kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tajiri Tanzanite

    CCM ikitoka madarakani Simba na Azam ndio zitakuwa timu kubwa na watani wajadi Tanzania

    Hapo VIP! Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa. Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao. Sasa itoshe kusema in...
  2. Tajiri Tanzanite

    Watu wapimwe IQ kisha wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.

    Hapo VIP! Nashauri serikali iandae taratibu za kupima IQ za wananchi wake ili wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa. Kisayansi MTU mwenye IQ ndogo hanauwezo wa kutatua matatizo Yake mwenyewe Na katika jamii. Nimechunguza Na kutafiti siasa katika nchi yetu Na Kwa Afrika kwa jumla ila...
  3. K

    Tatizo moja kubwa: Woga mkubwa wa Samia kwa Lissu sio mzuri !

    Uoga mkubwa ambao anaonyesha Samia kwa Lissu hauna tija kwa jamii. Lissu anahitaji kuheshimiwa sio kuogopewa. Ukiwa Raisi hata kama fake ni vibaya kuogopa mtu kwa kiasi hiki maana usipokuwa makini kama sasa Samia atabomoa kila sheria za bunge na mahakama kwasababu tu ya uoga. Sasa Watanzania...
  4. Mad Max

    Nilitaka kununua Drone kwa matumizi binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko za kununua?

    Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5. Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi, tena Mtanzania 1. Kuisajiri $100 kwa drone (mara moja) 2. Kuitumia kwa siku $5 au kwa mwezi $100 au kwa...
  5. H

    Kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa dhidi ya Tundu Lissu?

    Binafsi sio mshabiki wa Chadema Wala Chama chochote cha kisiasa ila nimekuwa nikijiuliza hili swali Ebu jaribu kuondoa ushabiki wa kisiasa tuuvae ubinadamu jamaa kapitia changamoto kubwa sana imagine kapigwa risasi kumi na 6 na zote zimeingia mwilini tena eneo kapigiwa ni la wazi lakini cha...
  6. R

    WI-FI ya Airtel ni matatizo matupu. Ni wizi wa fedha za watu maana mtandao unapatikana kwa shida kubwa! Very very very slow!

    Hiyo ndiyo hali halisi. Tafadhali rekebisha kasoro hiyo! i very recent tatizo hilo limeanza. Ni mtandao gani mtu anaweza kuhamia?
  7. ndege JOHN

    #FreeTunduLissu ingeweza kuwa pressure kubwa zaidi kama ingetumika kimkakati?

    Kama CHADEMA na watu wanaomuunga mkono wangetengeneza slogan moja rahisi, kwa mfano #FreeTunduLissu, halafu kila siku ikaonekana kwenye mitandao kwenye post za viongozi, taasisi, mastaa, influencers na hata kwenye mijadala ambayo sio ya siasa baada ya muda isingekuwa kelele kubwa sana? Imagine...
  8. Jannatul Firdaus

    Siri kubwa 2 zilizojificha nyuma ya maumivu ya mapenzi unayokutana nayo

    Watu wengi hukutana na maumivu ya mapenzi. Kila mmoja anakutana nayo kwa namna tofauti. Wapo ambao wanapenda wasipopendwa. Wengine husalitiwa wakiwa ndani ya uhusiano. Wengine huachwa baada ya kuwa pamoja kwa muda mrefu. Kuna watu ambao hawajawahi kabisa kuyafurahia mahusiano. Kila wanapoweka...
  9. Yoda

    BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika. Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao...
  10. M

    Mpira wa Bongo sasa hivi brand kubwa inalipa; Fei anaandaliwa signing fee ya bilioni 4 na mshahara 120M, Okello kacheza nusu msimu tu kauzwa bilioni 2

    Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata. Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5. Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
  11. R

    Sifa kubwa ni kuwa katili ili uteuliwe

    Angalia Ally Hapi, matamshi yake kama Idd Amin, ukatili! Hakuna diplomacy....mabavu kumfurahisha FULANI Sifa kubwa ni kuukana ukweli na kuutukuza uongo. Angalia akima kabudi, kitila, wasira, bashite, etc etc etc. Ukionekana kutumia busara akili unatupwa nje eg Simba Chawene
  12. peno hasegawa

    Ofisi za Serikali zipo lakini simu hazipatikani: Kero kubwa kwa wananchi wa Tanzania

    Hili ni kero kubwa sana kwa wananchi, kwa sababu simu za ofisi za Serikali zinapaswa kuwa moja ya njia rahisi za mwananchi kupata huduma bila kulazimika kufika ofisini. Tatizo linapojitokeza kwamba namba za landline za Halmashauri, Manispaa, Majiji na mashirika ya umma hazipatikani, hazipigi...
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    Mlitudanganya wadada wembamba warefu wana papuchi kubwa.

    Utafiti wangu ambao umehusisha kutembeza mkuyenge kwa wadada 56 wembamba warefu weusi na maji yakunde umebaini kuwa wadada wembamba ndiyo watamu zaidi kushinda wote. Weusi utamu na joto liko juu zaidi ya maji ya kunde. Aidha k zao zinabana sana na wana milio mizuri. Kwa upande wa mabonge...
  14. A

    KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  15. A

    KERO Uondoshaji wa mizigo bandarini ni shida kubwa, TBS inatuumiza Waingizaji wa Shehena (importer) nchini

    Kwa sasa TBS imekuwa ni mzigo na imekuwa ikizalisha vilio vikubwa sana kwa Waingizaji wa Shehena au Bidhaa nchini (IMPORTER). Mfumo wao wa utendaji umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi zao zilizopo TPA ONE STOP [BANDARINI] utakuta misururu mikubwa ya MAWAKALA WA FORODHA wakipambana...
  16. A

    KERO Open University, haswa tunaosoma program ya Masters in Community Economics kuna changamoto kubwa sana

    Wanafunzi tunaosoma hiyo kozi tunapata changamoto sana yani kwanza wanachelewesha kusubmit kqzi kwa external kwa kudai kuwa ili kusubmit kuna malipo ya 150,000 kwa ajili ya kuandaa document ili iende kwa external nje ya ada ya CED project ambayo kiasi chake ni (1,680,000) kisha baada ya hapo...
  17. A

    Inakuwaje parachichi tunauziwa bei kubwa hivi?

    Aisee hapa Dar tunaibiana sana haiwezekani parachichi bei ya chini iwe 1500 tena hilo la bukujero ni low quality Kwani uzalishaji wake umekuwaje hadi yauzwe bei hivi?utafikiri tunaagiza kutoka China
  18. M

    Dharau kubwa: Mangungu apaita Kaliua kijiji cha porini

    Kaliaua ni mji wa zamani sana. Huyu mzee anajifanya hapajui?
  19. Mwakinyo makini

    Je Kuna ukweli kwenye hili ya kubwa " wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa so wazuri Tena"?

    Wakuu, Leo nikiwa katika mtandao wa Instagram nilimsikia Oscar Oscar akisema ya kuwa wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa kwisha Na pia bingwa wa magari alisema kama huna sababu za msingi kuoa mchagga usioe Nimepata sintofahamu Kwa sababu Nina mpenzi wangu mchagga...
  20. Pakome

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
Back
Top Bottom