Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Wakili wa masuala ya haki za binadamu William maduhu amesema kuwa Mahakama ilipaswa kuzingatia muda ambao Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliokaa mahabusu kabla ya kumhukumu kifungo cha miaka minne, akieleza kuwa kutofanya hivyo ni kukiuka utaratibu wa kisheria wa utoaji wa adhabu...
Sio uongo kuwa jamii ya walio wengi hapa Tanzania inaamini kuwa Waumini wa dhehebu la Wasabato ni watu wenyetabia ya kusimamia Haki na Ukweli. Kitendo cha George Masaju kuteuliwa kuwa Jaji Mkuu kilileta matumaini kuwa sasa mahakama zetu zitakuwa TUKUFU kama zinavyo itwa lakini kume ndio...
""Hukumuni kile mlichopangiwa muhukumu""
----------------
Hii ndiyo kauli aliyoitamka pale mahakamani je,kauli hii haikuwa ni fedhea kwa mahakama zetu na vyombo vya haki?
Msaada wa kisheria tafadhali
Wakili msomi pascal mayalla Tusaidie juu ya hili,(Baba wakili msomi)
Kuna uwezekano mkubwa kwamba vyombo vya dola vinapewa maelekezo na viongozi wa kisiasa ili kuwafanya waendelee kutawala kama ilivyokuwa ikitamkwa kwa vipindi tofauti na viongozi waliopo madarakani.
Katika nchi ambazo ni za kidemokrasia taasisi yenye nguvu inayopaswa kuheshimika na pia kuogopwa...
Ebwana eeeh, najua nyuzi za kuhusu kesi na hukumu ya Tundu Lissu zipo nyingi ila hili jambo bado linashtua, linasikitisha na kushangaza sana.
Nimesikiliza mahojiano fulani Jambo TV na mawakili wawili, mmoja ni wakili kanjanja ila mwingine nondo zake aisee ukiorodhesha makosa na mapungufu...
Mahakama moja nchini Algeria Jumanne imemhukumu mwandishi Kamel Daoud na mkewe, Aicha Dahdouh, kifungo cha miaka mitano jela kila mmoja, bila wao kuwepo mahakamani, kwa tuhuma za kufichua siri za kitabibu na kuvunja haki ya faragha ya mtu.
Kwa mujibu wa gazeti la Algeria la El Khabar, hukumu...
Tuna uamuzi wa kihistoria katika Tanzania, ambapo Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma katika shauri la Kikatiba la Samwel Maduhu dhidi ya Wizara ya Elimu imetoa Amri ya kufuta adhabu za viboko mashuleni kwa kubatilisha vifungu kadha wa kadha vya kanuni za utoaji wa viboko mashuleni.
Jambo hili...
Habari ndiyo hiyo!
Malawi vipi? Linawezekana? Hata Somalia wameizidi Malawi ambayo ni kama non existent State
=====
Mahakama Kuu ya Somalia imetoa uamuzi kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud kuongeza muhula wake kinyume cha sheria, na kuzidisha mgogoro wa kisiasa na mzozo kati ya urais na mahakama...
Cha kushangaza kwenye tovuti ya mahakama ukipitia hata hii kesi aliyopewa lissu tokea mwanzoni ya mchongo hakuna sehemu kuna taarifa.
Jambo jengine wanampa pongezi jaji wao masaju.
Je kwanini Heshima ya Jaji mkuu na mahakama imeshuka kwa kasi kubwa?
1. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi
2. Sisa zimeingilia mahakama na majaji wanatoa maamuzi kisiasa wakitegemea vyeo
3. Majaji kukaa karibu sana na wanasiasa tena wa chama kimoja
4. Kesi nyingi za kisiasa...
Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane
Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
Mahakama Kuu ya Uganda imeipa Serikali muda zaidi wa kuchunguza kutoweka kwa mwanaharakati wa upinzani, Sam Mugumya, ambaye hajulikani alipo kwa zaidi ya miezi 14 sasa.
Katika kikao kilichofanyika jijini Kampala leo Jumatatu, Novemba 9, 2026, Jaji Simon Peter Kinobe alikubali ombi la Serikali...
Kwa utulivu wa fikra,
elezea nafasi ya mahakama huru ya Tanzania katika kuimarisha na kuchochea ustawi wa demokrasia, uhuru wa vyama vya siasa katika kufanya siasa nchini na katika kuhakikisha kwamba uchaguzi huru, wa haki na wa wazi unaendelea kufanyika kwa amani Tanzania na kwa kuzingatia...
Mwamposa hana tofauti na Mahakama Kuu katika kesi ya Lisu. Angalia utapeli
Kila mahali vituko huyu sedition, huyu kapata mimba ghafula baada ya kuombewa
Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
Wawekezaji ndiyo maana wanatumia mahakama za kimataifa maana kwa mahakama za kichawa hivi nani atawekeza mabilioni bila kuhakiki mikataba ni ya kimataifa.
Nchi zenye bunge huru, mahakama huru na katiba nzuri. Tusishangae wawekezaji wanatukimbia
Yaani Tanzania majaji wamekuwa kama wanasiasa wanatafuta kujipendekeza zaidi ya kujiamini na kufurahia heshima ya ujaji. Majaji sasa sio kama zamani . Walikuwa watu wakuhwshimiwa lakini sasa tunawaona kama wanasiasa
Mahakama ya rufaa inajitahidi lakini majaji wa mahakama za chini wanawaharibia
Sijui itapewa jina gani. Lakini ionyeshe kwa uwazi jinsi mahakama zetu zinavyopindisha sheria.
Ziwekwe video, refference za cases mbalimbali jinsi mahakama zinavyochezewa na hii serekali.
Nukuu kama za Rostam alivyokuwa akielezea mfumonwetu wa mahakama ulivyo mbovu.
Ni wazi kwamba kwa sheria za Tanzania Jaji Ndunguru na jopo lake wangeweza kumhukumu Lissu kwa kosa la uchochezi badala ya uhaini, kwa sababu sheria za Tanzania zinaruhusu hilo.
Ila sasa, inawezekana kabisa Jaji Ndunguru na wenzake wamefanya hivyo huku wakikiuka misingi ya sheria. Msimamo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.