Wakuu
Najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka.
Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea...
Niliwauliza swali hili wachungaji Na mashekhe wakaishia kunipa vitisho.
Mungu ametuumba ili tumuabudu.
1. Je tusipo muabudu atapungukiwa na kitu Gani?
JIBU SAHIHI NI KWAMBA HATOPUNGUKIWA NA KITU CHOCHOTE KILE KWA SABABU MUNGU HAITAJI KITU CHOCHOTE KILE KUMKAMILISHA.
2. Je tukimuabudu Mungu...
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki wapendwa hapa jamvini........
Leo nimekumbuka kisa cha rafiki yangu mmoja........
Miaka kadhaa nyuma baada ya rafiki yangu kupambana na usafiri wa umma hatimaye Mungu alimjaalia akapata kipando Cha miguu miwili(piki piki) Tulilipokea kwa furaha huku...
Mange Kimambi alisema ata mlipua Mwamposa Kesho tarehe 11 February
Leo amepost amepatwa na msiba mzito wa mama yake wa kambo ambae alikuwa kama godmother wake Dr. Mwele Malecela.
Maana yake ni kwamba Mange Kimambi hatopost kuhusu Mwamposa hiyo tarehe 11 ya Kesho Kwa Sababu atakuwa kwenye...
Habari!
Hapa nazungumzia hawa miungu au Mungu maarufu duniani ambao mafundisho yao yameenea sana.
Dini hizi zilizoonea sana zinasema kuwa Mungu ni;
- Baba(mzazi)
-Muweza wa yote
-Yupo kila pahali
-Anajua yote
--Muumba
-Mwenye huruma.
*****Atakayewachoma moto watu wote wasiomtii na watenda...
Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi.
Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
Mungu wa biblia,
Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima!
Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee...
Kabla sijaelezea kinagaubaga kuhusu kichwa cha uzi ningependa Kwanza niandike mtazamo wangu na jinsi ninavyoelewa kuhusu Mungu.
Kiufupi unaweza nitafsiri kama "Agnostic",lakini tafsiri hii hainifungi kuwa siwezi kunena chochote kuhusu Mungu ama nadharia za Umungu!.
Kwanza nieleweke hivi kuna...
Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
===========================
Update: 14/01/2024
https://www.nationalgeographic.com/science/article/what-is-the-multiverse
Nchi Ina sheria kwa wanaozivunja wanatakiwa kufikishwa mahakamani lakini tumezoea viongozi wakitaifa wakisema wakosoaji wakaozee jela au wapotezwe, Hawa watu unapowasikia unawachukuliaje?
Mfano sheria ya mtu aliyekosoa au kutukana Ina kifungo cha mwaka mmoja then ukamsikia mwanasiasa anaviambia...
Kesho ni siku ya kuabudu na kumtukuza Mungu. Simaanishi kwamba siku nyingine sifanyi hivyo Ila ninaposali Mimi jumapili ni siku maalumu ya ibada.
Nimewiwa kuwaomba wanaoingia kanisani kuanzia kesho wajitafakari kuhusu heshima wanayopewa, je heshima inatokana na wao wanavyomytumikia Mungu au...
Kuna kipindi kinaendelea asubuhi hii 1:53 Radio One, watangazaji ni Authman Juma na Abdallah, mgeni ni Mchungaji (wa kike) mjumbe wa Kamati ya Amani, Maadili na Haki za Binadamu.
Mchungaji ameulizwa na watangazaji nini chanzo cha watu kurudi nyuma katika kumwabudu Mungu? Mchungaji ameitupia...
Watanzania macho yao yapo mbele yako Mungu. Usipo shuka nakututetea basi tumeangamia. Wewe unaona toka mbali sana na Wewe ndie Baba wa Taifa la Tanzania.
Shetani amekunjuwa makucha kuturaruwa nakutugawa mithili ya vazi lililo kuukuu.
Je utafunga macho yatokee yale wanadam wamepanga yatokee siku...
Nilifanya Maombi kwa kupiga magoti na kufunga ili Mungu awaadhibu vikali wote waliodhamiliakumuuwa Mhe Tundu Lisu, ninaamini maombi yalipokelewa na yaliitikiwa kwa imani yangu. Huyu Mungu muumba wa ardhi na Mbingu, ndiye aliyeumba viumbe vyote na vyote viko chini ya himaya yake. Anatenda...
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo.
Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza.
Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za rambirambi. Nasema nimwombee msamaha kwa sababu alichokisema hakitekelezeki Kwa njia yoyote Ile. Naomba...
Mhe Rais alitamka maneno haya hivi Karibuni Nimeona niulete hapa huu usemi ili Wanafasihi na Wataalamu wa Lugha ya Kiswahili Watumbie Mama hasa alikusudia nini kwa maneno haya "MOYO WANGU SI WA GILASI NI WA NYAMA ILIYOUMBWA NA MUNGU" lakini alitoa usemi huu kukiwa na vuguvugu la Spika aliyekuwa...
Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa?
Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu!
Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.