mtu

  1. Manyanza

    Great Thinkers hawajulikani kwa uwezo wao wa kubishana na kila mtu

    JamiiForums ni mtandao unoaweza kukujenga au kukupotezea muda, kutegemeana na namna unavyoitumia. Usiwe Member ambaye anajulikana kwa sababu ya matusi, kejeli na mabishano yasiyoisha. Jitahidi kujulikana kwa hoja, maarifa, ubunifu, nidhamu na uwezo wa kujifunza. Usiogope kukosolewa. Usiogope...
  2. L

    Kuna mtu anasoma html sasa hivi

    Ni kama movie ya kutisha. Kuna watu wanasoma html au Microsoft Word asa hivi. Na Hivi Chatgpt na Gemini ni Ai - au ni chatbot tu, tusubiri kama miaka 2 tu, Mana kuna movie nimetoka kuicheki imenitisha zaidi. Inaitwa World Of War 2005 - Ee bwana hii sio muvi, ila economist walikua wanatumbia...
  3. J

    David Kafulila: Wakati Ujao ni wa Kila Mtu lakini hatuwezi kuufikia tukiwa tumegawanyika, 88.6% ya wanawake ni House Keeper wakati wanaume ni 52.5%

    HAPPY INTERNATIONAL MEN’S DAY 2026 – THE FUTURE IS EVERYONE - KAFULILA Katika kuadhimisha Siku ya Wanaume Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Zacharia Kafulila, kupitia akaunti yake ya X (zamani Twitter), ametoa ujumbe unaosisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya wanaume na wanawake...
  4. M

    Urembo au pambo gani ukilikuta nyumbani kwa mtu kwa sasa unamshangaa?

    Kama ilivyo kwa vitu vingine urembo au mapambo huwa yanakuja na fasheni na kupotea, zamani ilikuwa kawaida watu kutandika vitambaa kwenye viti vyao sebuleni lakini kwa sasa inaonekaa kupitwa na wakati japo baadhi wapo wanafanya. Je, ni kitu gani cha urembo au pambo ukikikuta nyumbani kwa mtu...
  5. Tochuku

    Kituko Cha ajabu duniani: Kitambulisho Cha NIDA kua na picha ya mtu ambaye sio mwenye kitambulisho

    Katika maisha yangu yote na uzee huu sijawahi kitu Cha ajabu na Cha kpmbvu kama hiki Sasa tunaosafiri huko duniani nchi zingine unaambiwa Lete your national identification card unatoa anaona lipicha la mtu ambaye sio anayemuangalia mbele yake.. Hii ni akili ama matope jamani watanzania...
  6. B

    Natafuta mtu au watu wa kusaidiana kuendesha TV Channel

    Habari zenu, natafuta watu wa kusaidiana kuendesha TV. TV ni ya burudani, inaanza mwezi ujao kuonekana kwenye satellite na itapatikana Afrika nzima. Kila kitu kipo sawa na imesajiliwa. Kama uko tayari, nidm. Si lazima uwe na pesa, unaweza kuwa na pesa au ukawa mjanja wa kupata matangazo...
  7. Red black

    Je ni sahihi ku judge uchumi wa mtu kutokana na kiatu alicho vaa mguuni?

    🤔
  8. youngkato

    JINSI YA KUKUZA BIASHARA KUTOKA MTU MMOJA HADI KAMPUNI KUBWA: NJIA 8 ZA KUJENGA EMPIRE

    Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo. Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
  9. and 998 others

    Si adabu kumrekodi picha za utupu mwanamke mtu mzima vile (heshima ipo wapi?)

    1. Vijana tuweni na heshima kwa watu waliotuzid umri. Unafanya yote haya kwa ajioi ya nn? Pia hata hamtumii kinga. Kweli? 2. Fikiria unamrekodi mtu mzima kama Bibi mzaa baba yako kisha unarusha mitandaoni. Heshima ipo wapi? Adabu ipo wapi?
  10. McLaren

    Wakili Maduhu: Ukimrekodi mtu bila ridhaa yake utapewa kifungo kisichopungua miaka 5 au Faini isiyopungua Milioni 5

    Wakili Kulwa William Maduhu anaeleza kuwa ni makosa kisheria kurekodi mazungumzo yako na mtu mwingine bila ridhaa yake na kufanya hivyo kunaweza kupelekea ukafungwa miaka mitano. Wakili Maduhu amesema hayo leo Novemba 16, 2026 kwenye mahojiano na kipindi cha Jambo Asubuhi na kueleza kuwa pia...
  11. papag

    Kila mtu atafikiwa

    Ni suala la muda tu. Mi5 tena
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ukweli mchungu, vyombo vya dola vyote, sheria zote zipo kwa ajili ya kumdidimiza mtu wa chini

    Kivuli cha Sheria na Wanyonge: Je, Vyombo vya Dola Vinamlinda Nani? Katika jamii ya leo, kuna swali gumu linalozunguka kwenye vinywa vya wengi na kupiga kelele katika mioyo ya wale wote wanaopambana kila siku kupata riziki: Je, sheria na vyombo vya dola vimekuwa ngao ya kuwalinda wananchi...
  13. E

    Inakuwaje mtu anafanya kazi ya kuajiriwa maisha yake yote?

    你好,你们好吗? Wadau sipingi ajira,hata mimi nimewai kuajiriwa,na ajira ndiyo source ya mtaji wa kuanzia biashara kwa mtu ambaye hana cha kuanzia.Kinacho nishangaza ni inawezekanaje mtu anaajiriwa akiwa na umri wa miaka 25 mpaka anafikia umri wa kustaafu miaka 60 kakomaa tu na ajira? Hivi huyu mtu...
  14. Rungwe88

    Kiranga akikuuliza "Thibitisha Mungu yupo" muulize je, anaelewa "Mungu" ni kitu, mtu au jambo la namna gani?

    Nimeona huu mtindo wa ndugu Kiranga akiwa na mazoea ya kuuliza hili swali kila linapotajwa Jina la Mungu hapa JF, na swali lake ni lile lile miaka yote "thibitisha Mungu yupo" Sasa swali tunamrudishia yeye, je akisikia, kuona, kusoma neno "Mungu" anapata tafsiri Gani katika uelewa wake, je...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Mtu akigombana na kumchokoa mkeo, amegombana na kukuchokoa wewe. Tibeli Code

    MTU AKIGOMBANA NA KUMCHOKOA MKEO, AMEGOMBANA NA KUKUCHOKOA WEWE. TIBELI CODE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika zile familia Duni, maskini, watumwa. Familia zisizo na wanaume imara, wanaume wasiojitambua na kujua mamlaka na majukumu yao. Ni jambo la kawaida kabisa kuona na kusikia...
  16. Gunner11

    Asikwambie mtu, kuishi single kunaharibu sana afya ya akili

    Niwachane tu ukweli wadau.. Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu. Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving.. Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai... I need to reshape my love life...
  17. D

    Sio Siri, Kimtindomtindo na Kimyakimya Wanakubali Kuwa Huyu Mtu Sio Boya Kama Walivyodhani

    Walifikiri itakuwa rahisi mno kumuangusha, yaani kama kumsukuma mlevi tu. Ndo maana kirahisirahisi tu wakaja hivi.......... 1. No vile no hivi. Ikawa vilevile, dadadeki. 2. Waliwafadhili vigen z vya Kenya kumtusi kwa Kila namna, kwa sababu ambazo hata hazieleweki. Wamemaliza matusi, wamemwacha...
  18. R

    Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe mbele ya kiti cha hukumu

    Chukua mzigo wako mwenyewe
  19. tovuti website

    Vichekesho vya Meta Business AI..-META AI inaweza kukutonngozea Mtu bila wewe kujua.Tuwe Makini Mtandaoni.

    Habari za wakati huu; Mimi ni mdau wa technolojia na mara zote huwa nafanya majaribio kwa lengo la kujifunza zaidi na kuhakikisha ninaenda na wakati.Kwa sasa hivi nimewekeza nguvu na muda zaidi katika kujifunza utumizi wa AI katika shughuli zangu.Andiko hili ni Tangazo lakini Simulizi...
Back
Top Bottom