Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini.
Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana.
Mipango yao inachochea...
Habari,
Mimi ni kijana wa miaka 24 nimehitimu katika chuo cha uhasibu Dar es salaam kwa ngazi ya Degree (Degree in accountancy) kwa sasa napatikana Dar es Salaam. Natafuta kazi ya uhasibu katika taasisi yoyote.
Zab 23:1-7, Mithali 3:1-4, Zab 1:1-3, 1Kor 2;6-15, Kut 3:1-9
=========================
Mchungaji aliyeokoka anayeongoza kundi au waumini, ni lazima awe na sifa zifuatazo:
i. Awe mfano kwa tabia na mwenendo.
ii. Asitamani mali za anasa zitakazo mtoa nje ya kusudi alilopewa.
iii. Aepuke fedha...
Nina uzoefu wa miaka 5 katika mauzo ya Sola kwenye kampuni ya offgrid electric power maarufu kama Zola. Mpaka sasa nafanya kazi katika kampuni hiyo
Nilianza kama afisa mauzo wa kawaida na badae sales leader
Kitaaluma ni mwalimu kwa ngazi ya degree
Kusimamia teams za mauzo na motivations kwa...
Habari?
Unamtafuta fundi kisha unampa kazi yako na unampa malipo yake kama mlivyokubaliana.
Akimaliza kufanya kazi yako anaipiga picha na kuianika mitandaoni akijitangaza kwamba ni yeye kaifanya.
Hapa mfano mkubwa ni fundi wa ujenzi, deco, kupaua ,rangi nk. Wanafanya kazi kisha wanapiga...
Haya sasa
Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )
Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake
Kiufupi amafukuzwa kwenye...
Fundi mzuri wa kushona nguo za kiume na kike, anahitajika; akiwa ni wakike itakuwa vizuri zaidi.
Malipo:
3000 kwa siku + 10% ya faida katika mauzo kwa mwezi
Faida zingine:
Chai ipo (free)
Chakula cha mchana kipo (free)
Eneo la kazi: Arusha au Moshi
Kama una huo ujuzi; utakutanishwa na...
Msanii wa kizazi cha leo na kesho aliyetambulishwa recently na lebo namba moja Africa ya WCB Wasafi.
Kwa jina anaitwa D Voice aka Jini aka London Boy au Temeke Boy.
Huyu ndio future ya muziki wa bongo kwa ujumla. Ndio anaenda kuibeba mabegani industry ya muziki wa bongo ni suala la muda tu...
Leadership is not about authoritative role we hold in an organisation,rather it is about the choice of actions we prefer to take.
Donald McGannon
Ndani ya muda mfupi tokea alipoteuliwa kuwa Katibu wa Nec itikadi na uenezi taifa,Ndugu Paul Christian Makonda ameweza kufanya mambo ambayo...
Kamishna wa Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akionesha Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha, wakati wa mkutano na waandishi wa Habari ulioangazia Maadhimisho ya Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, uliofanyika jijini Dodoma.
Serikali imekusudia kuhakikisha Wananchi wengi...
Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula.
Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
Wakuu Umuofia,
Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho.
Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi.
Sasa nimerudi humu Jf kuwalilia wakuu wangu. Najua humu kuna...
Moderator hamjanitendea haki uzi wangu kwenda kuunganisha na uzi wa Makonda atakuwa Waziri/Rais. Mada yangu ni tofauti.
Naomba niulize swali kabla sijasahau.
Je, CCM, kinyago walichokichonga wenyewe kimeanza kuwatisha?
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za nchini kwetu na kwa kiasi fulani, naona...
Akizungumza katika mkutano wa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia, Balozi Abdallah Abasi...
Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/04/2024)
🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi.
🔸ANAEJUA HESABU.
🔹Umri miaka 25 au zaidi.
🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani.
Njoo DM kwa maelezo zaidi na mawasiliano.
MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE
Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k.
Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi.
Jaribu kutumia Fisi kama...
Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kifo cha mjamzito na kichanga chake, kilichotokea Wilaya ya Handeni Tanga tarehe 11/11/2023 katika kituo cha Afya Kabuku kwa kinachoelezwa kuwa ni uzembe wa watumishi wa kituo hicho.
Pia soma > Tanga: Mjamzito afariki kwa kukosa Tsh. 150,000
Tayari...
Huyu jamaa juzi kapita hapa hometown kwangu, BRD.
Ana bahati nilikuwa nimeenda shambani mida aliyoingia na punda wake la sivyo ningemfurusha.
https://youtu.be/HuL99sGZsQU?si=XcITaZdUwXk_d3Tp
Pulling up in donkey drawn carriages, dump trucks, bodabodas, and whatnots, is not work. It’s...
Siku zote nyota njema hung'aa tu hata kiza kikiwa kinene. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna watanzania wengi wanakukubali sana comred Paul. Japo kuna machache yakuzingatia ili ufike mbali zaidi.
Jitahidi kuwa mnyenyekevu hata pale unapotoa maagizo kwa walio chini yako. Hii itakufanya ukubalike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.