Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never.
Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
Hamjambo!
Kuna kitu watu wengi hawakijui kuhusu Yule aliyewaumba.
Mambo unayotakiwa kuyajua;
1. Mungu hajihusishi na utawala na wanadamu tangu wanadamu walipoamua kujiongoza wenyewe na kuongozwa na Wafalme na Marais.
Hilo ni jambo Moja.
2. Hii ni kusema, kwa vile tuliamua kuongozwa na...
I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
Kwa imani ya kikristo ni kwamba kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Isaka na Yakobo.
Waislamu hawamtambui na kumuabudu na hawamuheshimu kabisa.
Kwa ni ni Mungu huyu wa Wa Yakobo na Isaka atumike kuwabariki viongozi waisalmu?
📖 Mathayo 5:27–28
"Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini. Lakini mimi nawaambia, Kila mtu amtamaniye mwanamke kwa kumtazama, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Swali langu, kwani wanawake wao hawatamani ??
Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais.
Kama Kuna chochote kisichofaa, ili kuepusha MADHARA ya baadae atatumwa mtumishi hata kutoka nje ya nchi ili kumpa...
Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
Ukisoma historia ya Waisraeli, utaona jinsi Mungu alivyotoa mapigo kumi kwa Wamisri waliokataa kumtii. Mojawapo ya mapigo hayo ni majipu mabaya yaliyowakumba watu wa Misri (Kutoka 9:8–11). Hili lilikuwa onyo kwamba Mungu anaweza hata kutumia magonjwa kama fimbo ya kuwaadhibu wale wanaokataa...
Yaani hawa wanawake wenye vipini jamani...alichonifanyia kijana wa watu sijui hata nianzaje kuwaelezea...
Ila niseme tu vijana wenzangu wapenda maendeleo epuka wanawake wenye vipini puani...
Waepuke kama kama ukoma...kilichonikuta ni masikitiko
Kama ulikuwa hujui, kila kipande cha chakula tunachoweka mdomoni ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maandiko yanatufundisha kwamba kila kitu kizuri hutoka kwa Baba wa nuru (Yakobo 1:17).
Hizi hapa faida za kushukuru na kuombea chakula:
1. Ni njia ya kumheshimu Mungu Mtoaji – Unaposhukuru, unatambua...
Habari yako wewe unayesoma uzi huu muda huu.
Leo ni siku nyingine Bwana Mungu ametupa nguvu ili tuendelee kupambana kuutafuta Uzima wake na kupata amani ya kweli ndani ya mioyo yetu.
Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa neema hiyo.
Leo ningependa kuzungumza kuhusiana na fundisho hili la kiroho...
[Yoh1:6]Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.
[Yoh1:7]Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.
[Yoh1:8]Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.
[Yoh1:19]Na huu ndio ushuhuda wake Yohana, Wayahudi walipotuma...
Naona zama za kupita kwenye bonde la mauti zimekaribia. Waliokabidhiwa taa kutuvusha hawana macho tena na kadri wanavyopambana kuweka mambo sawa ndivyo wanavyozidi kuharibu. Nahisi imeandikwa na lazima itimie.
Ukiangalia mtiririko wa matukio unaona kabisa tunaelekea kabisa kubaya.
Watanzania. Watanzania. Watanzania.🇹🇿. Hawa jamaa hata aibu hawana. Sasa wanawaibia watanzania bila aibu kabisa.
Ni Mungu tu ndiyo anajua atawachoma Moto wa aina Gani. Tazama,wametumia Kodi za Wananchi kufadhili chama kikaragosi. Wameiba kila namna. Leo wanachangisha watanzania wakati wao...
Leo nimebahatika kupigiwa simu na rafiki yangu wa siku nyingi sana wa kijijini akanisimulia kisa na kuniuliza maswali ambayo sikuwa na Majibu.
Kijijini kwao kiongozi weo alikuwa anaitwa Kifungo, na katika safu yake kulikuwa na Viongozi wengine ambao ni Makubaliano, Kibarua, Kitochi, na wengine...
Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi?
Ayubu 11:7
Kila mtu amejiuliza maswali haya, aidha kwa sauti au moyoni mwake, kwa maana hatuwezi kuutazama ulimwengu unaotuzunguka bila kujiuliza kuhusu uumbaji wake. Kila siku tunakabiliwa na muujiza wa uhai na...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania , TEC, Askofu Wolfgang Pisa
Muhtasari wa habari
Kibwagizo cha ujumbe wa Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) katika Sala na Mafungo ya kuombea haki na amani yatakayofanyika siku ya tarehe 23 Agosti 2025, kitakuwa tamko kwamba "Haki na amani ni pande...
Kwasasa nchini Kuna nyumba za ibada ukiingia tu as if umeingia kwa mganga wa jadi unakuta mtumishi wa mungu anasema wakati anasali ameona bango🤣🤣...... stupid!
Kumbe siasa zimemjaa mpaka amegeuka kuwa Kama mchawi Sasa.
Jueni kuwa wewe mtumishi wa Mungu huna uwezo wa kunibadilisha mm chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.