Wakuu, katika dodoso zangu, nimejiridhisha kuwa, watanzania wengi wapo kwenye kipato cha elfu 10, 15, 20 kwa siku.
Nimebahatika kupita kwenye haya makampuni ya mabilionea wa nchi hii, mishahara ya wafanyajazi wengi ni elfu 8 hadi 10 kwa siku.
Kuna kampuni moja niliwahi kwenda nikakuta wanalipa...
Habari zenu wadau wa JF.
Umeshawahi kukutana na mtu mkakaa dakika tano tu halafu stori zinaisha, mnaanza kuangaliana kama mpo kwenye daladala la Mbagala? Au unataka kumtoa mtu maneno mdomoni bila yeye kuhisi unamchimba?
Kuna mbinu moja nzuri sana ya kisaikolojia inaitwa Kuvuta Neno...
Kuna baadhi ya makabila kama vile wachaga na wahaya hupenda kujenga mahekalu vijijini mwao. Si jambo baya. Ila kipi utafanya. Utajenga jumba la kifahari kijijini na kuwa mpangaji mjini au utaanza kujenga mjini unakohangaikia na kuishi muda mrefu?
Nini faida na hasara za haya mambo mawili kama...
Wasalaam
Nimekaa nikajiuliza ni kwanini baadhi ya mambo yanafanya watu hata wenye heshima zao, elimu na nyadhifa kutokwa akili kabisa wanapoyajadili. Kuna mijadala ambayo inakufanya uanze kumwangalia mtu kwa jicho tofauti.
Unakuta unamuheshimu mtu vizuri tu lakini akianza kuzungumzia mahaba...
Hasira ni hisia za kawaida za binadamu, na mtu yeyote anaweza kukasirika bila kujali kiwango chake cha elimu, cheo au uwezo wake wa kiuchumi. Cha kushangaza ni kwamba watu hutofautiana katika namna ya kuonyesha hasira zao. Kuna mtu akikasilika kila mtu anajua, sauti hupanda na uso hubadilika...
Kuna watoto wengi sana duniani ambao hawakuchagua kuwa makahaba, wezi, majambazi, watumiaji wa mihadarati au watu wanaoishi maisha ya hatari. Lakini mazingira waliyokulia yaliwafanya waone hizo ndizo njia pekee zilizobaki za kuishi.
Fikiria mtoto anayekulia kwenye familia ambayo haina uhakika...
Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akili huwa haziko sawa utimamu wake hupungua kwa asilimia 70 (Qandt, K. R. & Jones, A.J, 2021). na sifa ya kiongozi ni kuwa na akili timamu.
Hivyo basi: nashauri amendment ya katiba ifanywe na bunge letu tukufu ili kuzuia mtu yoyote ambaye alishawahi...
Kenge na mamba wanaishi wote ziwani. Kama kenge akikwambia mamba ni mgonjwa usimbishie.
Chadema wanamtukana na kumbeza Lema, mtu anaekijua chama na mipango yake yote. Kama akikuambia ndani ya chadema kuna shida msimtukane, ni kweli iko shida.
PRess ya Lema ilikuwa na shida gani? Msiba na kesi...
Hello Great Thinkers , My name is Adriz Mr Justice , My friends call me a Consigliere.
Moja kwa moja...
Moja kwa moja , hili jambo nimechunguza muda mrefu na lipo globally , Muislamu akifanya jambo lolote likatrend la hovyo au ukatili basi moja kwa moja Imani yake inahusihwa na tukio ...
Ukitenguliwa tulia, jitafakari ulikosea wapi, usisahau kuwashukru waliokuamini wakakuteua, jiulize wewe ni nani mpaka Mh. RAIS akakuteua kwenye nchi yenye watu mil.60+, mshukru Mungu, toa sadaka ya pekee kwa Mungu wako acha kutapatapa mitandaoni wewe tayr ni sehemu ya national figure...
Changamkeni ndugu zangu, Trump ametangaza donge nono huko.
Milioni 20 zinatolewa kwa mtu yeyote atakayekuwa na taarifa za programu ya nyuklia ya Waajemi.
Hiyo milioni 20 ni pesa za Kimarekani, ni pesa ndefu sana.
Tushirikiane kuchukua kibunda, CIA na MOSSAD wanahitaji msaada wetu.
Nashangaa sana kwamba Tanzania imefikia mahali hapa ambapo hata majaji ambao wanapaswa kuheshimika sana katika jamii, wanaonyesha wazi kwamba wanafanya mambo kwa maelekezo ya serikali.
Lissu kashitakiwa kwa kosa la uhaini
Lissu kanyimwa dhamana kwa sababu kashitakiwa kwa kosa la uhaini
Lissu...
Naandika hii baada ya kuona hukumu ya kufungwa miaka minne kwa Mh Tundu Lisu.
Lakini ukiona aina ya hukumu hiyo imekaa kisiasa ikiwa ni kama kumkomoa au kumkomesha ili ashindwe kufanya shughuli zake za kisiasa na kijamii.
Sasa swali ni kwamba huo ushungi na majuba yana maana gani anapovaa...
Bila kufungamana na siasa ya chama chochote Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa haki, Amani na utu nasimama na wewe Leo .
with no any political affiliation , All the best Hon TAL 🤝
"Kwenye maisha usitegemee kila mtu akuelewe, wala usilazimishe kupendwa na kila mtu. Jifunze kusimama mwenyewe, kutabasamu hata unapopitia magumu, na kuendelea na safari yako bila kueleza kila kitu unachopitia. Mwisho wa siku, maisha ni yako na hakuna atakayeyaishi kwa niaba yako." 🖤🥀
Habari zenu Wakuu.
Naomba kama kuna mtu anayefanya kazi TAMISEMI Dodoma au mwenye mawasiliano na mtu anayefanya kazi huko, ani-PM tafadhali. Nina jambo binafsi ambalo ningependa kupata ushauri na msaada kuhusu namna ya kulishughulikia. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeniunganisha na mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.