lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Mzungu aliyeituhumu kampuni ya Simu kumdukua Tundu Lissu ameshindwa kesi, lakini ushahidi wake ni mzito. Tumieni ChatGpt kuwajua waliohusika

    Aliyewatuhumu Tigo anaitwa Michael Clifford. Alikuwa mchunguzi wa kampuni ya Millcom ambayo ndio walikuwa wamiliki wa Tigo Huyu bwana anadai Tigo walikuwa wanamfuatilia Tundu Lissu yuko wapi, na anawasiliana na nani 24/7 kwa mwezi mzima mpaka aliposhambuliwa Sept 7, 2017. Sasa Michael...
  2. Tundu Lissu ashukuru kufungwa tu, kosa lake la uchochezi ni kubwa sana, lingeweza kumgharimu maisha.

    Kosa la uchochezi (sedition) alilohukimiwa nalo Tundu Lissu kwa sababu ya kudai mabadiliko ya kisiasa ni kosa la kale sana ambalo liliwagharimu maisha kabisa watu wakubwa zaidi yake waliomtangulia. 1. Yesu Kristo japo leo hii ana wafuasi zaidi ya bilioni mbili lakini kosa lililopelekea...
  3. Leo nmeota Lissu atatoka baada ya mambo haya kupita

    Sijajua ni lini, lakini nimeota atatoka baada ya maridiano na MAREKEBISHO ya katiba mpya. Hii ni habari mbaya sana kwangu mana najua akisharudi mtaani atamsumbua sana daktari Samia suluhu (PhD)
  4. Wanaosema Mh. Tundu Lissu ataendelea kukaa ndani hadi rufaa itakapoamuliwa, Kuna kifungu cha 389 cha sheria ya makosa ya jinai

    Wakuu ! Kuna jambo la kisheria ambalo ni muhimu kulielewa katika mjadala unaohusu hukumu ya Mheshimiwa Tundu Lissu. Wengi wanajadili hukumu na uwezekano wa rufaa, lakini je, tunafahamu kwamba sheria inatoa uwezekano wa mtu aliyepatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo kuachiwa kwa dhamana au...
  5. Kama 87% walipiga kura, Lissu alivurugaje uchaguzi?

    Kwa mujibu wa Tume ya uchaguzi, watu 32,678,844 walipiga kura kati ya watu 37,647,235 waliojiandikisha kupiga kura sawa na asilimia themanini na saba. Kama 87% ya waliojiandikisha kupiga kura walipiga kura mtu unawezaje kusema kuwa uchaguzi ulivurugwa? Ni watu 4,894,141 tu kati ya...
  6. L

    Ndani ya Muda Mfupi Sanaaaa Lissu Kasahaulika ,Pambalu Kapuuuzwa. Vijana wa CHADEMA ni Lazma Wajifunze Kuacha Kufuata Mkumbo na kutumika Kuharibu Nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana wa CHADEMA ni lazma wafahamu kuwa usije kufanya vurugu ama kuvunja sheria kwa makusudi kwa kufikiri kuwa Utasaidiwa na mtu ukiingia kwenye Mkono wa sheria. Lazima ufahamu Mchuma Janga hula na wa Kwao. Ukivunja sheria utadonolewa wewe Kama wewe na kufikishwa...
  7. Mjadala kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa

    Wakili Peter Madeleka ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa mdahalo kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa ghafla kwa hoja kwamba Lissu tayari amekata rufaa, hivyo hukumu hiyo haiwezi tena kujadiliwa. Kwa maneno yake, ametoa pole kwa Odemba na wapigania haki. Lakini swali linabaki: Je...
  8. Kimantiki takwa la kuachiwa huru kwa Tundu Lissu kabla maridhiano hayajafanyika halina maana tena!

    Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote. Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
  9. Hukumu ya Lissu ni kaa la moto

    TUNASIKITIKA KUWATANGAZIA KUAHIRISHWA KWA MJADALA ULIOPASWA KURUSHWA LEO TAREHE 14 NOVEMBA, 2026 KUHUSU HUKUMU YA KESI YA MHE. LISSU BAADA YA KUPEWA TAARIFA NA MAMLAKA KUWA HUKUMU HIYO IMEKATIWA RUFAA NA HIVYO HAIRUHUSIWI KUJADILIWA, KWA KUFANYA HIVYO NI KUINGILIA MWENENDO WA KESI HIYO. POLENI...
  10. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  11. Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Wanaukumbi. Chadema mmepata nafasi ya kusikilizwa malalamiko yenu mnaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote.. haya tumewasikia na tunawapa angalizo kuwa itafika 2030 hakuna cha maridhiano na Lissu, ataendelea kuwa jela na hakuna kitu mtafanya. Hamtaki maridhiano Lissu...
  12. A

    Tindu Lissu na Watanzania wanasanifiana

    Tundu Lissu anawasanifu Watanzania kwa familia yake kuwa nje ya nchi na kuwa wanawe ni raia wa Marekani. Watanzania nao, wakiweno viongozi na wanachama wa Chadema, nao wanamsanifu Tundu Lissu kwa kumuacha abebe msalaba wake kwa ubwabwajaji wake. Ndo Dunia hiyo.
  13. Yaani mnamfunga Tundu Lissu halafu mtegemee Timu ya taifa Tanzania ifanye vizuri?

    Kuna wajinga wanadhani timu ya Taifa ya Tanzania ni mali ya CCM. Mmoja ya Wachezaji mdogo wake mlimuua 29.10.2025. Halafu mnamfunga Tundu Lissu. Kichapo hiki kinamanisha hii ni timu ya taifa si timu kutoka Kizimkazi bali ni timu ya Watanzania.. Na watanzania hatufurahi mwenzetu hata akiwa...
  14. F

    Mtego uliomnasa Samsoni ,Tundu Lissu aliuepukaje?

    Twende katika uhalisia, Unashambuliwa Kwa risasi nyingi na maadui, unatibiwa ukiwa hujitambui, na baada ya siku kadhaa unafumbua macho, unarudia tena utimamu wako. Unawauliza waliokuzunguka kwamba ilikuwaje, unasimuliwa yaliyojiri, unayapokea na kumwachia Mungu. Sàsa baada ya muda kidogo...
  15. B

    Hotuba nzito ya Lissu, amvaa Waziri Bashe, ataka ajuzulu kwa mazito ya Mpina, ushahidi watolewa

    https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=-Nj3kkMhZEImuesj
  16. Tundu Lissu Kupandishwa Mahakamani Kisutu 19/11/2026 kwa kosa la Uchapishaji wa taarifa za Uongo

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anatarajiwa kurejea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Novemba 19, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi nyingine ya jinai inayomkabili ya kuchapisha taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo kupitia...
  17. F

    Pesa za Abdul alizokataa Lissu zingetosha kujenga ghorofa nyumbani kwao, lakini alizikataa, abarikiwe sana.

    Jiulize nyumbani kwenu huna nyumba ya gharama, mara fuko la pesa za rushwa hizi hapa, ni wachache sana wanaweza kukataa. Zile pesa Abdul alizojaribu kumuhonga mwamba, zingebadili maisha ya ukoo wa lissu haraka mno, ila akazikataa . Katika dunia ya Leo ya ubepari, wengi wangeona hiyo ni fursa...
  18. LHRC yakosoa kuhusu uamuzi wa kesi ya Tundu Lissu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC) kimeibua maswali kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu kumhukumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, baada ya kumkuta hana hatia ya kosa la uhaini. Katika taarifa yake iliyotolewa Novemba 12...
  19. Mapendekezo ya LHRC juu ya Hukumu ya Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu

    Haya hapa mapendekezo na wito wa LHRC kulingana na hukumu ya kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu 1. Wito kwa DPP Kupitia Upya Mashtaka ya Uhaini La kwanza ni kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia upya mashtaka yote ya uhaini yaliyofunguliwa kwa kutumia kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya...
  20. Tundu Lissu amepewa namba 623 huko gerezani. Kitabu cha Biblia kinasemaje katika mistari hiyo?

    Baada ya kupewa hukumu na kuwa mfungwa huko gerezani, Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa 623. Nimepitia vitabu vyote vya Biblia. Hii ndiyo mistari iliyopo katika sura 6 mstari wa 23, na sura ya 62 mstari wa 3. Danieli 6:23 Basi mfalme akafurahi sana, akaamuru wamtoe Danieli katika lile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…