mtu

  1. Hivi bado kuna mtu anasubiria mwanaume au mwanamke ampende ndio ajiskie raha kwenye maisha?

    Kama wewe ndio muhusika Unasubiria mpaka mwanaume au mwanamke akupende ndio uanze kujipenda Au kama bado una seek validation or approval kwa mwanaume au mwanamke kwenye swala zima la kupendana Comment hapo chini MIMI NI MJINGA
  2. Nilikuwa sijui hii, kumbe ukimueleza shida mtu ndio mwanzo wa kukata mawasiliano?

    Sio tabia yangu ila Kuna msela wangu tumefahamiana miez sita sasa sababu tunafanya kazi idara moja, sasa jana jana alinipigia kunisabahi kama kawaida ndipo katika store nikamuingizia hiyo shida akasema tutaangalia japo nae hayupo win win situation. LEO SIKU YA TATU..NO CALL wakati alikua mtu...
  3. Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine

    Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine kwa namna iliyo bora, yenye ukomavu, na isiyochosha. Huwezi kumpa mtu mwingine maji kutoka kwenye chombo kilicho tupu; unapojijaza upendo, heshima, na utulivu, unakuwa na akiba ya kutosha na yenye afya ya kushirikisha wengine...
  4. C

    Msaada: Jamani nimekwama, sikopesheki tena kwenye ESS yangu Mimi ni mtumishi naomba mtu aniazime 270000(laki mbili na sabini elfu)

    Jamani Nina changamoto na ninahitaji msaada wa tsh 270k Kila Kona ninayoitazama nina deni , ess yangu haitamaniki siwezi elezea Kwa urefu kwanini nimefika hapa ila naomba anayeweza kuniazima hicho kiasi nitakilipa Kwa awamu mbili December na January , msaada Jamani
  5. Ni tabia gani ambazo mtu akiwa nazo si rahisi kufanikiwa kwenye maisha?

    Eti Wakuu Hivi ni tabia gani ambazo mtu akiwa nazo si rahisi kufanikiwa kwenye maisha...?
  6. C

    Unatumia kigezo gani kumkopesha mtu

    Je mtu anapotaka umkopeshe hela au bidhaa kwenye biashara yako, kama anachitaka kukopa unacho kweli ni kigezo gani unatumia kujua napaswa kumkopesha mtu fulani kiwango fulani ?
  7. Kuwa mwema, lakini usiwe mjinga wa kuamini kila mtu

    Ukiwa hapo ulipo, unajiona huna ugomvi na mtu, kila mtu anakupenda na anakufurahia. Lakini nikukumbushe jambo moja: Yesu alikuwa na maneno mazuri, alitenda mema na alikuwa na wafuasi waliomzunguka kwa tabasamu. Pamoja na yote hayo, alisalitiwa. Sasa wewe ni nani hata ujione huwezi kusalitiwa...
  8. Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu

    Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu Uraibu ni hatari sana kwenye maisha ya binadamu na unaweza kupelekea kupoteza maisha Kuna uraibu wa aina nyingi sana, kwa kufupisha nikuwa uraibu ni hali ya kutumia hisia mbaya au kitu kwa kupita kiwango Ni kazi ngumu sana...
  9. M

    Mwananchi: Mfumo wa ajira unachangamoto sana, mtu unaweza kuomba hata mara 1000 usipate

    Wananchi ambao ni wahitimu wa vyuo mbalimbali wanazungumzia namna ambavyo elimu waliyoipata haikuwa na uhususiano wa mojamoja na matakwa ya ajira. Vijana wengi wako mtaani wakiwa wamehitimu vyuo vikuu na wanarudi mtaani kufanya shughuli za kuunga unga ikiwemo umachinga.
  10. Ndugu ndio wanaochukiana vibaya kuliko mtu baki.

    Is it because kwa sababu mmeishi pamoja, so mnachukuliana fresh tu, ama huwa kuna wivu kuwa ndugu yako akifanikiwa wewe utaonekana boya? Kati ya watu walaghai, watu wanao ku backstab kwenye maisha ni ndugu. Na sometimes the people you call fresh and blood will be the ones to sketch your...
  11. Mtu anapataje faida kwa kufuga mbuzi au kuku wa kienyeji?

    Ninachojaribu kukieleza hapa na kueleweka ni kufanya ufugaji iwe ndio means yako ya kupata pesa na kutegemea ufugaji kama sehemu yako ya maisha, mfano mwingine anaamka asubuhi na kwenda kazini, mwingine anaenda kwenye biashara Mimi nataka ufugaji uwe ni ajira yangu full time. Sasa kwenye...
  12. Utachukua hatua gani kwa mtu wako wa karibu anayekusudia kutoa kafara ya binadamu?

    Utachukua hatua gani ndugu yako, mume/mke, jirani au rafiki akikuambia mungu amemuambia amtoe sadaka/kafara mtoto wake na kweli anakusadia kwenda kumtoa mtoto wake sadaka kutimiza agizo hilo ?
  13. Nani Aliyetudanganya Kila Mtu Lazima Asome au Aelimike?

    Ni hivi, kila mtu anahitajika hapa duniani. Wajinga na Wapumbavu wanahitajika zaidi pia pengine kuliko werevu na wenye elimu. Kuna wakati na kuna shughuli zinahitaji watu wa aina hiyo. Kwanini sasa tulazimishe watu wawe na kiwango fulani cha elimu? Elimu ya msingi kuwa form IV Kupata ujinga...
  14. Nandy: Hakuna mtu ambaye atapewa dili la hela nyingi alikatae especially la pombe, isionekane hivyo kwa sababu atajua kwamba tumeongea details

    Mjadala mkubwa umeibuka kupitia klipu ya sauti inayoangazia madai yanayohusiana na dili la mvinyo au pombe linalodaiwa kuhusisha jina la msanii zuchu na Nandy. Inasemekana kuwa Zuchu alisikika akidai dili hilo lilikuwa liende kwake lakini alilikataa kwa sababu ni la mvinyo, huku sauti...
  15. JAMES OPIYO: Mashine ya mateso kipindi cha utawala wa Daniel Arap Moi

    Ni majina machache yanayoweza kuwakumbusha Wakenya kuhusu kipindi kigumu cha kisiasa chini ya utawala wa Rais Daniel arap Moi kama jina la James Opiyo. Opiyo alikuwa afisa mwandamizi wa zamani katika kitengo cha Special Branch, kilichohusika na masuala ya ujasusi wa ndani. Alikuja kujulikana...
  16. Kuna mtu kanitaja kwamba nina IQ ndogo haya ndo majibu yangu

    Kuna member kanitaja kule kwamba nina IQ ndogo na anaamini kwa kufanya hivyo ananikera na kuna ambao wamemsupport Paroco Watanzania ni watu ambao wanapenda sana sifa hata ambazo ni wazi hastahili kwa hiyo ukitaka kumuudhi mtanzania hata kama yeye hana fedha mwambie huna fedha atakukasirikia...
  17. Hiki ndio kipimo cha mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili hapa JamiiForums

    Kuna uzi umeletwa humu ndani ukiwataja watu kadhaa kwamba ndio wenye uwezo mkubwa wa akili humu JF, ila baada ya kufatilia kwa mda nimeona Kuna upotofu wa uelewa kuhusu uwezo wa akili. Outstanding problem-solving abilities, ni moja ya sifa kubwa ya mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili. Sasa...
  18. Tanzania hakuna mtu mwenye IQ kubwa tuacheni kujidanganya na kujifariji

    IQ kubwa inapimwa na output leo ukifa mtoto aliyezaliwa mwaka 2040 atakuwa inspired na maisha yako Tanzania watu wenye akili wapo wengi sana tatizo hatujapata watu watakaoleta mabadiliko makubwa ndo maana bado ni maskini Wako wanaojaribu ila bado hawajafanikiwa kuwa kwenye group la watu wenye...
  19. Rafiki yangu mke wa mtu miaka 52 ana mimba ya chekibobu, mumewe yupo Netherlands masomoni tangu 2024 Dec

    Huyu rafiki yangu alikuwa mlokole kweli kweli, mtu wa maombi kwelikweli, amejawa na Roho wa Bwana. Baada ya mume wake kusafiri, siku moja tukawa tumetoka naye out kuna kitu very weird nikakiona, aliagiza Savannah, nikajidai kama sijaona kitu. Akajiongelesha, nataka nitest leo inafananaje. Basi...
  20. Bila dini ungekuwa mtu wa aina gani ?

    Bila dini ungekuwa mtu wa aina gani katika jamii na ukiishi maisha gani ? Unafikiri ungekuwa mbakaji, jambazi, mwizi, muuaji, pedophile, mtukanaji shoga, mlevi, tapeli, mtekaji, wasiojulikana, muuza dawa za kulevya, Teja, mfanya ngono holela na kila mtu hadi na wazazi wako na ndugu zako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…