu kupotea kwake

    Wakuu, Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
  16. Zack Abdul

    Matumizi ya Nguvu Polisi: Kanuni za PLAN

    Matumizi ya nguvu na polisi yalifuata kanuni za PLAN: Uwiano, Uhalali, Uwajibikaji na Ulazima. Katika sehemu nyingi, hatua za awali kama ilani na mabomu ya machozi zilitumiwa kabla ya kutumia silaha kali pale ambapo maisha yalikuwa hatarini #SautiZaWaathirika #TumeYaUchunguziReport Tume Ya Ukweli
  17. K

    CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka

    CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka. Kizazi hili kijacho wanajeshi wake hawataweza kuunga mkono unyanyasaji. Hawa viongozi wa kichawa wa jeshi la Polisi na Jeshi la wananchi iko siku wanawageuka na kufuata hisia za watu. Angalieni wenzenu...
  18. Echolima1

    GRAPHIC-VIDEO: Kituo cha Polisi kinachosimamiwa na Hamas chashambuliwa!!

    Shambulio lililolengwa na Israeli lilipiga kituo cha polisi cha Hamas huko Sheikh Radwan, kaskazini mwa Gaza. Angalau magaidi 2 waliuawa na wengine 3 walijeruhiwa vibaya kwa kufumuliwa makalio yao hakuna uwezekano wa wao kupona. Shambulio hilo lilifuatia baada ya magaidi hao kuvishambulia...
  19. Lavit

    Hivi ni mimi tu ninayekerwa na hawa polisi wenye mitutu ya bunduki barabarani!??

    Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya mwendokasi! Kiukweli mimi hii hali inanisumbua sana, imekuwaje tumefika hapa? Je hii inaleta picha gani kwa...
  20. K

    Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji?

    Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji? wakati tunajua watekaji wa wanasiasa na wanaharakati ni Polisi na wauaji wa vijana October 29 ni polisi na usalama
Back
Top Bottom