Chanzo cha picha,Bell County Sheriff's Office/Reuters
Umma utaweza kushuhudia utekelezaji wa hukumu ya kifo kwa njia ya kikosi cha risasi dhidi ya aliyekuwa meja wa Jeshi la Marekani, amesema Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth.
Afisa wa Idara ya Ulinzi ya Marekani ameiambia BBC kuwa...
08 October 2026
Tanzania together with African and Gulf countries calls for stronger protection of migrant workers - SADC
https://m.youtube.com/watch?v=CW-uZzb3yUc
Tanzania na nchi za Afrika na Ghuba zinatoa wito wa ulinzi mkali kwa wafanyakazi wahamiaji kadri uhamaji wa wafanyakazi kati ya...
Kama na wewe hua ni wale wanaosema kua lema kaficha familia yake Canada, mara watoto wa Lissu wapo Marekani...
Unataka kuandamana utakufa wenzio familia zao zipo nje.
Sikia nikwambie siku sheria zikifanyiwa mabadiliko, katiba ikawa na nguvu kiongozi mkuu wa nchi akaweza kushitakiwa, na mihili...
Naona watanzania hamko serious kabisa na rasilimali zenu, kwakuwa Samia amesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, mimi nataka kuwa dalali wa rasilimali za nchi.
Nawezaje kuanza kuwaleta mabeberu kuchukua rasilimali zenu ili mimi nile chajuu?
Kuwa tetea wapalestina ni ngumu sana.
Nashangaa wale mnaona wa palestina wanaonewa ila waungwana wanasema ukitaka kujua tatizo likaribishe sio kulisikia.
Mifano mikubwa ni:
Jordan (1970–71): Mapigano ya Black September kati ya serikali ya Mfalme Hussein na Palestina yalisababisha Palestina...
Chizi hakiwa sio ndugu yako unaweza kufurahi.
Mwenendo wa CCM na genge lake kupitia serikali imejitengenezea mwanywa au nyufa kubwa na rahisi kwa makundi ambayo utumia mwanya huu pale serikali zilizo kosa dira na giza mbele.
Kumbuka haya makundi kama ISS ,al Qaeda ujitokeza sehemu ambapo...
Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni:
1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk.
2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kwanini nchi za NAM (Non-aligned Movement) zinaonekana ni za kijamaa zaidi kuliko kuwa "neutral"??
Mfano: Tanzania, Zimbabwe, Venezuela, Cuba, Belarus.
Are they really non-aligned?? What might be the problem??
nchi zifuatazo utahukumiwa adhabu ya kifo mpaka ufe kama ukiacha/kataa islam (kuritadi) i.e kama usipotaka kuwa muslim tena basi kisheria unauliwa na state, nchi hizo ni kama zifuatazo (btw tanzagiza tayari kuna sharia law at least in banking):
afghanistan: Mamlaka zilizopo sasa zinatekeleza...
Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe.
Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA.
WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI.
Hapa hakuna maombi wala nini hapa...
Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe.
Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA.
WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI.
Hapa hakuna maombi wala nini, hapa...
Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi .
1. Saudi Arabia
2. Iran
3. Qatar
4. UAE
5. Afghanistan
6. Mauritania
7. Yemen
8. Brunei
9. Maldives
10. Pakistan
11. Somalia
12. Malysia
Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko.
Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
ghafla
iran
israel
jordan
kambi
karibu
kiislam
kuishambulia
kupitia
kushambulia
kuwait
marekani
marekani na israel
mashambulizi
mpole
n.k
nchinchi za kiislam
saudi
saudi arabia
ubabe
waislam
wake
wenzake
wote
Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla.
Hali haitii moyo kabisa.
Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye.
Kula kwa urefu wa kamba.
Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake...
UNAPOKATALIWA NA MWANAMKE USIUMIE WALA KUJIONA HUFAI. KISAIKOLOJIA WANAWAKE WAMEBOBEA KUFANYA BAD DECISIONS.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii siri hutokuja uambiwe popote. Na bahati nzuri siri nyingi nilishakupatia. Na hii ni mojawapo.
Kisaikolojia mwanamke ni kiumbe ambacho kimebobea...
Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia.
Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu...
Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya
Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa kwa wananchi wa kawaida. Ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wamiliki wa mabasi (matajiri) wanaojiona wako...
In fact,
kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi.
Sheria na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.