https://vt.tiktok.com/ZSsks68dc/
https://vt.tiktok.com/ZSsksjV77/
Mkuu wa Mkoa alidanganya umma.
Eti ajali ile ni majaribio.
Danganya wapumbavu na kudharau uwezo wa umma kufikiri.
Mkuu wa Mkoa MWanza awajibike kuudanganya umma, alikuwa anamtetea nani, sidhani kama alikuwa anatetea Taifa kwa...
Shalom
Najiuluza,huu mkoa wa shinyanga kwa nini huwa wanauweka miongoni mwa mikoa ya kanda ya ziwa?
Nikiangalia ramani sion kama kuna sehemu ya huu mkoa iliyopakana na ziwa victoria.
Kwa maoni yangu shinyanga ilitakiwa iwe kanda ya kati au magharibi huko ikaungane na wakina Kigoma na tabora.
Baada ya Mwananchi kutoa neno kuhusu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), akieleza kuwa Changamoto ya wizi Hospitali ya Rufaa Simiyu (Simiyu RRH) ipo muda mrefu, ishughulikiwe vizuri ujumbe umetolewa kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Said Mtanda ameandika...
KWA HAPA TANZANIA, HAKUNA SEHEMU INAWAKA JUA KALI KAMA KWETU MAKANYA SAME, MKOA WA KILIMANJARO.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Nimesikia watu wakilia na kupiga mayowe. Oooh! Jua kali. Oooh! Siku za mwisho. Oooh! El nino! Yaani kilio wakilalama hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na kile...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Sagini amewapiga mkwara mzito wenye bajaji.
Kawaambia mwisho jumapili, jumatatu bajaji isionekane barabara Kuu ya TANZAM.
TUKUMBUKE
Wiki karibia nne zilizopita bajaji waligoma kwa siku karibia nne wakitaka waachiwe kuendelea kubarizi hii barabara kuu.
Kwa Mbeya...
Ligi ya mkoa wa Rukwa inaanza kesho 11.11.2026 ikishirikisha timu zilizoko kwenye ratiba. Ligi ya mkoa inaanza kabla ya ligi za wilaya. Hakuna ligi ya wilaya yoyote lakini Chama cha soka Rukwa chini ya Mwenyekiti Brasi ambaye ni shemeji wa Wallace Karia ameteua timu 4 ambazo hazijukikani mkoani...
BEI MPYA ZA MBAO AINA YA PINES MKOA WA NJOMBE
2*4: 4,500/=
2*6: 6,000/=
2*2: 1,500/=
1*4: 1,500/=
2*3: 3,000/=
1*6: 3,000/=
1*8: 5,000/=
1*10: 10,000/=
MAWASILIANO
0748874928
(PIGA/SMS/WHATSAPP)
Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
Ndugu zangu Watanzania,
Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge.
Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
Kwa: Mamlaka Husika (TAKUKURU, TAMISEMI na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga)
Ninaomba mamlaka husika ifuatilie na kuchunguza malalamiko kuhusu Shule ya Sekondari Kazole, iliyopo mkoani Pwani, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.
Kwa mujibu wa malalamiko haya...
Anonymous
Thread
fomu
kazole
mkoamkoa wa pwani
pwani
rushwa
saini
sekondari
shule
shule ya sekondari
walimu
wazi
wilaya
hawa vijana ukiwakuta kwao ni wajanja wajanja sana na ubabe mwingi ila ukikutana nao sehemu tofauti na asili yao ni underdogs wa kutupwa aisee.
ukikutana nao shule au chuo hata mtaani unakuta wana kampani ya peke yao full kufuatana kama kumbikumbi.
nyie machalii hasa wameru na nyie mnaojiita...
Wanajf habarini..
Ni sakata ama vugu vugu la muda mrefu kidogo... ni lini wilaya ya Masasi mkoaani Mtwara itakuwa mkoa kamili unaojitegemea? litakuwa jambo zuri mno na la kimkakati. naomba hilo lifanyike haraka.
Masasi ni mji unaokua sana, mara ya mwisho niliongea na viongozi kadhaa wa...
Habari za leo wakuu?
Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania.
Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc.
Asanteni
Inawezekanaje mkoa unaochangia mapato makubwa kuliko Dodoma una miundombinu duni hivi?
Ni important Region kwenye uchumi wa Tanzania lakini barabara zake ni mbovu sana hususani mitaani, hakuna barabara za lami
Nilikuwa Dodoma, nimeona kuna sehemu ambazo hata hazipo busy zimewekewa njia nne...
Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao.
Kutokana na shinikizo hilo serikali...
Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma.
Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa.
Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.