mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Bemendazole

    Ntakuwepo jukwaani mpaka December 31, 2026

    Ntakuwepo jukwaani mpaka December 31, 2026 Baada ya hapo nitakuwa nimestaafu kufanya kazi za kutumia akili. Nitajikita katika kilimo, ufugaji na hii kazi yangu ya ukarani. Kama una jambo la kunishirikisha, ni vyema ukanishirikisha katika kipindi hiki. Ahsante.
  2. MakinikiA

    Mpaka sasa hakuna muelekeo .....

    Ugomvi wa ndugu wawili ukiingiliwa na wapiga zumari matokeo yake hakuna upatanisho.....wapiga zumari wakiendelea kupiga zumari....
  3. mcTobby

    Huyu jamaa kosa lake lilikuwa tu kuongeza mke wa pili mpaka akauliwa kinyama hivi?

    Ni jambo gani hasa alilofanya jamaa huyu hadi kustahili kuuawa? Anaitwa Nashon Ouma Opiyo, mkazi wa Ongoro, Kamreri, eneo la Suba huko Kenya, alifanya nini mpaka mke wake mwenyewe na watoto wake, kwa madai yanayoelezwa, wageuke dhidi yake, wampige ndani ya nyumba yake na hata kumchomeka...
  4. Mla Bata

    Unaweza kumheshimu mtu mpaka aanze kuzungumzia baadhi ya mambo!

    Wasalaam Nimekaa nikajiuliza ni kwanini baadhi ya mambo yanafanya watu hata wenye heshima zao, elimu na nyadhifa kutokwa akili kabisa wanapoyajadili. Kuna mijadala ambayo inakufanya uanze kumwangalia mtu kwa jicho tofauti. Unakuta unamuheshimu mtu vizuri tu lakini akianza kuzungumzia mahaba...
  5. N

    Jua ni kali hadi mchumia juani jua lina mchumu

    Jua ni kali hadi mchumia juani jua lina mchumu. Mdau unapigwa na jua ukiwa wapi 😆😆
  6. Idugunde

    Mpaka inafika 2030 CCM mtandao watatuumiza sana kama taifa. Watatunyonya mpaka tutakoma

    Watakamata na kuua watu, wataiba mali za umma. Watateka na kuua watu. Umasikini utatamalaki maana wao na familia zao watakula mema ya nchi. Tufanyeje ili waondoke madarakani kabla ya 2030?
  7. mahadhialy

    KUTOKA AFRICA YENYE NGUVU MPAKA UTUMWA WAPI TULIPOKOSEA

    Africa kabla ya ukoloni (kabla ya 1500) Africa ilikuwa na falme na himaya mbalimbali zenye nguvu zikiwemo •Himaya ya Mali Ilikuwa inautajiri mkubwa wa dhahabu na biashara •Himaya ya Songhai Ilikuwa na jeshi na utawala mkubwa Africa ya magharibi •Ufalme wa Kongo Ulikuwa na mfumo wa kisiasa...
  8. Expensive life

    Wengine freshi tu wakiomba wanapewa, wewe sasa "boya" ukiomba unaambiwa mpaka ndoa

    Oyah, wengine bila hiyana wanapewa tunda, wewe sasa boya, ukiomba unaambiwa mpaka ndoa, mwanangu nakusanua, ukioa huyo umewaolea wajuba stuka. Ukiona kona kona nyingi za kupewa utelezi, kaa ukijua kuna mwamba anatunziwa akaichape, shauri yenu mnao oa wake za watu.
  9. Palac

    Way back kwasasa viboko vimeondolewa mashuleni je ni tukio gani unalikumbuka uliwahi tenda ukiwa shule mpaka kengele ya dharula kugongwa

    Kwasasa serikali kupitia zuio la mahakama kuhusu adhabu ya viboko kwa wanafunzi mashuleni ni tukio gani ulifanya ambalo lilisababisha kugongwa kengele ya dharula kwa ajili yako.
  10. Wizara ya Ardhi

    TANZANIA NA BURUNDI ZAJADILI UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA

    KIGOMA Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya Tanzania na Burundi imekutana kujadili na kukamilisha maandalizi ya kuanza utekelezaji wa zoezi la Uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili katika eneo la mto Malagarasi Wilaya Kasulu mkoani Kigoma. Kikao hicho kimefanyika...
  11. Sifi Leo

    Waziri mkuu wetu anavaa Tai ya rangi ya Bendera ya Tanzania mpaka kwenye vibao kata na Harusi jamani?

    Hayo ni maisha binafsi,waziri Mkuu anayo nafasi ya kuvaa apendavyo jamani kwa nini kila pahala anavaa na bendera ya taifa aise?
  12. Sifi Leo

    Hana amani na urais wake mpaka anawakilishwa harusini? Waziri Mkuu anatakiwa kutumwa kwenye harusi?

    Tunakoelekea waziri Mkuu na Makamu watatumwa mpaka kwenye vibao kata, ili hali sio shughuli za kiserikali. Ila sishangai maana Kizimkazi festival, huwa inasababisha watumishi wa umma wote kufunga ofisi za umma na kwenda kukata viuno kule Zanzibar Kizimkazi ili mama afurahie mauno ya watumishi...
  13. Tlaatlaah

    Mpaka sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa ndio pekee mwenye furaha zaidi, licha ya kuificha furaha hiyo isionekane hadharani kwa umma.

    But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
  14. technically

    Huu ujinga mpaka lini tujiandaeni kwenda road

    Tuachane na mambo ya Lema Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu Twendeni road tukamkomboe Lissu Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.
  15. Stroke

    Baada ya utabiri kwa Samia kutimia napumzika siasa mpaka 2030 Inshaalah

    Wakuu; Baada ya kutabiri sawia kabisa Samia kuwa Rais 2025. Naona nipumzike siasa kwa muda mpaka 2030 tukijaliwa. Wish you all mijadala yenye tija. Mpaka tukikutana tena.
  16. M

    Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  17. MakinikiA

    Hawamalizi matanga mpaka tarehe 6....

    Wandugu hapa kuna maana kubwa sana kiroho. Ndugu wa Lissu wasema hawamalizi matanga ya kaka yake Lissu aliyefariki . wanapoamua kuhusisha msiba na kesi ya Lissu ni laana . Kifupi roho ya marehemu itawasumbua viongozi wa Tanzania wasipokuwa makini.....
  18. Sifi Leo

    Staki kuamini yakuwa Tume ya Chande haikumshauri, rais awatibu marejeruhi wa risasi za 29/10/2025 mpaka wajitokeze leo na kulia lia hadharani.

    Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania. Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
  19. Gospel KTV

    Natafuta Watu Wanao Hamisha Kigamboni Mpaka Riverside

    Habari wakuu, Kuna ndugu yangu anahitaji kuhama Kigamboni kwenda Riverside Ubungo. Nitawapata wapi watu wanaofanya kazi ya kuhamisha watu kwa Kigamboni.
  20. Ntemi_Ntale

    PostGE2025 Je, mpaka sasa Serikali imewajibika kwa kilichotokea Oktoba 29, 2025?

    Tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi kuhusu mauaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman ilibaini kuwa watu 518 walipoteza maisha, wengi wao kwa majeraha ya risasi. Mwenyekiti wa Tume hio...
Back
Top Bottom