kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Serikali yaamuru shule kufungwa (kuelekea maandamano kesho Julai 19, 2023)

    Serikali ya Kenya imeamuru kufungwa kwa shule za msingi na sekondari za mchana zote jijini Nairobi na Mombasa kuelekea maandamano ya upinzani ya Azimio yatakayofanyika kuanzia Jumatano ya wiki hii. Katika taarifa ya pamoja iliyosainiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Prof. Kithure Kindiki na...
  2. Li ngunda ngali

    Je, Clatous Chama kuelekea Far Rabat kwa kishingo?

    Yupo wapi mwamba wa Lusaka? Nani amemshuhudia akishiriki yahusuyo Klabu yake tokea arejee juzi? Inasemekana, hata kwenye zoezi la kupimwa afya, hakuwepo! Vilevile, inadaiwa kaigomea safari ya Turkey. Duru ndani ya Klabu yake zinatabanaisha, jamaa kapata offer ya haja kutoka kwa swahiba wake...
  3. FaizaFoxy

    Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

    Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah. Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah: Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini...
  4. M

    SoC03 Kuelekea mapinduzi ya kifikra kwa kila muafrika

    Moja ya mambo muhimu tunayopaswa kuyafahamu kwa kila Muafrika haswa nchi zinazotaka kujitoa katika dimbwi la umasikini, ni lazima lizingatie umuhimu wa kuwaamsha kifkra vijana ili kuwaza zaidi kujikwamua kiuchumi. Vijana wengi wa Kiafrika tumekuwa na ushawishi mdogo katika maswala ya...
  5. M

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE. Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea. ===== Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia...
  6. M

    KERO Responded TANROADS mna mpango gani juu ya barabara ya kimkakati inayotoka Kimara Mwisho kuelekea Tabata (Bonyokwa-Segerea-Kinyerezi)?

    Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
  7. S

    Yanga kuwakosa baadhi ya Nyota Wao Muhimu kuelekea Fainali ya FA Cup

    NYOTA KADHAA WA KIMATAIFA YANGA WATAIKOSA FAINALI TANGA, Klabu ya Yanga itawakosa Fiston Mayele na Stephen Aziz Ki ambao wameitwa kwenye timu zao za taifa kuelekea kalenda ya FIFA, huku wakiwa wameondoka mapema leo kwenda kwenye majukumu yao. Kama hivyo haitoshi Yanga ilipambana kuhakikisha...
  8. Suley2019

    Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  9. M

    Kila la heri kwa USM Alger kuelekea mchezo wa fainali ya mkondo wa kwanza kombe la Shirikisho barani Africa dhidi ya Yanga

    shalom shalom Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu. Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika kulisaka taji la kombe la shirikisho hapo kesho.
  10. K

    Mwanza: Wamiliki wa baa na kumbi za starehe waandamana kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango. Inadaiwa kuwa Mbunge Musukuma ndiye ‘mastermind’ wa hii kitu, kama hivyo ndivyo basi kuna shida...
  11. Smt016

    Kuelekea mechi ya kwanza ya fainali ya CAFCC siku ya jumapili

    Jumapili ndani ya dimba la Mkapa inaenda kuwekwa historia ya fainali ya kwanza ya mchezo wa CAF kwa ngazi ya vilabu. Ni fainali ya CAF confederation cup, tukumbuke tu kuwa mara ya mwisho Yanga kupoteza mechi katika michuano hii ilikuwa ni rarehe 12 mwezi wa 2 mwaka 2023 dhidi ya Monastir...
  12. S

    CAF Imetoa Takwimu za Golikipa Wa Yanga Vs USAM kuelekea Fainali

    🇲🇱 Djigui Diarra 🆚 Oussama Benbout 🇩🇿 A glimpse on @yangasc1935 and @USMAofficiel goalkeepers’ head-to-head stats before #TotalEnergiesCAFCC finals! 🥅
  13. kavulata

    Rais kuiagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea fainali alimaanisha nini?

    Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha Algeria. Pamoja na hayo amewaagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali. Hapa pa...
  14. anti-Glazer

    Sir Jim Ratcliffe ni mwendawazimu anadai ni shabiki wa timu. Angeiacha club hadi Leo haina direction kuelekea dirishani?

    Nikumuangalia napata hasira sana. Namuona kama Mzee mia Tisa itapendeza r.i.p
  15. TUKANA UONE

    Ombi kwa Nasreddine Nabi kuelekea Mechi ya Marumo

    Kesho naomba Kocha Mkuu wa Yanga aanze na kikosi hiki ili tuweze kuzuia na kupata ushindi; 1. Diara 2. Djuma Shabani 3. Kibwana Shomari 4. Bacca 5. Mwamnyeto 6. Sureboy 7. Mzize 8. Aucho 9. Mayele 10. Mudathir 11. Farid Musa Substitute; 1. Metacha mnata 2. Dickson Job 3. Lomalisa Mutambala 4...
  16. The Supreme Conqueror

    Mbio kuelekea 2025 machozi jasho na damu

    Wakuu kumekua hali ya kawaida katika Nchi zote Duniani inapokaribia mwaka wa uchaguzi huwa na fukuto na joto la vyama na Wanasiasa kujiandaa kwajili ya uchaguzi husika hii tumekua tukisikia kila Kona ya Dunia Watu kushutumiana, kuchafuana, kuwekeana vikwazo na wakati mwingine hata kudhuriana...
  17. Smt016

    Kwa jinsi Marumo wanavyocheza, kuelekea mechi ya marudiano Yanga inapaswa kufanyia kazi mapungufu yao

    Jamaa wana spidi na wanafika hadi langoni na pasi ni za uhakika sana. Inatakiwa benchi la ufundi lije na muarobaini wa kuwazuia jamaa wasifike langoni. Maana mechi ya Dar ilikuwa ni almanusura jamaa wapate magoli maana wamefika sana langoni na Diarra kufanya saves kadhaa. Jamaa watakuja na...
  18. S

    Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  19. GENTAMYCINE

    Kuna Wapuuzi wataiamini hii Kauli ya Kiunafiki ya Kocha Mkuu wa Marumo Gallants FC kuelekea Mechi yao ya CAFCC

    " Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo...
  20. GENTAMYCINE

    Kuelekea Mechi ya Yanga na Marumo Gallants naomba kusitokee Msiba wowote wa mwana Yanga

    Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu...
Back
Top Bottom