lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. Hussein J Mahenga

    Wakili Kizimbani: Tundu Lissu na Utetezi Wake Katika Kesi ya Uhaini

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ni mmoja wa wanasiasa wa upinzani wanaofahamika zaidi Tanzania, na pia ni wakili mzoefu. Kesi ya uhaini iliyofunguliwa dhidi yake Aprili 2025 ilimpa nafasi isiyo ya kawaida: kusimama kizimbani kama mshtakiwa na wakati huohuo...
  2. Keynez

    Tundu Lissu aliionya Mahakama isitengeneze "precedent" mbaya nao wameamua kumpa "precedents" lukuki!

    Ebwana eeeh, najua nyuzi za kuhusu kesi na hukumu ya Tundu Lissu zipo nyingi ila hili jambo bado linashtua, linasikitisha na kushangaza sana. Nimesikiliza mahojiano fulani Jambo TV na mawakili wawili, mmoja ni wakili kanjanja ila mwingine nondo zake aisee ukiorodhesha makosa na mapungufu...
  3. LIKUD

    Narudia tena: Strategist wa nchi wana akili kubwa sana. Ona jinsi walivyo utumia msiba wa kaka wa Lissu kama jukwaa la kisiasa in their favour

    Jamaa wana akili kubwa sana. Wanatumia akili nyingi na nguvu kidogo. Wana weza kugeuza chochote kwa manufaa yao. Hata vile vinavyo one kana kuwa kinyume na interest za nyakati ambazo taifa letu linapita wana weza kuvibadilisha na kuvifanya ku work in their favour. I wish strategist wa...
  4. J

    RE: Tundu Lissu. Je, inawezekana kushtakiwa kwa kuuwa, na kuuwa bila kukusudia, na Dpp yuleyule, lakini Mahakama tofauti?

    ..kichwa cha habari chahusika. ..Jaji Ndunguru na wenzake wanadai uchochezi ni kosa dogo la uhaini. ..Yaani ni sawa na kosa la kuuwa bila kukusudia, lilivyo kosa dogo, kwa kosa la kuuwa. ..Kama hoja yao ni ya kweli kwanini Dpp alifungua kesi ya uhaini, na kesi ya uchochezi? ..Au kwanini kesi...
  5. figganigga

    Je, Tundu Lissu katenda kosa la uchochezi katika kipindi gani?

    Tunachojua kosa lazima lijulikane limetendeka lini.. Je, hilo kosa la Tundu Lissu hadi anafungwa, alilitenda lini?
  6. U

    Hivi mwana sheria mkubwa Tundu Lissu kuna kesi yeyote ya maana aliyoshinda mahakamani?

    Wadau hamjamboni nyote? Sitaki matusi au Lugha za hivyo njoo na ushahidi wa kesi aliyoisimamia na kushinda
  7. Yoda

    Lissu kafungwa Jukwaa limejaa nyuzi za hasira kutoka kwa wana CCM!

    Kwa nini kuna nyuzi nyingi sana za hasira na manung'uniko jukwaani kutoka kwa wana CCM tangu Lissu afungwe ? Wana CCM wengi pia au mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA bado wanalalimika pia CHADEMA hawataki maridhiano hata baada ya Lissu kufungwa kwenye kesi ya mchongo! Mimi nilifikiri wana...
  8. O

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu Watanzania ni wakati tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kuhusu umuhimu wa kukutana na Rais SAMIA ili kuzungumza kukwamua mkwamo wa kisiasa na hatma ya Tundu Lissu.Lazima...
  9. Q

    Tangu waanze kuteka, nchi imepata faida gani, wamemfunga Lissu CCM imenufaika na nini.

    Lifestyle ya uongozi wa sasa wa chama na serikali yake ni KUTEKA wanaowakosoa. Order of the day imekuwa leo mteke yule kesho tumeni watu Kenya wakateke wanaotukosoa, hawajihangaishi na maendeleo ya nchi, zaidi ya hapo wanawaza uchaguzi wa 2030. Hadi leo nchi imeteka wangapi mbona magereza...
  10. Deus Jovin

    Ulofa wa Jaji Ndunguru Huu Hapa: “Haiwezekani Lissu Akavuruga Uchaguzi kwa Njia za Amani”

    ULOFA WA JAJI NDUNGURU: ETI “HAIWEZEKANI LISSU AKAVURUGA UCHAGUZI KWA NJIA ZA AMANI” Napendekeza kuwa Jaji Ndunguru anasumbuliwa na ulofa wa kifalsafa, yaani, philosophical illiteracy, katika kipengele Cha falsafa inayochunguza uhusiano uliopo kati ya sababu na matokeo (etiology). Hoja yangu...
  11. K

    Naomba kuelimishwa kuhusu familia ya Lissu

    Mke wa Lissu yupo ubelgiji, tangu mumewe akamatwe hajasogea kumwona mumewe, watoto wake ni raia wa marekani, tangu baba Yao ashikiliwe ni zaidi ya mwaka hawajaonana hii imekaaje wakuu. Nyumbani singida Kuna msiba wa kaka wa Lissu watoto hawajaja kumzika baba Yao mkubwa na mke hajaja kumzika...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Kumbukizi; Veronica akieleza jinsi alivyompokea Lissu baada ya kupigwa risasi jijini Dodoma Septemba 7, 2017

    Ushuhuda wa Muuguzi Kuhusu Hali ya Tundu Lissu Alipopokelewa Hospitalini 1. Hali ya Tundu Lissu alipofikishwa OPD "Tulipokupokea pale OPD, ulikuwa unavuja damu nyingi. Swali la huyu baba lilikuwa: Damu ilikuwa inatoka sehemu gani ya mwili wako?" 2. Hali ya majeraha na juhudi za kudhibiti damu...
  13. F

    Baada ya kumfunga Lissu, unamshauri nini Samia?

    Rasmi, Tundu Lissu ni mfungwa. Je, hii imelenga kumzuia kugombea tena urais? Hivi, Samia anafaidikaje na ukatili na uvunjaji sheria huu ulioandamana na ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu. Kwa wale wenye mawazo kama yangu kuwa haki haikutendeka, mnaweza au mnataka kumshauri nini rais...
  14. Nyani Ngabu

    Hiyo inayodaiwa kuwa nyumba ya akina “Lissu”

    Watu waliofilisika ki hoja na ki fikra, huishia kufanya mambo ya kitoto na ya kipumbavu. Hiyo wanayodai kuwa ni nyumba ya akina Lissu, ina ubaya gani? Asilimia kubwa tu ya Watanzania wanaishi katika nyumba kama hizo. Hakuna lolote lililo la ajabu kuihusu hiyo nyumba. Kuishangaa na kuanza...
  15. figganigga

    Uingereza yahoji hukumu ya Lissu

    Uingereza yavunja ukimya kuhusu hukumu ya Tundu Lissu, yataka haki na maridhiano Kwako Wakili Msimi🤣 ==== Serikali ya Uingereza imeelezea wasiwasi wake kuhusu kuhukumiwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka Tanzania kuzingatia haki ya kupata usikilizwaji wa kesi kwa haki...
  16. The Khoisan

    Kwanini CCM Wameingia Mitini kwenye Msiba wa Mwanachama wao Wakili Alute Lissu?

    Nimeshangaa sana tangu huu msiba uanze CCM wameingia mitini kabisa na wamejaribu kujitenga na huu msiba. Je, ni aibu inawasumbua kwa jinsi walivyoitesa hiyo familia au kuna nini? Sijasikia hata Kiongozi wa CCM ametuma salamu za Rambirambi. Ila naona Chadema wamekiwasha mpaka watu wameonyesha...
  17. Keynez

    Kuna jambo la msingi sana hatulizungumzii lililofanywa na Majaji kuhusiana na hukumu ya Lissu ya walichoita kosa la uchochezi

    Wengi tumeshangazwa, tumekasirishwa na kuchukizwa na hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kwa kile kitendo cha mahakama kuibua walichokiita kosa dogo la uchochezi katika mashtaka ya Uhaini. Yameibuka majadiliano mengi kuhusiana na uhalali wa hukumu hiyo, wengi wakisema hakuna koso dogo katika mashtaka...
  18. BIOTOXINS

    Kwa nini hukumu ya kesi ya Lissu ilivuja? Kwetu ni furaha, Machawa huzuni

    Hapa ndipo ninapoanza kupata matumaini kwamba mambo yanayojiri huko juu si mepesi. Taarifa zinapovuja kuhusu jambo nyeti kama hili, kwetu ni fraha mambo ni moto lakini hutufanya tutafakari kwa kina. Kwa kawaida, taarifa za ndani zinapovuja kuna maswali kadhaa ya kujiuliza: Hutakiwi ...
  19. Idugunde

    Lissu kahukumiwa kufungwa. Mmepata faida gani kisiasa zaidi ya kuchukiwa zaidi na wananchi?

    Chuki iliyokuwepo dhidi yenu kabla ya Oktoba 29 ndio imezidi baada ya Lissu kufungwa kwa sababu tu ya uovu la wanaCCM mtandao. Wananchi wamewachukia maradufu. Hawawataki muwe madarakani. Mpo madarakani kwa mabavu na sababu mnalindwa tu.
  20. kavulata

    Wanaohoji hukumu ya Mh. LISSU wanatuchanganya raia, kateni rufaa kimyakimya

    Mifugo yangu yote ng'ombe, mbuzi na kondoo nimeiwekea alama maalum. Wakati namtafuta ng'ombe wangu mmoja aliyepotea jana usiku kwenye maboma ya wafugaji wenzangu nilimkosa ng'ombe wangu lakini nikamkuta mbuzi wangu ambae pia nilikuwa simuoni wiki moja iliyopita. Je, mbuzi wangu siwezi kumchukua...
Back
Top Bottom