mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  2. T

    Mbeya hali ni tete baada ya kuanza utekelezaji wa agizo la mkuu wa mkoa

    Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
  3. U

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Dar iboreshwe

    Salute. Naomba niende kwenye mada binafsi naishi Dar es salaam kiukweli OFISI ya mkuu wa mkoa Dar ningependekeza serikali ijaribu kuboreshea iendane na hadhi ya Jiji kiukweli ukipita pale ni aibu majengo ya kizamani ukiangalie na vile vigae hadhi inapungua ningeshauri mfanye jengo lenye...
  4. U

    Nataka Kufahamu Shule Bora kw watoto Mkoa w Dodoma

    Tunaamini kabisa hapa Jamii forum watu Wana taarifa za kutosha na sahihi zaidi, Sasa Kwa watoto kabla ya Primary chini ya miaka 6, je Kwa Mkoa wa Dodoma ipi ni Shule nzuri zaidi , tatu za juu, mana Naona Shule ni nyingi Sana sasa nashindwa kukupa ipi ni Bora. Kuna waday wametaja Dt.max, Almes...
  5. residentura

    Haya yanayofanyika Rufiji, ni maandalizi ya Mkoa wa Rufiji!?

    Kumekuwa na ujengaji mkubwa na wa kasi wa miundombinu kwenye wilaya ya Rufiji. Madaraja, barabara, majengo ya ghorofa vinajengwa kwa kasi kubwa sana. Nimekutana na wana Rufiji ambao katika kuwadodosa, wameonyeshaa kuelewa kuwa kuna mpango na jitihada kubwa wa kuifanya Rufiji kuwa Mkoa...
  6. K

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani kakosea kutaka waziri aombe radhi, kilichosemwa na waziri kilihusu watu sio jumuiya.

    Siku zote Kuna tofauti kubwa kati ya mtu ( binafsi) na taasisi au jumuiya katika jicho la kisheria licha ya kwamba Taasisi au jumuiya zinaongozwa na watu. Katika mazingira hayo, Taasisi inatenganishwa na watu moja kwa moja. Hili ndio naliona tatizo kwa UVCCM Mkoa wa Pwani kutaka kuhusianisha na...
  7. MFALME WETU

    Hivi kuna mkoa unaongoza kwa wizi wa kusafisha Nyumba nzima kama Mbeya?

    Nimeishi mikoa zaidi ya 8 hapa Bongo ila hakuna mkoa ulijua kuninyoosha kama Mbeya. Nakumbuka mara yangu ya kwanza kabisa kufika 2018 iyo nilikaa Lodge kama wiki hivi nikitafuta Chumba cha kuishi nikabahatika kupata maeneo ya Checkpoint-Forest ya Zamani huwezi amini baada ya wiki tu nikaibiwa...
  8. USSR

    Kuna watu hapa Tanzania ukiwaona tu unatambua ni kabila gani au watu wa mkoa gani .

    1. Wamakonde ukiona vichwa vya mviringo unajua tu huyu ni mmakonde 2.Mchaga macho makubwa, vichwa vikubwa na miguu myembamba unafamu huyu ni mangi . 3.Mhaya sura ngumu ya kutisha na imekomaa unafahamu huyu ni kyoma. 4.Muiraq/mmburu weupe mkali miguu myembamba na pua mchongoko hapo unajua maji...
  9. Crocodiletooth

    Bw.anatendea haki ulezi wa mkoa wa mwanza.

    Mheshimiwa Makonda anakagua miradi Mkoa wa Mwanza wala isikupe tabu ni kwakuwa muundo wa Serikali wana kitu kinaitwa Mlezi wa Mkoa kiserikali ambapo Paul Makonda ni Mlezi wa mkoa wa Mwanza kiserikali. Hii sio mara ya kwanza Mawaziri kukagua miradi mikoani ambapo mfano Juma Aweso (Waziri wa...
  10. masopakyindi

    Huyu Chalamila, Mkuu wa Mkoa DSM, akapimwe!

    Mapepo si mapepo! Siyo bure, akapimwe!
  11. Kaka yake shetani

    Nashindwa kuelewa viongozi wote znz na sio tanganyika mpaka mkuu wa mkoa.

    Ni kwamba nchi imefikia kujipendekeza hata kesho raisi hakitokea malawi mtaenda kushinda huko na kuendesha mambo ya nchi huko.
  12. M

    50m mtaji kwenda china au nifungue biashara Gani dar au mkoa wowote?

    Habar wakuu nafanya biashara ya duka la vyakula la jumla Sasa mtaji umepungua kulingana na ushindani mkali sana na biashara haitoki kama mwanzo,nafikiria biashara either kwenda china au biashara nyingine yoyote mkoa wowote wakuu nipeni mawazo yenu nitoboe
  13. E

    Mkuu wa mkoa wa Pwani kuja na duka la ardhi

    Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
  14. A

    KERO Watumishi tuliohama Hospitali ya Wilaya ya Nzera - Geita hatujalipwa malipo ya 'extra duties'

    Kero yangu ni kutokulipwa malipo ya extra duties kwa watumishi ambao tumehama katika Hospitali ya Wilaya ya Nzera, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mkoa wa Geita. Viongozi wa hospitali hawajalipa malipo ya extra duties kwa wafanyakazi ambao tulifanya kazi hizo kwa nguvu zetu zote. Badala yake...
  15. Kaka yake shetani

    Arusha tuweke mkoa namba moja wenye matatizo ya akili na kiwango cha uhalifu wa kiuni.

    Tuachane na musoma,mara na geita tuje arusha. Kwa steji waliyofika mnaona tuwape asilimia ngapi. Ukigusa mitandao ya kijamii kila siku ni huko arusha.
  16. A

    KERO Ni lini Polisi watachukua hatua kuhusu hali ya malori yanayosafirisha mizigo maarufu kama “Trip Town”?

    Wakuu, habari za muda huu. Ni lini Jeshi la Polisi na mamlaka nyingine zinazohusika zitachukua hatua kuhusu hali ya malori yanayosafirisha mizigo kutoka bandarini kwenda bandari kavu, maarufu kama “Trip Town”? Malori mengi katika eneo hili yanaonekana kuwa katika hali isiyoridhisha kiusalama...
  17. A

    KERO Wananchi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilayani Magu hatuna maji kwa wiki ya tatu, ila bili kila mwezi tunapewa

    Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu. Tunaomba Serikali kupitia Wizara ya Maji itusaidie kufuatilia na kukagua mradi...
  18. A

    DOKEZO TAESA Dodoma wanatoa nafasi za Internship na fursa nyingine kwa upendeleo

    Ofisi ya TAESA (Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania / Tanzania Employment Service Agency Mkoa wa Dodoma, inatoa nafasi za Internship na fursa nyingine za kazi kwa upendeleo wa kujuana, badala ya kuzingatia sifa na vigezo vinavyostahili. Aidha, baadhi ya wanaopata fursa hizo huwahudumia waombaji...
  19. Kaka yake shetani

    Mikeka 100 yaibiwa ofisi za Bakwata mkoa wa Kigoma

    KIGOMA: Tukio la wizi limetokea usiku wa kuamkia leo katika ofisi za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Kigoma, ambapo mikeka 100 imeibwa ikiwa na thamani inayokadiriwa kufikia shilingi milioni 1.5. Mikeka hiyo ilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Babalevo, kwa...
  20. M

    TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe. Tanganyika ilikuwa...
Back
Top Bottom