Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, na kwa kweli Mweka Hazina wetu amekuwa kero kwa watumishi. Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa malipo, ambapo dokezo haliwezi kushughulikiwa hadi jina lake pia liwekwe, hata kama shughuli husika hazimuhusu.
Kwa mfano, unapohitaji kusafiri...
WAndugu natafakari kwa kina sipati majibu.
Wzara zilizopo kuzihudumia ni mzigo kwa sababu ya utitiri wa matumizi mpaka muda mwingine inawalizimu kukopa ili wazihudumie.
Na ndio maana kuna jamaa mmoja alikengeuka na kusema wananchi hawalipi kodi ndio maana nchi inakopa sasa tujiulize hizo...
For over 40 years Kenya has been managing Tanzanian airspace around Kilimanjaro.
Tanzania has now petitioned the International Civil Aviation Organization (ICAO) expressing the urgent need to take back its airspace.
A Tanzanian delegation led by Khalid Salum Mohamed (Zanzibar's Minister for...
Huu ndio ukweli ambao watu wengi naamini hawajaugundua, ukweli amabao ni ushindi mkubwa kwa viongozi wa CHADEMA wa kukwepa kukamtwa na kupewa kesi za kisiasa.
Ni imani yangu hata baada ya kumfunga Lissu, walitarajia reaction kubwa na ya haraka ikiwemo kuitisha maandamano kupinga Lissu kufungwa...
Wakuu hii concept ya mungu sio poa!. Simdhihaki wapa sikosoi imani ya mtu lakini....
Haiwezekani mabalaa anakushushia tu hata kama hujamuomba. Imagine umetoka kutimuliwa kazi mwezi uliopita, umejiajiri wiki 3 now, jana umepigwa tukio na mfanyakaz wako kakimbia na Milion 4. Hujakaa vizuri...
Nakuambia ukiweza kupiga shots 5 una target langoni mwa mkia huwezi kosa goli 2. Kipa hawana. Lile Tanja ni pazia tu hamna kitu.
Hakuna saves za maana ambazo amewahi fanya za kuokoa team. Ndo maana anakosa clean sheets. Na mabeki wa Mikia nao wana mzaha sana kule nyuma jana kama zingeongezwa dk...
Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao. Baada ya mazungumzo mafupi na wazazi wake, kulingana na utamaduni wao, mwanaume yeyote anayetaka kuoa kutoka kwao lazima afanye kazi ya shamba kwa mwezi mmoja mzima...
Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani
Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
Habari wanazengo, natafakari hapa kama Kuna haja ya kuwa na wivu pale unapo gundua mkeo anatoka nje ya ndoa wakati ukijua kuwa
1.Ulimkuta tayari anafanya hilo jambo ana mabwana mtaani
2.Sehemu zake zote za sili ziko wazi
3.Alisha zaa. Niwazi alifanya ndo maana akapata mimba
4.Ulimkuta na bwana...
Mpaka leo napoandika mada hii nakamilisha uchunguzi wangu wa kina katika swala la ndoa na kuhitimisha na swali moja.Ni kwanini mpaka leo hakuna nchi iliyopitisha sheria ya kuilinda ndoa kwa wanandoa?
Mfano hakuna sheria ya ugoni.Yaani hakuna sheria kuwa nikikulombea mkeo utanishtaki wala hakuna...
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Kiomoni Kibamba amesema Simba wamepeleka kamati tatu za Uchaguzi mpaka anashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi.
Aidha Kiomoni amesisitiza Uchaguzi utafanyika siku ile ile aliyotangaza Mwenyekiti wa Klabu Murtaza Mangungu ambaye ametangaza 30/01.
"Ndio, ni kubwa sana. Hizi ng'ombe msiwe mmezipata hizi kwa taarifa yenu. Msiwe mmezipata. Natoa amri. Mimi ndio mwenye huu mpaka. Mimi naanzia Serengeti kule Ikoma naishia Sirari.
Sasa, kuanzia leo, mnaona hii barabara ya ulinzi inayopita, hii barabara ya ulinzi. Usivuke na ng'ombe zako...
Mr blue alipo kua akihojiwa na ric msafii kafunguka mambo mengi kubwa zaidi ni inshu ya kifamilia amabapo amedai, mkewe yule shombeshombe, walikutana night club miaka hiyo kwa mara ya kwanza.
Faida ya huyo mke wa Mr blue anadai kua mkewe ndio alien muachisha mambo ya kuvuta ma namna gani kwani...
Ukitaka kuandaa Taifa imara andaa mtoto toka siku ya kwanza ya usutubishaji inatakiwa sheria impe kipaumbele mama mjamzito awe kama mwanjeshi namba 1 wa nchi awe na utulivu wa kiakili atungiwe sheria mma mjamzito na anayenyonyesha mwisho kuonekana mtaani saa kumi na mbili jioni, muda mwingi akae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.