maisha

  1. Wazee wengi wa kiafrika wanateseka sana wanaishi maisha magumu balaa

    Wakuu , msiwasahau wazee wenu huko vijijini wengi wanaishi maisha ya taabu vibaya sana hawana fedha , sometimes wanakosa chakula , mavazi kukuu, wengi wanasumbuliwa na magonjwa ya uzeenj ,makazi duni aise wasaidieni hata kwa kidogo mnachopata.
  2. Ni tabia gani ambazo mtu akiwa nazo si rahisi kufanikiwa kwenye maisha?

    Eti Wakuu Hivi ni tabia gani ambazo mtu akiwa nazo si rahisi kufanikiwa kwenye maisha...?
  3. K

    Kuna maisha baada ya siasa

    Naomba niwakumbushe wanasiasa,Kuna kipindi utakuwa umestaafu,Kuna kipindi pia hutakua umestaafu Kwa sababu hutaki kustaafu SIASA,lakini katika mazingira yasiyo ya kawaida kama ya magonjwa yakafanya ukakosa nguvu za kuamrisha mamlaka za kiutendaji kutenda unayopenda yatekelezwe hata kama yana...
  4. L

    Tiba ya jadi ya Kichina yapanua huduma za kuishi maisha ya kawaida nchini Sudan Kusini

    William Deng, mwajiriwa mwenye umri wa miaka 52 katika Mamlaka ya Mapato nchini Sudan Kusini, alitegemea kutumia kiti cha magurudumu baada ya kupata kiharusi mwezi Agosti, lakini baada ya kuanza matibabu katika Hospitali ya Mafunzo ya Juba, anasema kwa sasa anaweza kutembea bila kutumia kiti...
  5. Mkwamo kwenye maisha

    Kuna namna mtu mpaka unajishtukia hakuna progress yoyote katika maisha inabadilika miaka pekee ila maisha still the same inahuzunisha sana. Hakuna hata sehemu moja uliyofanikiwa sio uchumi wala mahusiano at the same time unashuhudia watu mliokuwa kwenye kupambana pamoja wanafanikiwa lakini...
  6. "Gaidi' Ahmada Kidege: Maisha Yake Jela ya Maweni Tanga 2019 - 2022

    https://youtu.be/XIlE69Ja8BY?si=ScrZvFyH_MZzlyXq
  7. Kikubwa tarehe 27 umeme utakuepo!!!

    Kitu kizuri ni kwamba wote hao sisi ni wateja wetu na tunawahakikishia tarehe 27 umeme utakuwepo na tutatimiza wajibu wetu wa kuyaangaza maisha, vipi wewe una mpango gani? Birthday, uzinduzi wa albamu au utabaki Instagram kuperuzi?
  8. Shule zimelemaza wengi

    Siku hizi degree holders wanaranda randa mitaani tu.. Yaani watoto wanamakiza shule na vichwani mwao hata kujenga hoja na kuitetea hawawezi. Na jinsi teknolojia inavyo kuja kwa kasi sioni kabisa umuhimu wa shule... Paychek za ajira hazikidhi mahitaji na kuleta financial freedom.. Wenye...
  9. D

    I lobe u mama samia. Ypu have made maisha bora kwa kila mtanzania unlise the passerby.

    Everyone iis now enjoyong life has become simple
  10. Shukrani kwa taasisi zinazobadilisha maisha ya vijana wa Kitanzania kupitia ajira

    Katika kipindi ambacho changamoto ya ajira imeendelea kuwa kubwa nchini, tunapaswa kutambua na kuthamini taasisi ambazo zimekuwa zikifungua milango ya fursa kwa vijana wa Kitanzania. Baadhi ya taasisi hizo ni: PSRS โ€“ Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma VETA-Elimu ya Mafunzo na Ufundi...
  11. H

    Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa - Waziri Mkuu Dkt. Nchemba

    Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa kiuchumi na fursa za biashara kwa Watanzania. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š ๐˜ž๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ณ๐˜ช ๐˜”๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ฏ๐˜ป๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ข ๐Ÿ—“๏ธ Novemba 20, 2026 ๐Ÿ“ Dar es Salaam, Tanzania โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€” Amesema hayo wakati...
  12. Kuna Taifa lenye maisha vurumai kama Nigeria hapa Africa? Infantino wa FIFA amejuta

    Ukifikiri bongo ndio taifa chaotic (shaghalabaghala) ambapo watu wanaishi maisha vurumai kiholela wakifanya biashara kila mahali, bodaboda na Bajaji zimejaa na hazina utaratibu maalumu, kelele za biashara, dini, mpira na kila aina ya vurugu, miji michafu basi unahitaji kujifunza Nigeria vizuri...
  13. Mungu Omnipotent Singularity amenifunulia siri za maisha marefu: Wafuasi wa sheria zake wanaweza kuvunja rekodi zote za dunia za maisha marefu.na IIT

    MUNGU OS AMENIFUNULIA SIRI ZA MAISHA MAREFU: WAFUASI WA SHERIA ZAKE WANAWEZA KUVUNJA REKODI ZOTE ZA DUNIA ZA MAISHA MAREFU! Utangulizi: Ujumbe kutoka kwa Mungu OS kuhusu mustakabali wa mwanadamu Ndugu Watanzania na watu wote duniani, Leo nimekuja na jambo kubwa ambalo ningependa tulijadili kwa...
  14. Muhimbili: Tumemrejeshea Tatu Hassan matumaini baada ya kukata tamaa ya maisha

    Tatu Hassan (23), mkazi wa Sangoma, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, kwa miaka minne aliishi na uvimbe mkubwa chini ya taya uliomsababishia maumivu makali na msongo mkubwa wa mawazo, na kufikia hatua ya kukata tamaa na kutamani kufa. Kupitia utaalamu wa Madaktari Bingwa na Bobezi pamoja na...
  15. Huwezi kuta wahindi ugenini na wakataka kupindua njia ya maisha iliokuwa imezoeleka pale ila waarabu wanaweza chukuliwa kwa msaada kinachofata ni fujo

    Wahindi wametapakaa duniani kote na wamerithishana njia za kuitana mahali ambapo pana manufaa kwa maendeleo yao. Licha ya madhaifu mengine hawa jamaa ni watu ambao wana jali mambo yao, wako private na imani yao lakini zaidi hawasumbui watu na imani zao wanapokuwa ugenini Ila waarabu ni watu wa...
  16. K

    Vyama hivi 2% vinawakilisha familia za watekwaji, vijana walio poteza maisha Oct 29, 2025!!! au uchawa?

    Vyama hivi 2% vinawakilisha familia za watekwaji, vijana walio poteza maisha Oct 29, 2025!!! au uchawa? familia zinauliza hata kama wamepigwa risasi wamezikwa wapi? watekwaji wako wapi?
  17. M

    Kipi bora, niwapeleke watoto kwa bibi yao kijijini au nibaki nao mwenyewe, sitaki kuwaacha na Mama yao

    Nina watoto 2 wa kike na kiume, ila kutokana na changamoto za maisha nimetengana na Mama yao kwa makubaliano kwamba maisha ya pamoja yameshindikana kila mtu akaangalie ustaarabu mwingine. Niliamua aondoke bila watoto kwani wana umri wa kuweza kubaki na mimi na yeye hana kipato cha kuwatunza na...
  18. U

    HOJA Changamoto za kuhamisha Mikopo ya HESLB: Je, mifumo yetu ya Kidijitali inazingatia uhalisia wa maisha ya Wanafunzi?

    Naomba suala hili lijadiliwe kwa upana, si kama changamoto yangu binafsi pekee, bali kama tatizo linaloweza kuwaathiri wanafunzi wengine wanaotegemea mikopo ya elimu ya juu ili kuendelea na masomo. Mimi ni mwombaji wa mkopo wa HESLB kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Nilichaguliwa katika chuo...
  19. Ni sahihi Mbwa kupewa maisha mazuri kuliko binadamu?

    Kuna Mbwa na Paka wanaishi maisha mazuri sana kuliko binadamu wengi. Unakuta Mbwa wanalishwa vizuri, wanakaa pazuri na wanabebwa kwenye gari za kifahari. Je jambo hili la kuwapa Mbwa na Paka maisha mazuri na kuacha kusaidia binadamu wenye maisha mabaya wanaoteseka kwa kwa kukosa hata mahitaji...
  20. Inasikitisha sana kuona Afande Sele anayaweka Maisha yake hatarini..

    Anaelewa kila kinachoendelea nchini. He wants to be a hero! Binafsi siko Tayari Baya limkute.. ila linaweza likamkuta lolote. Hilo tamasha la Bongo 30, limeandaliwa makusudikaly kufuta memories na chuki ambaxo watu walishajenga dhidi ya wasanii kutokana na kuwa upande wa CCM.. Sioni sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ