Wanajamvi Salaam.
Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi.
Natanguliza shukrani za dhati kwa majibu yenu mazuri.
Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache.
CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao.
Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga...
Habari Jf,
Wataalamu wa ngozi na vipodozi mnipe maelekezo mazuri hapa.
🔷 Jinsia (me) rangi ya ngozi black chocolate, aina ya ngozi ni ya kwaida siyo kavu wala sijawahi kupata chunusi. Mafuta ya aina yoyote napaka bila kuona athari yoyote kwenye nyozi, kifupi ngozi yangu inahimili vingi...
Inasikitisha wakati mwingine kuona watu wengi wanapenda sana mabaya kuliko mazuri.
Sasa hivi vyama vyote vina hati nzuri lakini watu hawasemi maana kuzuri sio drama. Wengi walikuwa wakisubiria kushambilia wapinzani hasa Chadema na ACT. Vyama ambayo vina hati mbaya kwasababu ni wasindikizaji...
Karibu tukuuzie nyumba ya Kisasa kabisaaa
Nyumba ipo maeneo ya pangaboy Kama unaenda Mpobo.
Unaweza kupitia barabara ya Mbopo inayotokea Mkoroshini, au kupitia barabara ya Mbopo kutokea madale mwisho.
BEI no Million 65 ( ila maongeza yapo )
Ukihitaji picha zaidi na maelezo ya ziada...
Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana.
Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na wanafunzi wameenda shule. Barabara zinajengwa miundo mbinu inaimarishwa kila kona.
Hatusikii...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na uwezo wa ku-record kila simu inayoingia na kutoka kwenye simu yangu wakuu.
NAWASILISHA.
Habari za wakati na poleni na mihangahiko.
Naulizia Nguo za mtumba za watoto kwa anayefungua mzigo kwa bei hiyo 500/1000TZS tuongee biashara hapa hapa na wengine wanufaike mi ninanunua naenda kuuza nipate angalau faida kidogo. Mimi niko mkoani.
Habari za jioni wadau!
Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi.
Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu...
1. Elewa hitaji la mteja
Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia.
2. Jitosheleze kihuduma
Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
JF Mahusiano👋
Nipo hapa kuuliza swali dogo tu.
Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday?
Nina Jambo langu hapa😂😂
NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
Kwenu wataalamu wa kuchoma nyama za aina zote.
Naomba tips za kibabe kuhusu namna ya kumarinate nyama kabla ya kuichoma na baada. Viungo gani vitumike, kiasi gani, balancing ya moto haswa kwenye jiko la mkaa iweje.
Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense.
HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako.
Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao.
1. Ni mkorofi Sana.
2. Hutaki Nonsense.
3. Mbinafsi/ mchoyo.
4. Hupendi kusaidia ndugu wa Pande zote mbili si ndugu wa ukoo wako Wala...
Mabadiliko yanapotokea ni ngumu sana kuyapokea. Bahati nzuri ni kwamba hata yawe magumu kivipi lakini huwa inawezekana.
Siasa za Ulaya na Marekani zilikuwa na sura sawa na hizi za Tanzania na Afrika miaka 200 iliyopita.
Sasa Mh Rais Samia ameamua baada ya kutafakari na kugundua kuwa siasa za...
Habarin wadau,
Nimehitim diploma ya mambo ya utawala, sasa niliona nipige hata short course kutokana na changamoto za ajira,nilikuw nauliza je hii short course ya civil drafting ukiachana na chuo cha veta cha Dar es Salaam je kwa upande wa Dodoma nao pia wanatoa?
Msaada wadau kwa anaejua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.