mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIOTOXINS

    Mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari

    Tunaendelea kutafakari condition zake hapa nimepata picha kamili 1.Heche na Tundu Lissu ni very strong person 2.Msigwa kurudi Chadema Kuna namna hakupaswa kupokelewa 3 Tuhuma za Heche kuwa amekula pesa ni za uongo na zipuuzwe In origin Mwenzetu mmoja anatafakari Ina maana...
  2. A

    RESOLVED Huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni zarejea baada ya kusitishwa kwa takribani mwaka mmoja

    Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
  3. Erythrocyte

    Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

    Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT Mwenzao huyo ni nani ?
  4. Mwande na Mndewa

    Watanzania haawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja,kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania hawana msimamo mmoja?

    Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
  5. M

    KERO Wakazi wa mtaa wa Magaka tunalalamikia changamoto za ukubwa wa eneo na upatikanaji wa huduma

    Wakazi wa Mtaa wa Magaka, Kata ya Kahama – Ilemela, wanaomba mamlaka husika kuangalia upya ukubwa wa mtaa huo kutokana na changamoto zinazotokana na eneo kuwa kubwa huku likiongozwa na Mwenyekiti mmoja. Kutokana na ukubwa wa mtaa, baadhi ya huduma muhimu zimekuwa mbali na makazi ya wananchi...
  6. S

    Kuna account za JF kama Mwashambwa zilifunguliwa zitumiwe na group la watu wanaolipwa kuandika propaganda au kukosoa thread au posts, sio member mmoja

    Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake. Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
  7. Nyendo

    Rais Samia: Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu

    Rais Samia anasema kuwa "Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu"
  8. M

    Ameigiza ila ndio uhalisia wa wa Kiongozi mmoja wa Serikali ambaye anapenda kuwadanganya watanzania

  9. O

    Kisumu Church Drama: Alleged Hired Goons Fail to Disrupt Service as Tension Grips Worshippers

    Tension ilitanda Kisumu baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa hired goons kujaribu kuvuruga church service iliyohudhuriwa na Siaya Governor James Orengo pamoja na Nairobi Senator Edwin Sifuna. Kwa mujibu wa video zinazosambaa mtandaoni, kundi hilo halikufanikiwa kuingia ndani ya kanisa baada ya...
  10. Zack Abdul

    Tanzania yenye amani, hitaji la kila mmoja wetu

    Kuna maumivu ambayo hayaponi kwa dawa yanabaki kuishi kwenye kumbukumbu za wale waliopitia mateso yake. Oktoba 29 iliacha simulizi ambayo wengi hawataisahau, Ilikuwa siku ambazo vilio vilizidi tabasamu, hofu ikazidi matumaini, na ukimya ukazidi sauti za biashara zilizokuwa zimezoeleka kila...
  11. Leonce jr

    Bila amani, fursa hupotea na ndoto husimama. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda amani. Tanzania ni yetu sote, tuilinde

    Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini?? Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
  12. M

    Na nyie vitu vya ndani huwa vinaisha kwa wakati mmoja kwa kufuatana?

    Kuna hili jambo la vitu kuisha kwa wakati mmoja, tena huwa vinaanza pale ambapo hata akiba ya pesa ipo kidogo. Mara Gesi imeisha, hujakaa sawa unga unakata, mchele, sukari yaani ni kama vinapeana taarifa ya kuisha unakuta ndani ya wiki moja vitu vitatu vinaisha ila ukiwa na hela vipo tu Hii...
  13. Red black

    Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

    Faida nilizopata ni nyingi Sana Mimi sio yule wa mwaka 2025 -july najishukuru, Hamu ya sex sometimes ilikua kali sana ila nilifanya mazoezi makali Gym na kufikiria mambo magumu yasiyo na majibu kwenye real world
  14. Dogoli kinyamkela

    Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. Sembe haiwafahai wanawake!

    Dada jitahidi sufuria lako lizoee mwiko mmoja tu na aina moja ya ugali. SEMBE HAIWAFAI WANAWAKE.
  15. figganigga

    Hoteli ya Mapito Safari Camp, Serengeti, kulala Usiku mmoja ni Milioni 4.5 hadi Milioni 7. Nani mmiliki?

    Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman? Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu. Akanijibu...
  16. A

    KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  17. Best home tutor

    Tumetenga milioni mia kwa ajili ya kuhamasisha Amani ,Ahsante Raisi wetu kwa kuliona hili hitaji la kila mmoja .

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 100 kwa ajili ya kuwazawadia wananchi watakaotoa taarifa sahihi zitakazosaidia kubaini na kuzuia vitendo vya uvunjifu wa amani nchini. Amesema hatua hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya...
  18. R

    MUNGU si mmoja, kuna MUNGU wengi. Why?

    Angelikuwa Mungu ni mmoja, huyu asingeli ruhusu ya 29.10.2025 yatokee. Angelimuogopa Mungu aliyemfumbia mikono kwa unyenyekevu mkubwa!
  19. Surya

    Tukiwa watoto tulifundishwa Uvimilivu mmoja wa pekee

    Siku mgeni akija home kuna ile siku mzazi akijipata mfukoni na pesa ya kinywaji kimoja tu cha mgeni, na kwasababu ana tamani sana kumpokea vizuri mgeni wake, na kumpa chochote kitu, basi soda ilikua ni kitu kizuri kwa macho na kitamu mdomoni... Tunaita Kinywaji laini. Sasa hapo Mtoto ilikua ni...
  20. instinct desire

    Waasisi wa Taifa letu waliwafukuza mabeberu ili ku-mantain Tanzania's sovereignty leo chadema wanawatumia mabeberu ili kuhujumu Tanzania's sovereignty

    Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa. Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
Back
Top Bottom