Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.
Wengi wetu tumepitia maisha haya, kwa kukaa sehemu moja familia changanyika kiasi unakosa hadi mahali pa kulala, kisa tu huenda;
Wenye nyumba ndie anauwezo ukoo mzima
Anahuruma ya kupitiliza
Anapenda jopo la watu n.k
Kwahiyo hujikuta wanaishi haya maisha ya ugeni mwingi usio kikomo. Baadhi...
Habari zenu,
Tokea mwaka huu uanze Niko katavi ni mji ambao ni manispaa, yaani kila mji una sifa zake.
Yaani mpanda Ina vichaa wengi kuliko hata jiji la Mwanza jamani.
Wenyeji wa huku acheni hizi Mambo.
Yaani inasikitisha mno kila Kona ama kila mtaa lazima uwe na kichwa ujue.
Kuna jamaa...
Habari za Jumapili popote mlipo.
Nafikiri wengi mnajua kuhusu mpango wa serikali wa kuwatafutia ndugu zetu Wamasai makazi mapya ili kuilinda hifadhi ya Ngorongoro. Hili jambo lilileta mjadala mkubwa sana miongoni mwa jamii yetu ya Watanzania.
Wapo waliopinga kuhusu mpango wa serikali na pia...
Kaka yangu Mwigulu L Nchemba (Phd).
Hoja hizi hapa chini, ni baada ya kuongea na wewe (siku x) baada ya kusoma bajeti.
Hongera sana kwa kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023. Ukweli umejitahidi sana kuanzisha vyanzo vipya vya mapato na ninaona lengo lako ni viewable...
Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma.
Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa...
KUFANYA BIASHARA SIO JAMBO RAHISI, MTAJI PEKEE SIO LOLOTE
Anaandika, Robert Heriel
Watu wengi wanapenda kufanya biashara, kuna wengine huwalaumu Ndugu zao au Wazazi wao au waume zao Kwa kushindwa kuwapa mitaji, Jambo Moja la uhakika ni kuwa, hakuna ambaye atakupa mtaji ilhali akijua utapoteza...
Wakuu,
Najua mpo na milango yote ya fahamu inafanya KAZI!
Mimi ninawaamini nyie Ndio Taasisi pekee kimbilio isiyotiliwa shaka!nyie Ndio tumaini pekee lililobaki hapa nchini!
Ujumbe wangu ni kwenu nyie na wala sio KWA CCM wala Rais aliepo madarakani kwasababu nimepoteza imani nao kabisa ...
Chukulia mfano wa bar, guest and chakula. Ukiingia sehemu hizo ukalipia huduma ya msingi basi huduma ya choo unaipata bure. Maana yake huwezi kulipia chumba gest halafu ukitaka kunya unalipia tena choo.
Hali ni tofauti katika stendi za Magufuli, Nanenane na Msamvu. Bila shaka ile 200 nayolipa...
Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora.
Sifa za Mtumishi Bora ni:
1. Muwazi
2. Mchapa kazi
3. Mwaminifu
Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana.
Sifa za Kiongozi Bora:
1. Mtu wa Mfano
2. Muwajibikaji
3...
Napenda kushiriki nanyi kuhusu deal no1. Ni online part time job ambayo inalipa Sana lkn issue hii ni mpya haikuwepo.
Unakuwa wakala wa ku2ma orders online na kulipwa commission hapohapo ipo since 2017 japo kibongo imekuja sio mda.
Capital ni kuanzia Dolla 10. Kiasi Cha kawaida sana...
Zipo baadhi ya kampuni za mabasi wahudumu wake wanakosa sifa za huduma bora ili kuepusha migogoro.
Mfano kuna kampuni inaitwa Kisumapai ya Songea, kuna siku nimesafiri nimepokelewa na mhudumu aliyevaa tishet yao akaweka mzigo wangu kwenye buti. Wakati huo mkatisha tiketi wa kampuni hiyo anaona...
Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu.
Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma.
Kuna harufu ya viashiria kuwa rais Samia na Mbatia haviivi au hazipandi.
Kwa hali hii kumbe rais...
Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa.
Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka kusababisha nimwambe makofi kwa kutaka mnyima unyumba shemeji. Nlianza ona ana tatizo. Maana...
Niliachiwa kiwanja na marehemu baba mkubwa, kumbe kilikuwa na miaka 20 hakijalipiwa kodi, sasa ardhi wamenipa hilo Deni Mimi, nimekubali kulilipa Ila control number inaisha muda wake 22/5/2022 na hakuna kulipa nusu inatakiwa lilipwe Deni lote, ninachouliza hivi hakuna uwezekano wa kuongeza muda...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kutoa tamko leo Mei 17, 2022, ambapo waandishi wa habari wamekaribishwa kuchukua taarifa ambayo inatarajiwa kuzungumza, lakini kubwa wengi wanaamini itakuwa inahusu sakata la kina Halima Mdee na wenzake 18.
====
"Wanaojaribu kufanya...
Habarini wakuu,
Hongereni kwa mliochaguliwa kujiunga na kidatChcha tano, kikubwa tusiishi na historia, Kama ulipata division one O - level jipange upya ukatafute one nyingine ila hakuna uhusiano kati I ya performance ya O level na advance, unaweza ukakuta aliyepata three O level akawa...
"JAMBO LA MAMA LIMETIMIA-NDEJEMBI"
Anaandika Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Deo Ndejembi
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa 23.3%.
Mhe Rais ameonyesha wazi kwamba ameweka maslahi ya...
Nyumbani kule kijijini kuna vikundi vinaitwa "vikundi vya maafa na kusaidiana"
Hivi ni vikundi unaweza kukuta kijiji kizima kuna kikundi kimoja au viwili.
Familia karibia zote wamejiunga, awe mwalimu au mkulima.
Ada ya kujiunga kwa mwanachama mgeni ni Tsh 2,000 tu.
Wanachama wake pindi...
Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama tofauti,akawachukua na kuwaleta kwa mama mkubwa ndiye aliyewalea wote!Hivi sasa watoto hao ni mama wazima na wana...
Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu.
Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.