Dunia ina watu bilioni 8. Mungu hakuumba watu bilioni 8. Mungu aliumba watu wawili tu. Adam na Hawa. Sisi wengine bilioni 8 ni product ya kuzaliana.
So ukiamua kuTrace bloodline yako, chimba chibuko la babu na mababu zako lakini mwishoe utaangukia kwa Adam na Hawa. Na Mungu alivyowaumba Adam na...
Leo 12:15hrs 19/06/2022
Maisha ya mwanadamu ni filamu "movie" ambayo Mungu ameiandaa na anaiongoza mpaka mwisho wake,binafsi naifurahia na naendelea kuifurahia filamu ya maisha yangu hadi hapo mwisho, naamini mmewahi kuangalia filamu "movie" fulani mkavutiwa nayo na mkapenda kujua muongozaji...
IPUUZE KAULI YA "TUTAFUTE PESA" KWA HATMA ILIYONJEMA BASI MTAFUTE MUNGU WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Yule Shahidi!
Andiko hili lisomwe na Vijana wote.
Usiwe mtumwa wa Pesa.
Usiihusudu hata Kama unaambiwa ni tamu. Kamwe usije kujidanganya. Hakuna Raha yoyote ya kuwa na pesa kama huna Mungu...
Leo nilikuwa natafuta swali la jumla ya idadi ya nishati ulimwenguni, imepelekea kunistua na kuyumbisha concept ya draga ya God is the ENERGY na kuipaisha concept ya a4afrika ya God is the LOGIC. Na kuibakisha imara kabisa concept ya Uhakika Bro ya kwamba God is the IDEA!!
Someni hii scientific...
Wakati nasoma kuna jamaa walikuwa wanajiita Waarabu ingawaje kwa kuwaangalia huoni Uarabu, basi walikuwa mpaka wanajiapiza,“ Haki ya Mungu na Mtume tena mimi Mwarabu“ tulikuwa tunawaita Waarabu wa kuapia, yaani mpaka aapie ndo ujue kwamba ni “Mwarabu“.
Nimekumbuka mbali tu, wote tuna Utoto...
Isingekuwa rahisi mimi kuendelea kukuona ukiongeza maji kwenye mboga ya mchuzi ili mimi na ndugu zangu yatutoshe kwaajili ya ugali. Isingewezekana mimi kuendelea kukutazama ukifokewa na vijana wadogo unaoweza kuwazaa, eti kisa kukosa hela ya kulipa madeni yao.
Isingefaa mimi kuendelea kukuona...
Hili jambo lilianza awamu ya tano,kila kitu asante JPM , matokeo yake huyo JPM akafariki (RIP).
Hii ilitosha kutufunza Raisi wetu sio Mungu , ni mwanadamu tu.
Badala ya kujifunza , hivi sasa awamu hii kila mtu asante Mama, yaani wanamshukuru hata kwa vitu walivyofanua wao.
Wanaokera zaidi...
Habari wakuu sijawahi andika hapa kwenye hili jukwaa la siasa ila leo acha ni andike kidogo tu.
Mhe Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye raisi wetu ameonyesha muelekeo mzuri kwa kiasi kikubwa katika uongozi wake japo ni mapema kidogo.
Wapo watu bado sijui ni seme wana usingizi au bado giza...
Niseme ukweli bajeti zote nimezisoma ni nzuri sema hii ya Wizara ya Nishati imekaa poa sana. Raha ya kuwa na viongozi vijana wanaojua kuandaa bajeti na kuzipanga vyema.
Wanabodi,
Makala ya Leo ya Kwa Maslahi ya Taifa, Inaanza na A Declaration of Interest
Utangulizi Kama kawaida, leo tana nimepata tena fursa ya kushuka na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" leo nazungumzia kuponywa kwa taifa na trends za kuelekea 2025 za Rais Samia. Rais Samia ameonyesha...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.
Pia, Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali...
Jirani yangu Rosa alijaliwa mtoto mmoja wa kiume. Walimsomesha mtotoekatika shule za gharama na walimpa kila kilichokua katika uwezo wao. Rosa na mume wake walijenga nyumba nadhifu na mume alidariki miaka michache iliyopita.
Kijana wa Rosa amekuwa mtu wa hovyo hovyo asiye elewa thamani ya...
▪ Ni Nani Ulul Albab?
▪ Aliyejaaliwa Hikima, amepewa kheri nyingi
Mwenyezi Mungu anawapenda watumiao akili, au wenye kutia mambo akilini (Ulul Albab) . Hii ni kauli Yake katika Kitabu Kitukufu, Qur’an:
"Na wale wanaojiepusha kufanya ibada ya masanamu, na wakanyenyekea kwa Mwenyezi Mungu...
Ni matamanio ya kila anayetaka kuingia kwenye ndoa kumpata mwenza mwenye hofu ya Mungu.
Hizi ndiyo mbinu za kumtambua mtu mwenye hofu ya Mungu (zimepangwa kwa umuhimu):-
(a) Mchokoze/mkorofishe achukie.
Usingie na mtu kwenye ndoa bila kujua anakasirikaje, akikasirika huwa hasira zake zina...
Habarini Ndugu. Najua hii Itakuwa Mpya Kwenu na Siku zote itawafungua Macho wengi nyie Mliowekwa kwenye Giza Kubwa na Kuishia Kuabudu Viumbe vyenye Tamaa ya Kujiita Mungu
Hizi ni Sifa za Mungu mwenye Vyote. Aliyeumba Kila Kitu Na Kila Kiumbe Vinavyoonekana Kwa Macho na Visivyoonekana. Tuanze...
Hello y’all..
NB: Naomba moderator mada hii msiihamishie jukwaa la dini maana huko itakosa wachangiaji na lengo langu la kutaka kujuzwa jambo hili halitatimia and that will leave me frustrated and bums me out, Natuamaini mtatii takwa langu hili. Ahsanteni.
Binafsi kiimani ni muumini wa kanisa...
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii.
Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana...
1. MAFANIKIO
Hapa mtu anaeza sema amelogwa au ameibiwa nyota.
Kama ni kazi anapata lakini haidumu na kama itadumu basi atachukiwa kazini na viongozi basi atapendwa na wafanyakazi wenzake.
Watampenda kwa sababu ataonekana mjuaji na kweli watu wasio na imani mungu huwapa kipawa cha kua na akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.