lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Mungu atuepushie mbali kupata mke jamii ya mke wa lissu

    Ni utaratibu wa kawaida mke na watoto kuwa bega kwa bega pale baba au mwanafamilia mmoja anapopata tatizo lolote iwe maradhi,misiba au hata mashtaka ya kimahakama,tuwe tu wakweli,je mke wa aina hii anafaa kwenye jamii yetu na udugu wetu wa kitanzania? Let be frankly and truly, Maisha ni...
  2. Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  3. Wakatoliki na Walutheri wanaweza kusababisha Lissu kuachiwa

    Waumini Wakatoliki na Walutheri wakigoma kwenda kanisani mwezi mmoja tu mfululizo viongozi Wakatoliki na Walutheri serikalini watasababisha Lissu aachiwe, Dini bado ina nguvu na ushawishi mkubwa sana kwa wanasiasa wa Tanzania na inaweza kutumika kama nyenzo ya mabadiliko raia wakijua kutumia vizuri
  4. Watanzania washikamana zaidi, Upendo kwa Lissu waongezeka, Kila Mtanzania anaimba Lissu Lissu ,Maandamano yajayo yatawafurahisha

    Wametuua kwa Maelfu Oktoba 29. Polepole hajulikani alipo Nchimbi hajulikani alipo. Lissu anafungwa jela Kihuni. Ni nani aliyesalama ?.
  5. Mnao furahia Lissu Kufungwa naomba mnijibu

    Wale wale mnao furahia kufungwa kwa Lissu ndio hao hao wanaosema mazungumzo yanaweza kuwa njia ya kumtoa. Sasa swali la msingi ni hili: mnataka nini hasa? Kama mnaamini ana kosa na hastahili kuwa huru, kwa nini kuachiliwa kwake kutegemee mazungumzo ya kisiasa badala ya sheria na haki kutendeka...
  6. Yote yanayotokea ni mpango alioupanga Lissu?

    Katika siasa, wakati mwingine kauli za mwanasiasa huwa kama ramani ya safari yake ya kisiasa. Kiongozi anapozungumza kuhusu hatua anazokusudia kuchukua, gharama anazotarajia kulipa na matokeo yanayoweza kumkabili, ni muhimu kuyarejea maneno hayo baada ya matukio kutokea. Hivi ndivyo ilivyo kwa...
  7. L

    Ingekuwa ni jambo la kusikitisha, kufedhehesha na kukatisha tamaa sana kama Lissu angeachiwa huru

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Kilicho sababishwa na kuchochewa na Lissu Ingekuwa ni Jambo la Aibu Fedheha na jambo la kukatisha Tamaa ikiwa Lissu Angekutwa Bila Hatia na kuachiwa Huru Kuingia Mitaani . Haiwezekani Maneno yooote yale ya Uchochezi aliyokuwa anayatoa halafu eti Mwisho wa siku...
  8. Video: Peter Madeleka (Wakili msomi) aichambua hukumu ya Jaji Danstan Nduguru kwa Tundu Lissu. Ni hukumu batili...

    https://youtu.be/eCxcuqDMftY?si=jt5ije0UyztmghrJ KWA UFUPI: Wakili Peter Madeleka: Hii ni Moja ya hukumu ambayo nikipata nakala yake ngumu, nitaiwekea fremu na kuitundika sebuleni kama kumbukumbu... Wakili Peter Madeleka: Mahakama kuu imejipa jukumu la kusikiliza na kutoa hukumu ya kesi ya kosa...
  9. Watanzania wameonyesha ukomavu mkubwa kiakili na kisiasa. Gumzo kubwa ni hukumu ya kionevu aliyopewa Lissu wala sio harusi ya mtoto wa Ruto.

    CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza. Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
  10. Nape Nauye, bora angepigwa risasi tu, sasa anataka Lissu amgeukie Mungu wa Ntwara au? Awaambie watesi wamgeukie Mungu, yaani maccm wenzie

    Mtu kama tundu Lissu alipigwa risasi 16 na akapona huyo hana Mungu? Wakati wewe Nape Nauye ulitishiwa bastora tu na yule askari aliyeukumiwa kifungo cha maisha na sasa yuko jera siku hiyo ulijamba ushuzi ambao hukuwai kujamba leo unataka Lissu mtakatifu amgeukie Mungu wa Ntwara au? Nani wa...
  11. Wapuuzi wanajaribu kulisema Kanisa kifungo cha Lissu ili 'kuliblackmail'. KANISA siku zote litaendelea kuisimamia Haki Kwa Maneno na Matendo

    Huo ndio wajibu wa Kanisa. KANISA haliwezi tishwa tishwa na Wauaji waoga wa Watanzania waloua Maelfu ya Vijana Oktoba 29 2025. KANISA halikuwah kushindwa na Mamlaka yoyote ile chini ya Jua. Hata hivo, Kanisa lingekaa kimya, maana yake ni kuhalalisha Utawala wa chuma na gharimu wa Nduli Idi...
  12. Watu wajingajinga kama Nnape Nauye, wanajaribu Kumbagaza na kutumia TUNDU LISSU, ili wateuliwe Tena, Kwahiyo Nape Ulikua wapi wakati wote wa Kesi?

    Wajinga mna kazi sana, yaan muda wote wa kesi ya Lissu, hukuwahi hata kufunua Domk lako, Leo baada ya Lissu kufungwa Kisiasa , unalipa Media, ikualike ,ujifanye unaongea ongea, ili Yule mjinga wa ELIMU mbalimbali Aliyeua Watanzania Oktoba 29, akuone?. Kwa upande mwingine, unaamini Wewe na Genge...
  13. S

    Ni kweli mahakama inaweza kutoa hukumu ya uchochezi badala ya uhaini; lakini Jaji Ndunguru na wenzake wametoa hukumu ya maelekezo kwa mhemuko? Angalia

    Ni wazi kwamba kwa sheria za Tanzania Jaji Ndunguru na jopo lake wangeweza kumhukumu Lissu kwa kosa la uchochezi badala ya uhaini, kwa sababu sheria za Tanzania zinaruhusu hilo. Ila sasa, inawezekana kabisa Jaji Ndunguru na wenzake wamefanya hivyo huku wakikiuka misingi ya sheria. Msimamo wa...
  14. Mwabukusi,Pascally Mayalla,toeni porojo kwenye mitandao,kama mnaona Lissu kaonewa tunawasubilia jumatatu kupitia TLS mwingine barabarani kuipinga huku

    Toeni porojo zenu mitandaoni, Kama ni kweli ingieni barabarani au fungueni kesi dhidi ya mahakama kupinga hiyo hukumu,uku mitandaoni mnako lia lia nyinyi na madereka wenu tambueni mitandaoni tupo wachache so tafadhali ingieni mahakamani au barabarani maandamano dhidi ya uhuru upuuzi na ushuzi...
  15. Nape: Tundu Lissu amrudie Mungu wake

    ‘Nikipata nafasi ya kwenda kumuona Tundu Lissu nitaenda ni Mjomba wangu na yeye anajua, na mmoja wa watu walionishawishi mimi kusoma Sheria ni Tundu Lissu, kuteleza kupo, nilotamani matokeo yawe toauti jana lakini sababu tunaheshimu mifumo basi tunaacha' ‘Magereza sio sehemu nzuri ya kwenda...
  16. C

    Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
  17. K

    Je mafuasi na machawa ya samia kwa uelewa wenu kisaikolojia yana hali gani baada ya kuhumu ya mchongo kwa lissu jana?

    Sote tunafahamu kuwa lissu alishtakiwa kwa uhaini ambapo mafuas na machawa ya samia humu jf na kwingineko yakaanza kuimba wimbo mhaini dawa yake ni kunyongwa tu, "of course machawa haya wakati yalipokuwa yakiimba wimbo kuwa dawa ya lissu ni kunyongwa tu mimi binafsi niliyaona mehu maana nikiwa...
  18. Mtu umetenguliwa hata mwezi haujapita ushaanza kukesha kwenye page za CHADEMA ndugu yangu cool down

    Ukitenguliwa tulia, jitafakari ulikosea wapi, usisahau kuwashukru waliokuamini wakakuteua, jiulize wewe ni nani mpaka Mh. RAIS akakuteua kwenye nchi yenye watu mil.60+, mshukru Mungu, toa sadaka ya pekee kwa Mungu wako acha kutapatapa mitandaoni wewe tayr ni sehemu ya national figure...
  19. Z

    Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  20. ACT: Hukumu ya Lissu ni mtihani wa Demokrasia ya Tanzania, ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndg. Dorothy Semu, ameeleza kuwa hukumu uliyotolewa na mahakama Leo dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Ndugu Tundu Lissu, ina maana kubwa zaidi ya hatima ya mtu mmoja, kwa kuwa ni kipimo cha namna taifa linavyoheshimu misingi ya haki, utawala wa sheria, demokrasia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…