mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Eti nasikia Ukipata Dem mwenye simu ya mkopo utalipa den ilo mpaka ukimbie

    Halafu uyo anakuwa hakunyimi show ata kama hakupendi anakupa tu
  2. A

    DOKEZO Mweka Hazina wa Halamashauri ya Wilaya ya Mufindi ni matatizo makubwa

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, na kwa kweli Mweka Hazina wetu amekuwa kero kwa watumishi. Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa malipo, ambapo dokezo haliwezi kushughulikiwa hadi jina lake pia liwekwe, hata kama shughuli husika hazimuhusu. Kwa mfano, unapohitaji kusafiri...
  3. Wizara zilizopo zinawashinda kuziendesha mpaka mkope, sasa mlizoongeza mtaziendeshaje?

    WAndugu natafakari kwa kina sipati majibu. Wzara zilizopo kuzihudumia ni mzigo kwa sababu ya utitiri wa matumizi mpaka muda mwingine inawalizimu kukopa ili wazihudumie. Na ndio maana kuna jamaa mmoja alikengeuka na kusema wananchi hawalipi kodi ndio maana nchi inakopa sasa tujiulize hizo...
  4. Kumbe ardhini kuna mpaka na angani kuna mpaka mwingine

    For over 40 years Kenya has been managing Tanzanian airspace around Kilimanjaro. Tanzania has now petitioned the International Civil Aviation Organization (ICAO) expressing the urgent need to take back its airspace. A Tanzanian delegation led by Khalid Salum Mohamed (Zanzibar's Minister for...
  5. S

    Viongozi wa CHADEMA kutoitisha maandamano yoyote mpaka sasa, wamekwepa mtego wa kukamatwa na kuwekwa mahabusu

    Huu ndio ukweli ambao watu wengi naamini hawajaugundua, ukweli amabao ni ushindi mkubwa kwa viongozi wa CHADEMA wa kukwepa kukamtwa na kupewa kesi za kisiasa. Ni imani yangu hata baada ya kumfunga Lissu, walitarajia reaction kubwa na ya haraka ikiwemo kuitisha maandamano kupinga Lissu kufungwa...
  6. Mungu bwana! Mambo mazuri mpaka umuombe ndo akupe, ila mabalaa anakushushia tu! Hajali kabisa

    Wakuu hii concept ya mungu sio poa!. Simdhihaki wapa sikosoi imani ya mtu lakini.... Haiwezekani mabalaa anakushushia tu hata kama hujamuomba. Imagine umetoka kutimuliwa kazi mwezi uliopita, umejiajiri wiki 3 now, jana umepigwa tukio na mfanyakaz wako kakimbia na Milion 4. Hujakaa vizuri...
  7. Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale

    Nataka kuanziasha chama Cha siasa Inashangaza kuona bado mnahaidiwa mambo waliohaidiwa wazee wa miaka ya 90 mnahaidiwa mpaka leo Yale yale
  8. Kama mnataka kuchukua Ubingwa na kufika mbali CAF. Mikia tafuteni Kipa. Mpaka sasa hamna kipa

    Nakuambia ukiweza kupiga shots 5 una target langoni mwa mkia huwezi kosa goli 2. Kipa hawana. Lile Tanja ni pazia tu hamna kitu. Hakuna saves za maana ambazo amewahi fanya za kuokoa team. Ndo maana anakosa clean sheets. Na mabeki wa Mikia nao wana mzaha sana kule nyuma jana kama zingeongezwa dk...
  9. Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao.

    Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao. Baada ya mazungumzo mafupi na wazazi wake, kulingana na utamaduni wao, mwanaume yeyote anayetaka kuoa kutoka kwao lazima afanye kazi ya shamba kwa mwezi mmoja mzima...
  10. Kujipendekeza mpaka kwenye imani za watu mwisho wa siku kubaya

    Mataamko ya RC Chalamila kukashifu wa Kristo ni dalili mbaya sana .Ila kuna siku tu haya mambo mnayatengeneza kujionesha mpendwe na vyeo vyenu
  11. Kutoka uchaguzi feki mpaka maridhiano feki, nini kifuatacho ?

    Sasa tutegemee mabadiliko mapya feki ya katiba au katiba mpya feki.
  12. T

    Waziri mkuu anatumia nguvu nyingi kuaminisha umma kuwa anafanya kazi ila mpaka sasa mwaka na zaidi nani kaona jambo kubwa amelifanya!?

    Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
  13. K

    Unamwoa mwanamke ambaye umemkuta kwenye mahusiano, yaani ametumika sio bikra, akikuchiti unaanzaje kuwa na hasira kali mpaka kua

    Habari wanazengo, natafakari hapa kama Kuna haja ya kuwa na wivu pale unapo gundua mkeo anatoka nje ya ndoa wakati ukijua kuwa 1.Ulimkuta tayari anafanya hilo jambo ana mabwana mtaani 2.Sehemu zake zote za sili ziko wazi 3.Alisha zaa. Niwazi alifanya ndo maana akapata mimba 4.Ulimkuta na bwana...
  14. Ni kwanini mpaka leo hakuna sheria ya kuilinda ndoa duniani ukitoa nchi zinazofata sharia

    Mpaka leo napoandika mada hii nakamilisha uchunguzi wangu wa kina katika swala la ndoa na kuhitimisha na swali moja.Ni kwanini mpaka leo hakuna nchi iliyopitisha sheria ya kuilinda ndoa kwa wanandoa? Mfano hakuna sheria ya ugoni.Yaani hakuna sheria kuwa nikikulombea mkeo utanishtaki wala hakuna...
  15. M

    Kiomoni Kibamba: Simba wameleta kamati tatu za Uchaguzi mpaka nashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Kiomoni Kibamba amesema Simba wamepeleka kamati tatu za Uchaguzi mpaka anashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi. Aidha Kiomoni amesisitiza Uchaguzi utafanyika siku ile ile aliyotangaza Mwenyekiti wa Klabu Murtaza Mangungu ambaye ametangaza 30/01.
  16. M

    Askari: Natoa Amri, ng'ombe wako wakivuka mpaka utarudi na ulemavu

    "Ndio, ni kubwa sana. Hizi ng'ombe msiwe mmezipata hizi kwa taarifa yenu. Msiwe mmezipata. Natoa amri. Mimi ndio mwenye huu mpaka. Mimi naanzia Serengeti kule Ikoma naishia Sirari. Sasa, kuanzia leo, mnaona hii barabara ya ulinzi inayopita, hii barabara ya ulinzi. Usivuke na ng'ombe zako...
  17. MKE WA MSANII MR BLUE, KABAYSER WALIKUTANA NIGHT CLUB 2003, MPAKA SASA NI MKE NA MUME

    Mr blue alipo kua akihojiwa na ric msafii kafunguka mambo mengi kubwa zaidi ni inshu ya kifamilia amabapo amedai, mkewe yule shombeshombe, walikutana night club miaka hiyo kwa mara ya kwanza. Faida ya huyo mke wa Mr blue anadai kua mkewe ndio alien muachisha mambo ya kuvuta ma namna gani kwani...
  18. Ilikuaje mpaka binadamu wakaanza kufikiria kutahiri ?

    Binadamu wa kwanza kuanza kutahiri wanaume walifikiria nini hadi wakaanza kukata au kukatana magovi ya mboo zao ?
  19. Muda wa safari kati ya Dar mpaka Dodoma

    Wadau, naomba kuuliza je endapo nikitoka Dar saa tatu kamili usiku naweza kufika Dodoma sangap Kwa njia ya basi la abiria?
  20. Nikiwa Rais wa nchi nitamlipa kila mama mjamzito laki 1 kwa mwezi, kila mama anayenyonyesha laki 1 kwa mwezi mpaka miaka 3 ya mtoto

    Ukitaka kuandaa Taifa imara andaa mtoto toka siku ya kwanza ya usutubishaji inatakiwa sheria impe kipaumbele mama mjamzito awe kama mwanjeshi namba 1 wa nchi awe na utulivu wa kiakili atungiwe sheria mma mjamzito na anayenyonyesha mwisho kuonekana mtaani saa kumi na mbili jioni, muda mwingi akae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…