nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CK Allan

    TVS HLX 150 ipo hali nzuri korogwe Tanga bei 1.5

    0746266267 nipigie chap, Njoo na fundi wako unayeamini
  2. K

    Biashara gani nzuri ya kuanzia kama kijana unayejitafuta

    Nina 1Milioni but nashindwa nifanye biashara GANI naomba usaidizi wenu ili nipate mwangaza kidogo wa mahali pa kuanzia. Nipo zangu Arusha
  3. M

    Bima ya kampuni Gani ni nzuri nautatibiwa hospital zote

    Wakuu msaada wenu nataka kukata bima ya afya nauliza kampuni ipi ya bima ni nzuri ambayo utahudumiwa mpaka hizi hospital kubwa aga Khan,regency,muhimimbili Bima ambayo itacover magonjwa yote makubwa na operation kubwa kubwa
  4. A

    KERO Barabara kutoka White Giraff kwenda Shanwe hali yake si nzuri

    Mkoa wa Katavi, Wilaya Mpanda mkandarasi kachonga barabara bila kuweka mitaro, mvua zinanyesha barabara zinaanza kuharibika tena. Hii kwenye picha hali ipo hivi tangu mwezi wa saba 2026, ni barabara ya kutoka White Giraff kwenda Shanwe.
  5. S

    Mimi ni dereva mwaminifu na makini, natafuta bajaji ya hesabu – Dar es Salaam

    NATAFUTA BAJAJI YA HESABU – DAR ES SALAAM (DEREVA MWAMINIFU NA MAKINI) Habari wana-JamiiForums, Ninaomba mwenye bajaji iliyo katika hali nzuri ya kiufundi na anahitaji dereva wa hesabu jijini Dar es Salaam, tuwasiliane ili tuweze kufanya kazi kwa uaminifu number 0621810992
  6. K

    Trekta sina ya holand inauzwa Morogoro ni used ipo kwenye Hali nzuri bei milion 25

    Ni Trekta aina ya holland ipo morogoro sh million 25
  7. Mad Max

    Wadau wa Movie za James Bond 007, Hii ni Habari Nzuri au Mbaya kwenye?

    Robert Pattinson ndio mrithi wa Daniel Craig. Kwahiyo, Pattinson ni Batman na Bond kwa wakati huo huo. Kwa upande wangu, era yake. Jamaa anajua.
  8. youngkato

    Unataka kujifunza video editing kama pro lakini huna pesa ya kulipia kozi? Nina habari nzuri kwako! 🔥

    Fikiria kuwa na uwezo wa kutengeneza video zinazovutia, zenye transitions nzuri, effects za kuvutia, maandishi yanayosogea na audio iliyopangwa kitaalamu, ukitumia simu yako tu! Unajua kitu kizuri zaidi? UNAWEZA KUJIFUNZA CAPCUT BURE! Watu wengi wanatamani kuwa Content Creators, Video Editors...
  9. U

    Bima ya afya iliyo nzuri!

    Habari ya leo wanajf! Ninaomba anayeifahamu bima nzuri ya afya na gharama zake kwa mwezi ninaomba anijuze! Miongoni mwa bima hizo ninaomba NHIF isiwemo!!!
  10. The Burning Spear

    Yaani hadi zambia wanakuwa na Barabara nzuri ndefu namna hii sisi Tanzania kweli tumelaaniwa

    Bila Magufuli hata hapo mbezi kibaha ingebaki ndoto tu. sasa inajengwa kimara kuja ubungo aisee kila siku wanachimba hata.kinachochimbwa hakieleweki. Ila Tanzania nyoko.sana wanawaza kunyonga wapinzani tu pumbavu kabisa. kwa barabara kama hii hata kama serikali ikawabana wapinzani ina haki...
  11. Nestory Semeni

    Hakuna Laptop Nzuri Au Mbaya

    Hakuna laptop nzuri au mbaya, Na kama hukujua ni hivi unaweza ukanunua laptop ambayo unasema ni "Nzuri" Lakini baadae ukaona ni mbaya kwa sababu tu sio laptop ambayo inakufaa, Uzuri ni jambo moja, Muhimu zaidi ni kukufaa wewe, Je ni kwa ajiki ya kazi gani? Ili kufanya kazi hiyo kwa ubora...
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Msaada:Dawa nzuri ya kuua magugu aina zote

    Wakuu Hope mpo salama salimini Kwa ambao Afya zenu zinachangamoto Mola awafanyie wepesi na kuzidi muimarike daima. Naomba msaada wa haraka Nina hela 10 nahitaji kuzilima mahindi katavi hivyo nimekuja kwenu kuomba Jina la dawa nzuri ya kusafishia shamba yaani kuua magugu aina yote shambani. Pia...
  13. AXIOM APEX VERBOSE

    Movie nzuri zaidi kwa Mwaka 2026, nimeipa 10/10.

    Hii ni movie nzuri kuitazama kwa wale wanaopenda kuangalia movies za kufikirisha ubongo km unacheza puzzle games na hizi ndio movie mimi hua napenda sana kuziangalia maana ubongo hauwezi kujua nini kinafuata baada ya kila hatua kuna tukio jipya mpaka unatamani movie isiishe. Ukipata nafasi...
  14. S

    Anaweza kuwa alikuwa na nia nzuri, lakini lazima Lema atambue kwamba yuko "naive" na alichokuwa akifanya ni "presumptuousness" na "insubordination"

    Nina maneno matatu tu kwa Lema, kwa yote yaliyotokea; amekuwa naive, presumptuous na insubordinate Nimeshindwa kupata maneno ya Kiswahili ya kum-define Lema kwa yale aliyofanya, lakini kwa wale wanaojua lugha ya malkia Lema amekuwa naive, presumptuous na insubordinate. Labda neno la Kiswahili...
  15. S

    Nafanyaje ili niweze kuhamia Taasisi nyingine ya Serikali. Naomba ushauri wenu

    Habari za wakati huu Wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali. Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering. Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
  16. Carlos The Jackal

    Makonda ukitabiriwa Mambo mazuri na Mwamposa wa Mafuta, Tony wa Kujaza Gesi mitungini inatosha !!. Kwann utafute Tabiri nzuri Kutoka kwa unaowatesa !!

    Yaan Makonda Unataka Bagonza, Gwajima na wengineo wa aina hiíi wanaotetea Haki, Wakutabirie Mambo mazuri??. Makonda wewe ambaye Historia ya Maisha yako ya Siasa imejaa ukatili na uovu Mkubwa ?. Makonda, wewe endelea kutabiriwa Mazuri na hao wahuni wako. Huku ukijafanya unajali masikin na...
  17. O

    Wataalamu wa beat mbona mimi nahisi nyimbo nyingi za South hasa amapoano na kwaito hazina sauti nzuri ya waimbaji katika usikivu kama bongofleva

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  18. and 998 others

    Ubungo Riverside wapewe maua yao, huduma nzuri

    Huduma nafuu, usalama na ya viwango. Tutarudi tena
  19. JamiiForums

    Interview with Maxence Melo: The story of JamiiForums - history and operations of the platform

    Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi. Itakumbukwa kuwa Jumanne ya tarehe 14/08/2012 ilianzishwa hoja na Roulette na kukaribishwa maswali kwa ajili ya kumuhoji Maxence Melo...
  20. Lycaon pictus

    Madikteta na wafalme huwa na sera nzuri sana za kiuchumi.

    Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili na nguvu zao zote wanaelekeza huko. Mfano kama sehemu kunatoa dhahabu zinazowapa utajiri basi...
Back
Top Bottom