jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. TANESCO

    Na sisi tuna jambo letu kubwa tarehe 26, na tunawahitaji mlifuatilie kwa karibu!

    Ndugu wateja , Na sisi tuna jambo letu kubwa tarehe 26, na tunawahitaji mlifuatilie kwa karibu! Tukisema ni historia, mtasema tunajisifu wajivuni.Tukisema ni surprise, mtataka spoiler! 😂 Basi kwa heshima kabisa, tunawaomba tarehe 26 macho na masikio kwa admin. Tarehe isiguswe hiyo...😆
  2. S

    Jambo moja la msingi sana nimetambua kuhusu mustakabali wa siasa na uongozi wa Tanzania na Watanzania wenyewe

    Kwamba aidha kiongozi mwanasiasa anakuwa ni mjinga sana au sisi Watanzania wote ni wajinga sana. Lazima mojawapo kati ya hayo mawili liwe kweli. Sio rahisi yote mawili yawe kweli au kutokuwa kweli kwa wakati mmoja.
  3. figganigga

    PLATO: Mpumbavu anapopata madaraka, jambo la kwanza analofanya ni kuwanyamazisha wenye hekima na kuiangamiza Nchi

    Mpumbavu anapopata madaraka, jambo la kwanza analofanya ni kuwanyamazisha wenye hekima. Jambo linalofuata ni kujikusanyia wapumbavu wengine wanaomzunguka. Na jambo la mwisho analofanya ni kuiangamiza nchi.” Nukuu hii inahusishwa na PLATO. Plato alikuwa mwanafalsafa mashuhuri wa Ugiriki ya Kale...
  4. N'yadikwa

    ASAS ifikirie kujenga kiwanda cha maziwa Tukuyu, Rungwe – wizara ya mifugo nayo ina jambo la kujifunza!

    Nina ushauri wa kiuchumi kwa kampuni ya ASAS Dairies. Badala ya kuendelea kukusanya maziwa kutoka kwa wafugaji wa maeneo ya Tukuyu na Rungwe, kuyapakia kwenye maboza na kuyasafirisha hadi Iringa kwa ajili ya uchakataji, kwa nini kampuni isifikirie kuwekeza katika kiwanda cha kuchakata maziwa...
  5. Yoda

    Ni jambo la ajabu hakuna aliyeshuhudia kumuona Yesu akipaa kwenda mbinguni.

    Hakuna mtu hata mmoja aliyeandika alishuhudia kumuona Yesu akipaa kwenda mbinguni baada ya kufufuka. Vitabu vyote vya agano jipya vinasema watu waliona akipaa ila hakuna mwandishi anayesema aliona yeye hilo tukio. Hata wanafunzi wake Mathayo, Yohana na Petro hawasemi walimuona akipaa kwenda...
  6. Dogoli kinyamkela

    ⚠️ANGALIZO. Sio kila Sehemu yenye jiwe ama Gogo Unaenda kukaa tu bila ukaguzi LITAKUKUTA jambo zito.

    ⚠️ANGALIZO. Sio kila Sehemu yenye jiwe ama Gogo Unaenda kukaa tu bila ukaguzi LITAKUKUTA jambo zito.
  7. X

    Wababe wa dunia wako jijini Shenzhen, China. Kesho wana jambo lao. Stay tuned

    APEC imewakutanisha some of the most powerful men on the planet Lakini jambo kubwa linalosubiriwa si mkutano wenyewe, bali ni the BIG agenda behind closed doors mtu 3, Xi, Putin na Trump Ni masuala gani yatajadiliwa? Global trade, technology, geopolitics, energy, investment au reshaping of the...
  8. U

    HOJA Changamoto za kuhamisha Mikopo ya HESLB: Je, mifumo yetu ya Kidijitali inazingatia uhalisia wa maisha ya Wanafunzi?

    Naomba suala hili lijadiliwe kwa upana, si kama changamoto yangu binafsi pekee, bali kama tatizo linaloweza kuwaathiri wanafunzi wengine wanaotegemea mikopo ya elimu ya juu ili kuendelea na masomo. Mimi ni mwombaji wa mkopo wa HESLB kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Nilichaguliwa katika chuo...
  9. T

    Waziri mkuu anatumia nguvu nyingi kuaminisha umma kuwa anafanya kazi ila mpaka sasa mwaka na zaidi nani kaona jambo kubwa amelifanya!?

    Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
  10. Red black

    Kufanya mazoezi ni jambo la muhimu sana

    Mazoezi yana faida nyingi sana kimwili na kiakili Piga push-up, kimbia mchakamchaka, Cheza mpira , basketball , volleyball, Ruka kamba, Endesha baiskel, Tembea kwa umbali mrefu, kufanya hivyo utaimarisha kinga ya mwili, UtaKuwa na pumzi ya kutosha, Utaepuka magonjwa nyemelezi, UtaKuwa na...
  11. Rungwe88

    Kiranga akikuuliza "Thibitisha Mungu yupo" muulize je, anaelewa "Mungu" ni kitu, mtu au jambo la namna gani?

    Nimeona huu mtindo wa ndugu Kiranga akiwa na mazoea ya kuuliza hili swali kila linapotajwa Jina la Mungu hapa JF, na swali lake ni lile lile miaka yote "thibitisha Mungu yupo" Sasa swali tunamrudishia yeye, je akisikia, kuona, kusoma neno "Mungu" anapata tafsiri Gani katika uelewa wake, je...
  12. min -me

    Asee tuacheni utani

    Mbususu ikinukia kale kaharufu ka asili , nguvu za kiume zinapanda 100% , na hii ndio sababu tunapenda kula kuku wa kienyeji aseee😅😅😅 Wewe endelea kuiosha na sabuni ya omo , ukijifanya mzungu , hapo ni gusa achia twende kwao tu🤗 Ila mbususu ikiwa na kaharufu kale ka asili ,utapata...
  13. Keynez

    Kuna jambo la msingi sana hatulizungumzii lililofanywa na Majaji kuhusiana na hukumu ya Lissu ya walichoita kosa la uchochezi

    Wengi tumeshangazwa, tumekasirishwa na kuchukizwa na hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kwa kile kitendo cha mahakama kuibua walichokiita kosa dogo la uchochezi katika mashtaka ya Uhaini. Yameibuka majadiliano mengi kuhusiana na uhalali wa hukumu hiyo, wengi wakisema hakuna koso dogo katika mashtaka...
  14. J

    Wakristo naomba mnieleweshe kwenye hili jambo tafadhali

    So Mungu alimuumba Adam na Eva, alawapa maelekezo ambayo waliyakaidi, akawapa adhabu ya mateso, kifo na kuchomwa moto wa milele Ili Mungu kuwaokoa kutoka kwenye hiyo adhabu aliyowapangia, ikabidi ashuke duniani (Yesu ni Mungu) aje ateswe na asulubishwe na hao watu waliokuwa wamemkaidi ili...
  15. A

    TBC Jambo Tanzania mbona mmeiondoa kwenye Youtube, vipi?

    Ni mwezi sasa kipindi chenu cha Jambo Tanzania cha kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 3 asubuhi haipatikani tena kupitia Youtube, vipi imekuwaje? TBC ni chombo cha umma kinatakiwa kipatikane kupitia njia zote za kielectoniki na za kawaida. Acheni UZEMBE!
  16. 1995El

    Kuna jambo moja nililojifunza baada ya msiba, na kama ningelielewa mapema, ningeishi tofauti.

    KUNA JAMBO MOJA NILILOJIFUNZA BAADA YA MSIBA, NA KAMA NINGELIELEWA MAPEMA, NINGEISHI TOFAUTI. Leo niko na wazee wangu baada ya kipindi kigumu cha msiba. Nimekaa nikitafakari mambo mengi kuhusu maisha, familia na muda ambao tunao duniani. Kuna kitu nimekielewa kwa ukubwa sana: Ukiwa bado na...
  17. 1995El

    Kuna watu wajuaji wa kila jambo, lakini hawajui kila kitu!

    Kuna aina ya watu ukianza kuzungumza jambo lolote, yeye ana majibu tayari. Ukisema hivi, anakupinga. Ukisema vile, anakusahihisha. Ukiwa na maoni yako, anakuona huna akili. Yeye ndiye anayejua, wengine wote hawajui kitu. Cha kushangaza zaidi, wengine hawasikilizi ili waelewe, wanasikiliza ili...
  18. L

    Ingekuwa ni jambo la kusikitisha, kufedhehesha na kukatisha tamaa sana kama Lissu angeachiwa huru

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Kilicho sababishwa na kuchochewa na Lissu Ingekuwa ni Jambo la Aibu Fedheha na jambo la kukatisha Tamaa ikiwa Lissu Angekutwa Bila Hatia na kuachiwa Huru Kuingia Mitaani . Haiwezekani Maneno yooote yale ya Uchochezi aliyokuwa anayatoa halafu eti Mwisho wa siku...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Umaskini mbaya wazee. Tufanye kila jambo kuukana umaskini

    Kuna wale waliobahatika kukuta mifereji kwenye familia zao. Nimeona watu wakipata kazi wako chuo mwaka wa kwanza, wengine mwaka wa pili na wengine wanasubiriwa tu wamalize chuo waanze kazi bila kujali matokeo wala nini . Wengine wanashindwa waende wapi, baba ana kituo cha Afya , serikalini kaka...
  20. Mwanadiplomasia Mahiri

    Lema amedokeza kuwa Lissu atahukumiwa kifungo, kisha atakata rufaa kutoka gerezani!

    Huko Lilongwe, Malawi. Kutoka kwe ye korido za siasa, Mhina Panduja a.k.a Toto Tundu atakutwa na hatia then baadae Gavana atasema amemsamehe lengo abaki jinai yake maisha yake yote. Yajayo hayafurahishi.😰
Back
Top Bottom