Mikopo ya mtandaoni kupitia simu (Loan Apps) imekuwa mkombozi wa haraka nyakati za dharura, lakini pia imekuwa kitanzi kinachonasa wengi kwenye mzunguko wa madeni usioisha. Uchambuzi mpya wa kiuchumi kutoka East Africa Economics umechimba kwa kina jinsi gharama za mikopo hii zinavyofanya kazi...
Sisi ni watu wenye akili timamu sana , ndio maana tunakoseana , 🤔
Kiukweli tumezinguana ila sioni sababu ya kuendelea kuzinguana humu .
Kupevuka nikuona na kuacha yapite, leo binafsi natoa kila mtu ignore kwa kutambua , nimekua kihisia na kiakili🤔
Na ndivyo JamiiForums.com inataka...
Kwanza unaamini kuhusu Mungu? Hongera, na usitake kupambana kila mtu aamini
Pili huamini then well done usitake kuwaaminisha watu unachokiamini
Kiufupi kila mtu abaki na alichonacho
Binafsi naamini katika uwepo wa Mungu, tena mimi ni mkristo LAKINI kunacatch up lazima tufanye
Tulifundishwa...
Samia Suluhu Hassan anafanya mzaha na vituko vya kisiasa vya kiwango cha juu sana. Na pengine tatizo si yeye peke yake, bali hata baadhi ya watu wanaomzunguka ambao inaonekana wameshindwa kuelewa uzito wa hali ya kisiasa nchini.
Samia aliingia kwenye Uchaguzi akiwa na vyama vya siasa vya...
Wakili Peter Madeleka ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa mdahalo kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa ghafla kwa hoja kwamba Lissu tayari amekata rufaa, hivyo hukumu hiyo haiwezi tena kujadiliwa.
Kwa maneno yake, ametoa pole kwa Odemba na wapigania haki.
Lakini swali linabaki: Je...
Hii nimeona mahali pengi,wenzenu wameadvance hata wakimnunulia mtoto smartphone wanaenda kwenye settings kipengele Cha parental control,wanaset Kwa kadri ya umri wa mtoto anaetumia hiyo device,maudhui atakayoyaona yaendane na umri wake.Hata applications pia Zina parental control kuonyesha...
Peter Msigwa amemjibu Paul Chacha kufuatia kauli yake kwamba wakati akiwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), jukumu lake lilikuwa kushika simu za Dkt. Emmanuel Nchimbi, akikanusha madai hayo na kusema hajawahi kufanya kazi hiyo.
Msigwa amesema hakuna kazi halali inayomvunjia mtu heshima, hata kama...
https://youtu.be/WQkcglWsKeA
Habari zenu Wana-JF.
Kuna uchambuzi mzuri unaoelezea mambo ya fedha ambayo wengi wetu tunayaamini lakini kiuhalisia yanatutia hasara kila mwaka. Uchambuzi huu unatumia takwimu halisi za kiuchumi na viwango vya mfumuko wa bei kutoka Tanzania na Kenya.
Hapa chini ni...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC) kimeibua maswali kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu kumhukumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, baada ya kumkuta hana hatia ya kosa la uhaini.
Katika taarifa yake iliyotolewa Novemba 12...
Ebwana eeeh, najua nyuzi za kuhusu kesi na hukumu ya Tundu Lissu zipo nyingi ila hili jambo bado linashtua, linasikitisha na kushangaza sana.
Nimesikiliza mahojiano fulani Jambo TV na mawakili wawili, mmoja ni wakili kanjanja ila mwingine nondo zake aisee ukiorodhesha makosa na mapungufu...
Afrika kuna magoigoi ya kike ambayo hata hayajui maana ya haki sawa 🤔
Ukiyaambia mwanamke kwenye haki sawa anatakiwa alipe , kwenye matumizi kwa haki sawa na mwanaume ananuna😅😅
Hii ni zaidi kwa wanawake wa kimatumbi ambao wanataka mfumo dume wa kuhudumiwa na huku wanataka haki...
Habari wanajamii,
Naomba msaada na ushauri kuhusu changamoto ninayokutana nayo wakati wa kufanya usajili wa chuo.
Vyeti vyangu vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (nakala halisi) vinaonyesha majina yangu matatu kwa usahihi likiwemo jina CHRISTOPHER
Vilevile, ninapoangalia taarifa zangu...
Anonymous
Thread
kuhusu
majina
mfumo
msaada
naomba
tatizo
usajili
vyuo
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi rasmi kwa umma, washiriki, wazazi na walezi kufuatia maswali na sintofahamu iliyojitokeza kuhusu utoaji wa tuzo kwa washindi wa Shindano la Uandishi wa Insha la Mwaka 2025.
Hoja ya awali ~ JKCI zile tuzo kwa Wanafunzi Bora...
Napinga kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni bila kuwepo kwa mfumo madhubuti wa mbadala wa kusimamia nidhamu.
Elimu si haki ya kupata maarifa pekee, bali pia ni malezi, uwajibikaji na kujifunza kuheshimu mamlaka. Tunapozungumzia haki za mtoto, tusisahau pia wajibu wake.
Tatizo halikuwa uwepo...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni. Kwa muda sasa, tumekuwa tukikabiliwa na kero kubwa ya kelele zinazotokana na kiwanda cha kutengeneza matofali kilichopo katika eneo letu, hali inayotunyima utulivu na kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Mashine zinazotumika...
Anonymous
Thread
kero
kinondoni
kiwanda
kuhusu
mazingira
tofali
wakati
wakati mgumu
wazo
Mke wa Lissu yupo ubelgiji, tangu mumewe akamatwe hajasogea kumwona mumewe, watoto wake ni raia wa marekani, tangu baba Yao ashikiliwe ni zaidi ya mwaka hawajaonana hii imekaaje wakuu.
Nyumbani singida Kuna msiba wa kaka wa Lissu watoto hawajaja kumzika baba Yao mkubwa na mke hajaja kumzika...
Nimeikuta wanaijadili mahala ila nikaona haikuwa mjadala mzuri, watu walikuwa wakishambuliana badala ya kujiita kwenye hoja
Ila kwa kuwa JF ni jukwaa la watu wenye fikra pevu naona mjadala wa hapa utakuwa mzuri
So Muhammad ni mtume wa Allah, kwa mujibu wa nani?
Wa Quran, hiyo Quran ni ya...
Nimeusaka huu uzi wa MALCOM LUMUMBA siuoni
Kama kawaida nchi hii,hatupaswi kumchambua/jadili mtakatifu baba wa taifa kwa mawanda yaleyale wanayochambuliwa Marais wengine hasa toka 'pwani na visiwani'
Huu siyo uhuru wa maoni na kinyume na kauli mbiu ya jukwaa hili
MJADALA WA WAZI
MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI WILAYANI TUNDURU - TUTAENDELEA KUPOTEZA MAISHA HADI LINI?
Muda ni kuanzia saa 8:30
09/11/2026
Fuatilia mjadala huu kupitia link hapo juu
Kwa mjibu wa Sheria, wanasheria wameeleza kuwa mtu anapofungwa kifungo chenye ukomo, sheria ya magereza anampa msamaha wa 1/3 ya muda wake wa kukaa gerezani. Kwa kuwa Lisu alikuwa amekaa zaidi ya siku mwaka 1 na miezi 7 yaani siku 577. Ikiwa atapunguziwa 1/3 ya adhabu je ni sahihi atakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.