lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Ex Spy

    TLS waibua Hoja 5 nzito kuhusu Hukumu ya Tundu Lissu na Hali ya Haki Nchini

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimevunja ukimya na kutoa tathmini ya kina ya kisheria kuhusu hukumu iliyotolewa Novemba 6, 2026, dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Katika tamko lao la Novemba 26, 2026 lililosainiwa na Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi, chama hicho kimesema...
  2. C

    Wakili Madeleka amsihi Rais Samia kumwachilia huru Tundu Lissu

    Wakili Peter Madeleka, ametoa rai kwa Rais Samia kumwachia Tundu Lissu ili taifa lifungue ukurasa mpya na kuwapuuza wasiomtaka kiongozi huyo kuwa huru. Lissu ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye tarehe 6 Novemba mwaka huu mahakama Kuu ilimhukumu kutumikia kifungo...
  3. figganigga

    FULL TEXT: Luhaga Mpina ayachana maridhiano, adai Lissu amefungwa baada ya kushinda kesi ya uhaini. Huwezi JENGA MARIDHIANO kwa kufumbia macho dhuruma

    Asema kwamba Tanzania haiwezi kujenga maridhiano ya kudumu kwa kufunika madai ya dhuluma badala ya kuyatatua. Aliyekuwa mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, amepinga mchakato wa maridhiano unaoandaliwa na Serikali, akidai hauwezi...
  4. F

    Baada ya Tundu Lissu kuwa kiongozi mkuu hapo mbeleni, nani watamfaa kuiimarisha Serikali yake?

    Haya ni maoni binafsi, natumia uhuru wangu kutoa maoni, kamwe nisieleweke vibaya, ni uhuru wa maoni nilionao kikatiba. Kila mtu ajua kuwa CCM ilikufa rasmi October 29 2025, Sasa muda si muda,Tundu Lissu atakuwa kiongozi mkuu wa wa Tanzania Mungu akipenda. Sasa nauliza mapema,ni watu Gani...
  5. Chakaza

    TUNDU A. LISSU, Kama Mtanzania Mwenye Mapenzi Mema Nakushauri Anza Kuandika Kitabu Ukiwa Huko Jela, Ukitoka Muda ni Mchache Majukumu ya Kitaifa Mengi

    Wapo kwa sasa mawakili wako wengi wanapata nafasi ya kuzungumza na wewe hivyo nawaomba wakufikishie ujumbe huu. Umekaa ndani ya kuta za magereza ya mwaka mmoja na nusu, na kwa kipindi chote hicho umepambania uhuru wako mwenyewe na kwa msaada wa mawakili wasomi wenzako wakikupa ushauri na...
  6. E

    Bodi ya Filamu yaja na mkakati wa kusajili wauza filamu mitaani

    Bodi ya Filamu Tanzania imekuja na utaratibu mpya wa kuwasajili wafanyabiashara wa filamu, wakiwemo wanaouza filamu mitaani na wanaomiliki maktaba (Video Library), kwa lengo la kuwatambua kisheria na kurahisisha usimamizi wa shughuli za usambazaji wa kazi hizo nchini. Kupitia mfumo wa...
  7. britanicca

    The calculated dilatoriness of a diabolical regime: A machiavellian conspiracy to perpetuate the unjust immurement of Lissu

    Lissu had antecedently preferred his appellate petition on the 9th of November, and the same was formally admitted to the record yet the proceedings bore all the indicia of calculated dilatoriness, as though orchestrated solely to vouchsafe unto the State an opportune interstice within which to...
  8. Samia atosha tukutane2030

    CHADEMA hamko juu ya Sheria, gerezani kuna wafungwa wengi si Lissu pekee. Nyie mlipeleka mawakili lukuki na mkashindwa Leo mnasema Lissu aachiwe

    Tanzania kuna magereza takribani 200, kuna wafungwa wengi. Wengine wamekosa mawakili wazuri ndio maana wamefungwa. Lissu mwenyewe ni wakili mbobezi, pia chama kilitoa mawakili kadhaa kumtetea Lissu na mwisho wa siku akaonekana ana hatia. Ilifanyika busara tu asitiwe hatia kwenye kesi ya uasi ...
  9. Troll JF

    Serikali kukata Rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kumfutia Lissu shtaka la uhaini

    Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) amewasilisha rasmi taarifa ya kusudio la kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania, akipinga sehemu ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliomfutia Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu, shtaka la uhaini. Taarifa hiyo, iliyoandaliwa na Wakili wa...
  10. S

    PostGE2025 Leo hii wanasiasa wameanza kuigeuka Mahakama baada ya Lissu kufungwa. Kesho watavigeuka Vyombo vya Dola kwenye mauaji ya Oktoba 29!

    Kama mlivyosikia kwenye clip moja ambayo kiongozi mmoja wa CCM, anatuhumu mahakama kuwa waliosimamia kesi ya Lissu walipewa chocolate kitu ili Lissu afungwe na kisha na wao kufaidika kupitia malipo ya Lissu anayodaiwa Lissu atalipwa akiwa gerezani. . Maelezo haya ya kiongozi huyo wa CCM licha ya...
  11. Deus Jovin

    Rufaa ya Jamhuri Dhidi ya Hukumu ya Kumtakasa Lissu Dhidi ya Uhaini: DPP Haoni Kuwa Anatekeleza Mkakati wa Kupinga Maridhiano?

    Taarifa muhimu hapa JF asubuhi ya leo ni kuwa kuna Rufaa ya Jamhuri dhidi ya hukumu iliyotolewa na kumtakasa Lissu, viongozi wa Chadema na Watia nia wa Chadema zaidi ya 300 dhidi ya tuhuma za Uhaini. Tumeambiwa kuwa rufaa hiyo inaandaliwa na Ofisi ya DPP, anakofanya kazi Wakili Mkuu wa Serikali...
  12. Troll JF

    CHADEMA Msimalize maneno, CJ anaweza kukaa kwenye Bench la Kuamua rufaa za Mfungwa Lissu

    Jaji Mkuu automatically ni Jaji wa Mahakama ya Rufaani na anaweza kukaa benchi ya majaji wengine wawili au watano kuamua kesi na Panel ambayo Jaji Mkuu yupo automatically anakua mwenyekiti au kiongozi katika Ile panel sasa Jaji mkuu pamoja na Mahakama wanavyobagazwa hivi na CHADEMA sioni kama...
  13. Pascal Mayalla

    Ushauri CHADEMA: Mchawi Mpe Mwanao Akulelee!, Barua Mliyopokea, Msisuse!, Jibuni!. Je, CHADEMA Wapeleke Jina la Tundu Lissu na Jingine au Wasuse ?

    Wanabodi, Naomba kuanza na mchango muhimu very objective wa Mkuu La Roche Ushauri wa kuanza na mchangiaji umetolewa na Mkuu Course Coordinator1 Mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano umeanza, vyama vya siasa vyote vyenye usajili wa kudumu vimepelekewa barua za kuteua majina mawili ya wanachama...
  14. O

    CHADEMA tupeleke hoja ya Lissu mezani, tuzungumze ufumbuzi upatikane awe huru halafu tuendelee na mchakato wa maridhiano na Katiba mpya

    Kwa Unyenyekevu mkubwa ninawasihi viongozi wangu wa CHADEMA kuona umuhimu wa kuwasilisha hoja ya LISSU mezani ili mazungumzo yafanyike na LISSU awe huru. Kwenye meza ya mazungumzo kati ya viongozi wa CHADEMA na Rais Samia ndipo hoja za CHADEMA ikiwemo suala la LISSU litajadiliwa na ufumbuzi...
  15. instinct desire

    Kwahiyo baada ya Lissu kufungwa majukumu ya mwenyekiti wa CHADEMA Yanafanywa na nani? Au CDM ni Mali ya Lissu?

    Heche hawezi kuitisha uchaguzi wa kumpata mwenyekiti mpya kwasababu aliwekwa na Lissu, Jina la Heche lilikuwa kwenye mfuko wa Lissu kwahyo mchakato wa kumpata Heche ni batili ndo maana chama kinaongozwa na mfungwa...HII HAIJAWAHI TOKEA DUNIANI KOTE. Cha ajabu Lissu mwenyewe hakukabidhiwa ofisi...
  16. Troll JF

    Tundu Lissu amesha sahaulika, Nyumbu muogopeni Mungu

    Wiki mbili kabla ya Kusokotwa ilitoka statement kwa Blenda Rupia kuwa hawatakubali Tundu Lissu kufungwa na watakinukisha, Wiki mbili baada ya Lissu kusokotwa kashasahaulika ndiyo kwanza Nyumbu wanarushiana connection za bibi. Mmemtupa Tundu Lissu yuko peke yake Ushauri wangu akitoka aachane...
  17. Manyanza

    Kinachoendelea kuhusu rufaa ya Tundu Lissu

    Utekelezaji wa maelekezo ya kisheria yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeanza rasmi kwa vitendo baada ya jopo la mawakili wake kuanza maandalizi ya nyaraka za maombi ya dhamana pamoja na kukamilisha hatua ya kuwasilisha notisi ya kukata rufaa mahakamani. Akizungumza, Novemba...
  18. Pascal Mayalla

    Hukumu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaibua Madudu ya Udhaifu Wa Mhimili wa Mahakama Kutenda Haki, Suluhisho la Madudu Haya ni Katiba Mpya!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
  19. M

    James Kiliba,Sylvia Balwire,Tumain Shija,Simon Karikari ,Jerome Albou ,Paul MAKONDA na NOC ENGINEERS na Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu

    Wanabodi heshima mbele Watajawa hapo juu ni Watanzania ambao Leo kwenye mahakama ya Uingereza kwenye Kasi ya Michael Clifford Vs MIC wametajwa Moja Kwa Moja kuhusika na Kupigwa Risasi Kwa Tundu Antipas Lissu tarehe 17/09/2017. Walihusika Kwa kudukua na kufuatilia mawasiliano yake masaa 24...
  20. britanicca

    Confirmed :Lissu ni Mzima hayuko Muhimbili

    TETESI za Lissu kuwa Muhimbili zilipenyezwa kwa kutoa watu kwenye focus Nimeongea na kamishna wa alipo, pia na mtu wake wa Karibu Lissu Mzima hayupo muhimbili Britanicca
Back
Top Bottom