kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Director wa FBI anasema wanakaribia kudondosha mafaili kuhusu aliens na UFO. So hii inamaanisha vile vijimtu/vibwengo ni kweli vipo?🤔

  2. L

    Vita nchini Iran vyaibua swali kuhusu usalama wa nishati duniani, na vinu vya upepo mjini Pingtan vimetoa jibu la China

    Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
  3. MURUSI

    LATRA Arusha ni wameshindwa kusimamia Daladala kuhusu kujipandishia nauli kiholela?

    Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya. Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo...
  4. Cute Wife

    Polisi wasema Dammour Nyakairo maarufu Ninja anashikiliwa kwa tuhuma za uhalifu, hii ni baada kelele mtandaoni kuhusu kupotea kwake

    Wakuu, Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
  5. Alloyce PR

    Wito kwa serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya takwimu (sura ya 351

    Kwa kuzingatia masharti ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Takwimu, kinachokataza utoaji na upotoshaji wa takwimu rasmi kwa nia ya kuwahadaa wananchi, Serikali inapaswa kuimarisha usimamizi kwa wanasiasa na viongozi wa kijamii wanaotoa takwimu bila weledi. Nukuu ifuatayo inapaswa kuwa muongozo...
  6. Hussein J Mahenga

    Vyeo vya Kijeshi vya Jeshi la Wananchi Tanzania: Imetokana na Historia niliyowahi kuitoa kuhusu Kanali Ali Mahfoudh

    Nimeulizwa pahala, eti Hussein kwani Kanali anakuwa na nyota ngapi?😂. Nadhani ni kutokana na tarehe (historia) ya Kanali Mahfoudh niliyowahi kuitoa siku ya kumbukumbu za kifo cha Sheikh Abeid Aman Karume. Sikumbuki vizuri, maana mimi siyo mwanajeshi. Ila angalau nilipita miaka ya nyuma kidogo...
  7. J

    Yasemavyo maandiko kuhusu ushoga

    Yasemavyo maandiko kuhusu ushoga Ushoga ni nini Ushoga ni ile hali ya mwanaume au mvulana kujihusisha kingono na mwanaume au mvulana mwingine kinyume na maumbile. Uhusiano wa jinsia moja katika kipindi cha mababu katika Biblia Mapenzi ya Mungu kuhusu ngono ya binadamu ni nini hasa? Mapenzi...
  8. Life2

    Tusiposema sisi kuhusu Damu za Watanganyika wenzetu hata Mawe yatasema tu

    Ni maajabu karne hii ya uwazi, karne ya ChatGPt, AI, Copilot..nk unataka kudanganya umma wa watu milioni 70 na ulimwengu mzima kwa Propaganda fake. Lengo la yote hayo ni kuwasafisha makatili wachache wenye mikono inayovuja #DAMU za watanganyika waliouliwa kikatili sana na wengine kuishia...
  9. H

    Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi

    Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi Kwanza kabisa, hoja ya kuunganisha “wheel cover” kutoka kwa Maria Sarungi ni dhaifu sana kimantiki. Hii ni correlation fallacy kuona vitu vinafanana halafu unahitimisha vina uhusiano bila ushahidi wa moja kwa moja. Tanzania kuna maelfu ya...
  10. A

    KERO Elimu kuhusu makato ya PAYE kwa watumishi wa Serikali za Mitaa

    Mimi ni mtumishi wa afya Serikali za Mitaa, naomba kujua makato ya Pay As You Earn (PAYE) ni kwa ajili ya nini? Naomba wizara husika iliangalie hili kwani linatesa walio chini tu.
  11. Roving Journalist

    Kiongozi wa Wakulima wa Miwa, Wilbroad Cyprian asema “Mazungumzo yanaendelea na Kagera Sugar kuhusu malipo ya Wakulima wa Miwa

    Suala la Wakulima wa Miwa kutolipwa stahiki zao kutoka Kampuni ya Kagera Sugar, ambapo ilielezwa kuwa walitakiwa kulipwa tangu Desemba 2025, mmoja wa wadau wa karibu wa Wakulima wa Miwa ameelezea kinachoendelea. Hoja ya Mdau ~ Kiwanda cha Kagera Sugar kilipe madeni ya Wakulima wa Miwa, wana...
  12. R

    Msaada tafadhali kuhusu VPN

    Ni VPN gani ambayo ni inaweza kutumia kwenye Desktop computer? Ambayo ni Free!
  13. K

    KERO Changamoto kuhusu Barabara ya Pangani - Muheza …kwanini haitengezwi miaka yote na bajeti hutengewa?

    ‎Kero na changamoto yetu kubwa ni kuhusu Barabara ya Muheza - pangani ( Pangani - Muheza ) ..... ‎ ‎Hiii ni Barabara ambayo ni kubwa sana inayotumika , kupita viongozi wa serikali kuanzia Rais , pia inatumika kupitisha Watalii, na mizigo mingi inayotokea Zanzibar to bandari ya Pangani kuja...
  14. Jeremiah Stephin

    Filamu fikirishi kuhusu Dini, Falsafa na Saikolojia

    Wale watu wa Philosophy,Psychology na Great Thinkers,Hizi ni baadhi ya movies ambazo ukiziangalia Lazima ufikirishe sana ubongo na kujiuliza hivi walifikiria nini kucheza hizi filamu. 1.The da vinci Code(kutoka kwenye riwaya ya Dan Brown) Movie inazungumzia siri zilizo fichwa kwa kutumia...
  15. E

    Taasisi 14 zapinga ripoti za Tume za Rais kuhusu Ngorongoro, Loliondo

    Mtandao wa asasi za kiraia na watetetezi wa haki za binadamu Tanzania umekosoa matokeo ya ripoti zilizotolewa na tume mbili za Rais zilizoundwa kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, zikisema tume hizo...
  16. T

    Naomba Msaada wa kuelewesha kuhusu Tangazo la kazi lililotolewa na JWTZ 14.04.2026

    Habari za zenu wana JF, Husika na mada hapo juu mimi ni kijana Mtanzania, ambaye nimeona nikajitolee kulitumikia Taifa kupitia Jeshi la Wananchi. Tangazo nililiona na vigezo vyote ninavyo, ila sasa sijaelewa kitu kimoja ambacho naomba msaada wenu kwa ambao mna uzoefu na hili jambo. Shida...
  17. S

    SOFTWARE Skybooks : Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Sahau kuhusu kalamu na daftari

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa urahisi kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  18. O

    “Je, ndoa ni leseni ya ridhaa ya milele? Ukweli mchungu kuhusu ubakaji ndani ya ndoa ambao jamii inakataa kukubali.”

    Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
  19. adriz

    Tetesi: Serikali itoe ufafanizi kuhusu tetesi za mfumo wa uhamiaji KuCollapse maana kuna baadhi ya viashiria vipo

    Moja kwa moja. Juzi niliona Uzi wa member wa Jf ambaye amelelemika kuwa wiki nzima anarudishwa uhamiaji wakati wa kufuatilia passport anaambiwa kuwa Kuna Virus kwenye mfumo na data hazipo , kaambiwa atulie . Na Mimi mwenyewe ndugu zangu zaidi ya wawili wanasubiri Visa ya kwenda nchi Fulani...
Back
Top Bottom